a.gif Baada ya hukumu ya mwisho itakuwaje?

Category ๐Ÿ‘‰katekisimu, Tags ๐Ÿ‘‰ hukumu kifo marehemu ufufuko,
Baada ya hukumu ya mwisho itakuwaje?
Baada ya hukumu ya mwisho, waadilifu watatukuzwa mwili na roho pamoja na Yesu, na ulimwengu pia utageuzwa.. read more...


a.gif Siku ya ufufuo Kristo mfalme atatuhukumu vipi?

Category ๐Ÿ‘‰katekisimu, Tags ๐Ÿ‘‰ hukumu kifo marehemu ufufuko yesu,
Siku ya ufufuo Kristo mfalme atatuhukumu vipi?
Siku ya ufufuo Kristo mfalme atatuhukumu kwa kudhihirisha misimamo ya watu wote ambao, kwa kupokea au kukataa upendo wa Mungu moyoni mwao, wametenda mema au la.. read more...


a.gif Je, mwili utakaofufuliwa ni huuhuu tulionao sasa?

Category ๐Ÿ‘‰katekisimu, Tags ๐Ÿ‘‰ hukumu kifo marehemu mtu ufufuko,
Je, mwili utakaofufuliwa ni huuhuu tulionao sasa?
Ndiyo, mwili utakaofufuliwa ni huuhuu tulionao sasa, lakini katika hali tofauti: > โ€œhupandwa katika uharibifu; hufufuliwa katika kutokuharibikaโ€ (1Kor 15:42).. read more...


a.gif Toharani maana yake nini?

Category ๐Ÿ‘‰katekisimu, Tags ๐Ÿ‘‰ hukumu kifo marehemu toharani ufufuko,
Toharani maana yake nini?
Toharani maana yake kuna hali ya muda ambayo huruma ya Mungu inawatakasa marehemu waliofariki dunia katika urafiki naye lakini bila ya usafi kamili unaotakiwa kwa kuingia mbinguni. Sisi tunaweza kuharakisha utakaso wao kwa kumtolea Mungu sala na sadaka, hasa ekaristi. Yuda Mmakabayo โ€œalichanga fedha kwa kila mtu jumla drakma elfu mbili, akazipeleka Yerusalemu kutoa sadaka ya dhambi.. read more...


a.gif Aliyezungumzia moto wa milele ni nani?

Category ๐Ÿ‘‰katekisimu, Tags ๐Ÿ‘‰ hukumu kifo marehemu ufufuko,
Aliyezungumzia moto wa milele ni nani?
Aliyezungumzia moto wa milele ni hasa Yesu: akitufunulia ukuu wa upendo wa Mungu, aliye heri yetu pekee, alituangalisha juu ya hatari ya kutengana naye milele kwa dhambi. Mwenyewe atatoa hukumu hiyo:. read more...


a.gif Je, sisi wanyonge tunaweza kushiriki uzima wa milele wa Mungu?

Category ๐Ÿ‘‰katekisimu, Tags ๐Ÿ‘‰ hukumu kifo marehemu ufufuko,
Je, sisi wanyonge tunaweza kushiriki uzima wa milele wa Mungu?
Ndiyo, sisi wanyonge tunaweza kushiriki uzima wa milele wa Mungu: hapa duniani katika mwanga hafifu wa imani, na kisha kufa katika uangavu wa utukufu usiofifia kamwe. Kwa kuwa lengo la Baba ni kwamba tuungane na Yesu Mwanae kwa uwezo wa Roho Mtakatifu ili tuwe na utukufu wake.. read more...


a.gif Tutakapofariki dunia itatutokea nini?

Category ๐Ÿ‘‰katekisimu, Tags ๐Ÿ‘‰ hukumu kifo madhehebu marehemu mtu ufufuo uzima_wa_milele,
Tutakapofariki dunia itatutokea nini?
Tutakapofariki dunia roho yetu isiyokufa, mbali na mwili unaooza, itapewa tuzo au adhabu tuliyostahili kwa maisha yetu. โ€œIkawa yule maskini alikufa, akachukuliwa na malaika mpaka kifuani kwa Ibrahimu. Yule tajiri naye akafa, akazikwa. Basi, kule kuzimu aliyainua macho yake, alipokuwa katika mateso, akamwona Ibrahimu kwa mbali, na Lazaro kifuani mwakeโ€ (Lk 16:22-23). โ€œKwangu mimi kuishi ni Kristo, na kufa ni faidaโ€ฆ ninatamani kwenda zangu nikae na Kristo, maana ni vizuri zaidi sanaโ€ (Fil 1:21,23). โ€œNasi tunaona ni afadhali kutokuwamo katika mwili na kukaa pamoja na Bwanaโ€ (2Kor 5:8). Kwa kuwa kifo ni โ€œmavumbi kuirudia nchi kama yalivyokuwa, nayo roho kumrudia Mungu aliyeitoaโ€ (Mhu 12:7). Siku ya ufufuo roho na mwili vitaungana tena kwa ajili ya uzima au moto wa milele. โ€œPumzi iliwaingia, wakaishi, wakasimama kwa miguu yao, jeshi kubwa mnoโ€ (Ez 37:10).. read more...


a.gif Je, ina thamani machoni pa Bwana mauti ya mtu aliyemcha?

Category ๐Ÿ‘‰katekisimu, Tags ๐Ÿ‘‰ hukumu kifo marehemu ufufuko,
Je, ina thamani machoni pa Bwana mauti ya mtu aliyemcha?
Ndiyo, โ€œina thamani machoni pa Bwana mauti ya wacha Mungu wakeโ€ (Zab 116:15).. read more...


a.gif Je, ni muhimu tujiandae kufa?

Category ๐Ÿ‘‰katekisimu, Tags ๐Ÿ‘‰ hukumu kifo marehemu ufufuko,
Je, ni muhimu tujiandae kufa?
Ndiyo, ni muhimu tujiandae kufa wakati wowote na namna yoyote kwa kuishi kitakatifu sasa na kwa kujiombea neema tutakazohitaji saa ya kufa kwetu, tukijua tumewekewa โ€œkufa mara moja, na baada ya kufa hukumuโ€ (Eb 9:27).. read more...


a.gif Je, ufufuko wa Yesu ni muhimu kwetu pia?

Category ๐Ÿ‘‰katekisimu, Tags ๐Ÿ‘‰ hukumu marehemu ufufuko wafu yesu,
Je, ufufuko wa Yesu ni muhimu kwetu pia?
Ndiyo, ufufuko wa Yesu ni muhimu kwetu pia, kwa sababu kwa njia yake tu tunatiwa uzima: sasa rohoni kwa kuondolewa dhambi, na siku ya mwisho mwilini pia kwa kufufuliwa.. read more...


a.gif Mambo makuu manne ya mwisho ni yapi?

Category ๐Ÿ‘‰katekisimu, Tags ๐Ÿ‘‰ hukumu kifo marehemu ufufuko wafu,
Mambo makuu manne ya mwisho ni yapi?
Mambo hayo ni;. read more...


a.gif Je, hatuwezi kupunguza mateso ya roho za marehemu waliokwenda toharani?

Category ๐Ÿ‘‰katekisimu, Tags ๐Ÿ‘‰ hukumu marehemu toharani ufufuko wafu,
Je, hatuwezi kupunguza mateso ya roho za marehemu waliokwenda toharani?
Ndiyo: twaweza kupunguza hata kuyamaliza kwa kuwasalia na kuwapatia rehema na hasa kwa kuadhimisha Misa kwa ajili yao. (2Mik 12:38-46). read more...


a.gif Toharani ni mahali gani?

Category ๐Ÿ‘‰katekisimu, Tags ๐Ÿ‘‰ hukumu marehemu toharani ufufuko wafu,
Toharani ni mahali gani?
Toharani ni mahali pa mateso zinakosafishwa roho ambazo hazikutimiza kitubio vizuri baada ya kuungama dhambi. (1Kor 3:15, 1Pet 1:7).. read more...


a.gif Uzima wa milele ni nini?

Category ๐Ÿ‘‰katekisimu, Tags ๐Ÿ‘‰ hukumu kifo marehemu ufufuko uzima_wa_milele wafu,
Uzima wa milele ni nini?
Uzima wa milele ni maisha ya kukaa mbinguni na Mungu yasiyokua na mwisho.. read more...


a.gif Motoni ni nini?

Category ๐Ÿ‘‰katekisimu, Tags ๐Ÿ‘‰ hukumu kifo marehemu ufufuko wafu,
Motoni ni nini?
Motoni ni makao mabaya kwa Shetani walaaniwa wakaapo mbali na Mungu wakiteswa milele. (Mt 25:41, Mik 9:42-43, 1Yoh 14:15). read more...


a.gif Mbinguni ni mahali pa namna gani?

Category ๐Ÿ‘‰katekisimu, Tags ๐Ÿ‘‰ hukumu marehemu ufufuko wafu,
Mbinguni ni mahali pa namna gani?
Mbinguni ni makao mema ya heri na furaha (2Kor 5:1, Ufu, 2:17).. read more...


a.gif Matokeo ya hukumu hiyo ni nini?

Category ๐Ÿ‘‰katekisimu, Tags ๐Ÿ‘‰ hukumu marehemu mtu wafu,
Matokeo ya hukumu hiyo ni nini?
Matokeo ya Hukumu hiyo ni roho kwenda Mbinguni, Toharani au Motoni. (Mt 25:34-46). read more...


a.gif Baada ya kifo cha mtu nini hutokea?

Category ๐Ÿ‘‰katekisimu, Tags ๐Ÿ‘‰ hukumu marehemu mtu wafu,
Baada ya kifo cha mtu nini hutokea?
Baada ya kifo roho yake inafika mbele ya Mungu kwa hukumu ya mtu binafsi.. read more...


a.gif Ufufuko wa wafu maana yake nini?

Category ๐Ÿ‘‰katekisimu, Tags ๐Ÿ‘‰ hukumu marehemu ufufuko wafu,
Ufufuko wa wafu maana yake nini?
Ufufuko wa wafu maana yake mwisho wa dunia watu wote watafufuka na miili yao na kwenda nayo katika furaha ya milele au moto wa milele. (Ayu 19:25-26, Mt 22:30-32, Yh 28-29). read more...