a.gif Mungu ni mwenye huruma maana yake nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 huruma mungu,
Mungu ni mwenye huruma maana yake nini?
Mungu ni mwenye huruma maana yake anawasamehe watu dhambi zao wakitubu.. read more...


a.gif Ufaransa kuchuana na England Jumanne

Category 👉habari, Tags 👉 amekubali amesema england hodgson hogson huo huruma ipasavyo itakayochezwa juma jumanne kati katika kocha kuchuana kwa licha lijalo maafa mechi mkunjufu moyo na ndani nje roy tagi: tutajianda ufaransa ugaidi uingereza uwanja wa wembley. ya yaliyosababishwa,
Ufaransa kuchuana na England Jumanne
Kocha wa Uingereza Roy Hodgson amekubali kwa moyo mkunjufu na wa huruma mechi kati ya England na Ufaransa itakayochezwa juma lijalo katika uwanja wa Wembley.
Hogson amesema licha ya maafa yaliyosababishwa na ugaidi, tutajianda ipasavyo ndani na nje ya uwanja huo wa Wembley.
''Huu ni wakati wetu kuonesha dunia kuwa kandanda kwa hakika inaweza kuunganisha ulimwengu.'' alisema Hogson.
''Ninaamini kuwa wachezaji wetu watajiandaa ipasavyo kuwaonesha wageni wetu kuwa Uingereza inaungana na Wafaransa wakati huu wa majonzi.
Mechi hiyo ya kirafiki itaendelea kama ilivyopangwa siku ya jumanne jioni licha ya msururu wa mashambulio ambayo yamewaua takriban watu 129.
Washambuliaji 3 wa kujitolea muhanga walifariki katika milipuko nje ya uwanja wa Stade de France huku wachezaji wa Ufaransa wakicheza dhidi ya Ujerumani siku ya ijumaa.. read more...


a.gif NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA NANE

Category 👉sala, Tags 👉 huruma ibada maombi novena tafakari yesu,
NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA NANE
NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA NANE, IJUMAA BAADA YA PASAKA. read more...


a.gif NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA SABA

Category 👉sala, Tags 👉 huruma ibada maombi novena tafakari yesu,
NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA SABA
NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA SABA, ALHAMISI BAADA YA PASAKA. read more...


a.gif NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA SITA

Category 👉sala, Tags 👉 huruma ibada maombi novena tafakari yesu,
NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA SITA
NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA SITA, JUMATANO BAADA YA PASAKA. read more...


a.gif NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA TANO

Category 👉sala, Tags 👉 huruma ibada maombi novena tafakari yesu,
NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA TANO
NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA TANO, JUMANNE BAADA YA PASAKA. read more...


a.gif NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA NNE

Category 👉sala, Tags 👉 huruma ibada maombi novena tafakari yesu,
NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA NNE
NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA NNE, JUMATATU YA PASAKA. read more...


a.gif NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA TATU

Category 👉sala, Tags 👉 huruma ibada maombi novena tafakari yesu,
NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA TATU
NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA TATU, JUMAPILI YA PASAKA. read more...


a.gif NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA PILI

Category 👉sala, Tags 👉 huruma ibada maombi novena tafakari yesu,
NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA PILI
Novena hii pia inaweza kusaliwa wakati wowote na katika kipindi chochote cha mwaka lakini inapendekezwa Novena ianzwe katika siku ya Ijumaa.. read more...


a.gif NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA KWANZA

Category 👉sala, Tags 👉 huruma ibada maombi novena tafakari yesu,
NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA KWANZA
Novena hii pia inaweza kusaliwa wakati wowote na katika kipindi chochote cha mwaka lakini inapendekezwa kuwa Novena hii ianzwe katika siku ya Ijumaa.. read more...


a.gif Sala kwa wenye kuzimia

Category 👉sala, Tags 👉 huruma maombi yesu,
Sala kwa wenye kuzimia
Moyo wa Yesu uliozomia, uwahurumie watu wanaokufa X3.. read more...


a.gif SALA YA MAOMBI KWA MOYO MTAKATIFU WA YESU

Category 👉sala, Tags 👉 huruma maombi moyo yesu,
SALA YA MAOMBI KWA MOYO MTAKATIFU WA YESU
. read more...