a.gif Dhamiri inatakiwa kufuata daima masharti gani?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 dhamira,
Dhamiri inatakiwa kufuata daima masharti gani?
Dhamira inatakiwa kufuata daima masharti yafuatayo. read more...


a.gif Dhamiri adilifu inatengenezwa na kusaidiwa na nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 dhamira,
Dhamiri adilifu inatengenezwa na kusaidiwa na nini?
Dhamiri adilifu inatengenezwa na vipaji vya Roho Mtakatifu na kusaidiwa na mashauri ya watu wenye busara.. read more...


a.gif Dhamiri adilifu inaundwa namna gani iwe nyofu na ya kweli?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 dhamira,
Dhamiri adilifu inaundwa namna gani iwe nyofu na ya kweli?
Dhamiri nyofu inayosema kweli inaundwa kwa;. read more...


a.gif Hadhi ya nafsi ya mtu inadai nini kuhusu dhamiri adilifu?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 dhamira,
Hadhi ya nafsi ya mtu inadai nini kuhusu dhamiri adilifu?
Hadhi ya nafsi ya mtu inadai unyofu wa dhamiri adilifu, yaani upande wa akili na sheria ya Mungu. read more...


a.gif Twajenga na kutunza dhamira zetu namna gani?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 dhamira,
Twajenga na kutunza dhamira zetu namna gani?
Twajenga na kutunza dhamira zetu kwa;-. read more...


a.gif Katika hukumu zake dhamira ifuate nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 dhamira,
Katika hukumu zake dhamira ifuate nini?
Katika hukumu zake dhamira ifuate daima Injili, Amri za Mungu na za Kanisa na wajibu zetu.. read more...


a.gif Dhamiri adilifu ni nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 dhamira,
Dhamiri adilifu ni nini?
Dhamiri adilifu, iliyo ndani kabisa mwa mtu, ni uamuzi wa akili ambao kwa wakati wake unamuagiza mtu atende mema na kukwepa maovu. read more...