a.gif Wakati wa Sakramenti ya Kitubio Utamwomba Roho Mtakatifu kwa sala gani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ dhambi kitubio,
Wakati wa Sakramenti ya Kitubio Utamwomba Roho Mtakatifu kwa sala gani?
Utamuomba Roho Mtakatifu kwa sala hii:. read more...


a.gif Mkristo akitaka kupokea Sakramenti ya Kitubio yampasa nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ dhambi kitubio,
Mkristo akitaka kupokea Sakramenti ya Kitubio yampasa nini?
Mkristo akitaka kupokea Sakramenti ya Kitubio yampasa haya. read more...


a.gif Nani yampasa kupokea Sakramenti ya Kitubio?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ dhambi kitubio,
Nani yampasa kupokea Sakramenti ya Kitubio?
Kila mkristo aliyetenda dhambi yampasa kupokea Sakramenti ya Kitubio. read more...


a.gif Mwenye kuwaondolea watu dhambi ni nani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ dhambi kitubio mitume,
Mwenye kuwaondolea watu dhambi ni nani?
Mwenyezi Mungu pekee yake aweza kuwaondolea watu dhambi. Ndiye aliyewapa Mitume, Maaskofu na Mapadri uwezo wa kuwaondolea watu dhambi (Yoh 20:21-23). read more...


a.gif Lini na kwa maneno gani Yesu aliweka Sakramenti ya Kitubio?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ dhambi kitubio,
Lini na kwa maneno gani Yesu aliweka Sakramenti ya Kitubio?
Yesu aliweka Sakramenti ya Kitubio jioni ya ufufuko wake alipowapulizia mitume na kuwaambia maneno haya "Pokeeni Roho Mtakatifu. Wowote mtakaowaondolea dhambi watakua wameondolewa, wowote mtakaowafungia dhambi watakua wamefungiwa" (Yoh 20:22-23). read more...


a.gif Sakramenti ya Kitubio ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ dhambi kitubio,
Sakramenti ya Kitubio ni nini?
Sakramenti ya Kitubio ndiyo Sakramenti ya kuwaondolea watu dhambi walizotenda baada ya Ubatizo (Yoh 20:22-23). read more...


a.gif Dhambi zinazomlilia Mungu ni zipi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ dhambi,
Dhambi zinazomlilia Mungu ni zipi?
Dhambi zinazomlilia Mungu ni;
1. Kuua Binadamu, Mfano Kaini na Abeli
2. Ulawiti na ushoga. (Wag 5:18-21)
3. Kilio cha wanaogandamizwa
4. Kilio cha mgeni, mjane, yatima na walemavu
5. Kukosea haki waajiriwa.. read more...


a.gif Je, Tunawajibika kwa dhambi zilizotendwa na wengine?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ dhambi,
Je, Tunawajibika kwa dhambi zilizotendwa na wengine?
Ndiyo, Tunawajibika kwa dhambi zilizotendwa na wengine iwapo tunazichangia kwa kutenda kosa husika.. read more...


a.gif Adhabu ya dhambi ndogo ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ dhambi,
Adhabu ya dhambi ndogo ni nini?
Adhabu ya dhambi ndogo ni mateso duniani na Toharani. read more...


a.gif Dhambi nyepesi hutupotezea nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ dhambi,
Dhambi nyepesi hutupotezea nini?
1. Hudhoofisha upendo ndani mwetu
2. Huzuia Maendeleo ya roho zetu kwa kuzuia fadhila na kutenda mema.. read more...


a.gif Dhambi nyepesi ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ dhambi,
Dhambi nyepesi ni nini?
Dhambi nyepesi ni kosa la kuvunja Amri ya Mungu au ya Kanisa katika jambo dogo, au jambo kubwa kwa makusudi yasiyo kamili. (1 Yoh 5:17). read more...


a.gif Anayekufa akiwa na dhambi ya mauti huenda wapi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ dhambi,
Anayekufa akiwa na dhambi ya mauti huenda wapi?
Anayekufa akiwa na dhambi ya mauti hutupwa motoni milele. (Mt 25:41). read more...


a.gif Dhambi ya Mauti hutupotezea nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ dhambi,
Dhambi ya Mauti hutupotezea nini?
Dhambi ya Mauti hutupotezea;
1. Upendo ndani mwetu
2. Neema ya Utakaso. read more...


a.gif Dhambi ya mauti ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ dhambi,
Dhambi ya mauti ni nini?
Dhambi ya Mauti ni kosa la kuvunja Amri ya Mungu au ya Kanisa, katika jambo kubwa, kwa fahamu na kusudi. (1 Yoh 5:16). read more...


a.gif Dhambi zinatofautianaje katika uzito?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ dhambi,
Dhambi zinatofautianaje katika uzito?
Kuna:
1. Dhambi ya Mauti (Dhambi kubwa) na
2. Dhambi nyepesi (Dhambi ndogo). read more...


a.gif Je kuna aina tofauti ya dhambi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ dhambi,
Je kuna aina tofauti ya dhambi?
Ndiyo, kuna dhambi za mawazo, maneno, matendi na kutotimiza wajibu.. read more...


a.gif Dhambi ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ dhambi,
Dhambi ni nini?
Dhambi ni kosa la Mtu mwenye kuvunja Amri ya Mungu au ya Kanisa kwa mawazo (tamaa), kwa maneno au kwa matendo. read more...


a.gif Mambo yanayomzuia mtu kuishi maisha mema ni yapi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ dhambi vilema vishawishi,
Mambo yanayomzuia mtu kuishi maisha mema ni yapi?
Mambo hayo ni;
1. Dhambi
2. Vilema
3. Vishawishi. read more...


a.gif Dhambi za uchafu huleta hasara gani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ amri_ya_sita dhambi,
Dhambi za uchafu huleta hasara gani?
Huleta hasara hizi;. read more...


a.gif Je, nje ya kitubio tunaweza kuondolewa dhambi tuliyotenda baada ya ubatizo?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ dhambi kitubio,
Je, nje ya kitubio tunaweza kuondolewa dhambi tuliyotenda baada ya ubatizo?
Ndiyo, nje ya kitubio tunaweza kuondolewa dhambi tuliyotenda baada ya ubatizo, lakini ni vigumu zaidi, kwa sababu hatupati msaada wa sakramenti hiyo maalumu.. read more...