a.gif Kivipi unaweza kusimama nyuma ya Baba yako wakati huo huo amesimama nyuma yako?

Category πŸ‘‰mafumbo, Tags πŸ‘‰ fumbo,
Kivipi unaweza kusimama nyuma ya Baba yako wakati huo huo amesimama nyuma yako?
swali: 'Inawezekanaje kusimama nyuma ya mtu huku na yeye amesimana nyuma yako?'
jibu: 'Inawezekana kama wote mmegeuziana Migongo'. read more...


a.gif Je, glasi itakuwa vipande vingapi?

Category πŸ‘‰mafumbo, Tags πŸ‘‰ fumbo,
Je, glasi itakuwa vipande vingapi?
swali: 'Mtoto alikua amebeba glasi mkono mmoja na mkono mwingine mpira. Kwa bahati mbaya mpira ukaanguka chini na kudunda mara tatu. Je, glasi imebaki vipande vingapi?'
jibu: 'Glasi bado ni nzima. Mpira ndio ulianguka. Glasi haikuanguka'. read more...


a.gif Je, glass ina Maji kiasi gani?

Category πŸ‘‰mafumbo, Tags πŸ‘‰ fumbo,
Je, glass ina Maji kiasi gani?
swali: 'Glasi imewekwa juu ya Meza na imejaa Maji. Kwa bahati mbaya upepo ukataka kuidondosha. Je glasi inamaji Kiasi gani?'
jibu: 'Glasi bado imejaa Maji kwa sababu haikuanguka. Upepo ulitaka tuu kuiangusha.'. read more...


a.gif Tano inawezaje kuwa ndani ya nne?

Category πŸ‘‰mafumbo, Tags πŸ‘‰ fumbo,
Tano inawezaje kuwa ndani ya nne?
swali: 'Tano inawezaje kuwa ndani ya nne?'
jibu: "Inaweza kuwa ndani ya nne kama ukiziandika kwa Kirumi.\n\nIV = Nne\nV = Tano\n\nV ni Tano japokuwa ipo ndani aya Nne (IV)". read more...


a.gif Imekuaje hawa watoto wakapungua?

Category πŸ‘‰mafumbo, Tags πŸ‘‰ fumbo,
Imekuaje hawa watoto wakapungua?
swali: 'Mfalme aliwapeleka Watoto kumi kwenda kuishi Msitu wa mbali, Baada ya miaka 15. alikuta watoto wanne tuu, Nini kimewapata watoto hawa wengine sita?'
jibu: 'Watoto wengine Sita wamekuwa watu wazima. Sio watoto tena baada ya Miaka 15.'. read more...


a.gif Nini kinapatikana kwenye siku zote za wiki isipokuwa Alhamisi na Ijumaa?

Category πŸ‘‰mafumbo, Tags πŸ‘‰ fumbo,
Nini kinapatikana kwenye siku zote za wiki isipokuwa Alhamisi na Ijumaa?
swali: 'Nini kinapatikana kwenye siku zote za wiki isipokuwa Alhamisi na Ijumaa?'
jibu: 'Neno —-> "JUMA"'. read more...


a.gif Nina miji bila nyumba, nina milima bila miti: Mimi ni nani?

Category πŸ‘‰mafumbo, Tags πŸ‘‰ fumbo,
Nina miji bila nyumba, nina milima bila miti: Mimi ni nani?
swali: 'Nina miji bila nyumba, nina milima bila miti, nina vyanzo vya maji bila samaki. Mimi ni nani?'
jibu: Ramani. read more...


a.gif Unapima maisha yangu kulingana na ninavyokuhudumia, mimi ni nani?

Category πŸ‘‰mafumbo, Tags πŸ‘‰ fumbo,
Unapima maisha yangu kulingana na ninavyokuhudumia, mimi ni nani?
swali: 'Unapima maisha yangu kulingana na ninavyokuhudumia, Vile ninavyokuhudumia ndivyo maisha yangu yanaisha, Maisha yangu ni mafupi nikiwa mwembamba na ni marefu nikiwa mnene. mimi ni nani?'
jibu: Mshumaa. read more...


a.gif Naongea bila mdomo, nasikiliza bila masikio: Mimi ni nani?

Category πŸ‘‰mafumbo, Tags πŸ‘‰ fumbo,
Naongea bila mdomo, nasikiliza bila masikio: Mimi ni nani?
swali: 'Naongea bila mdomo, nasikiliza bila masikio, sina mwili, nakua hai kwenye upepo. Mimi ni nani?'
jibu: Mwangwi. read more...


a.gif Je Juma atatumia njia gani kuvuka?

Category πŸ‘‰mafumbo, Tags πŸ‘‰ fumbo,
Je Juma atatumia njia gani kuvuka?
swali: "Juma ana vitu vitatu; mbwa, kuku na mchele anaotaka kuvusha mto. Mbwa hula kuku na kuku hula mchele. Kulingana na sheria za kuvuka daraja lile, hauwezi kuvuka ukiwa na zaidi ya vitu viwili. Je juma atatumia njia gani kuvuka?\n"
jibu: 'Kwanza atavusha mbwa na mchele kisha atarudi na kumchukua kuku.'. read more...


a.gif Je kila mtu alipata ndama wangapi hapa?

Category πŸ‘‰mafumbo, Tags πŸ‘‰ fumbo,
Je kila mtu alipata ndama wangapi hapa?
swali: "Mimi na ndugu yangu tulinunua fahali mmoja kutoka sokoni. Baada ya mwaka mmoja alijifungua ndama wawili. Je kila mtu alipata wangapi?\n"
jibu: 'Fahali hajifungui'. read more...


a.gif Je, moshi ulielekea upande gani?

Category πŸ‘‰mafumbo, Tags πŸ‘‰ fumbo,
Je, moshi ulielekea upande gani?
swali: "Upepo ulikuwa unavuma sana kutoka mashariki hadi magharibi. Nilikuwa nikiliendesha gari la moshi linalotumia umeme kutoka Burundi hadi Malawi. Je, moshi ulielekea upande gani?\n"
jibu: 'Gari la moshi linalotumia umeme halitoi moshi'. read more...


a.gif Je, hawa walizikwa wapi?

Category πŸ‘‰mafumbo, Tags πŸ‘‰ fumbo,
Je, hawa walizikwa wapi?
swali: "Ajali mbaya ilitokea kati ya mpaka wa Kenya na Tanzania. Je, majeruhi walizikwa wapi?\n"
jibu: 'Majeruhi hawakuzikwa, walikimbizwa hospitalini'. read more...


a.gif Katika dini yetu yapo mafumbo hasa mangapi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ fumbo,
Katika dini yetu yapo mafumbo hasa mangapi?
Mafumbo matatu. read more...


a.gif Nini maana ya neno "Fumbo"?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ fumbo maana,
Nini maana ya neno "Fumbo"?
Fumbo ni ukweli ambao hatuwezi kuelewa kikamilifu, lakini tunasadiki kwa kuwa Mungu hutufumbulia. (Math 11:27). read more...


a.gif Kanisa linafafanuaje fumbo la umwilisho?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ fumbo kanisa umwilisho,
Kanisa linafafanuaje fumbo la umwilisho?
Linatamka kuwa Yesu Kristo ni Mungu kweli na Mtu kweli. (Ebr 4:15). read more...


a.gif Neno hili kuwa nafsi tatu kwa Mungu mmoja laitwaje?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ fumbo mungu,
Neno hili kuwa nafsi tatu kwa Mungu mmoja laitwaje?
Laitwa fumbo la Utatu Mtakatifu. (Lk, 3:21-22). read more...