a.gif Mkristo akipokea Ekaristi Takatifu akiwa na dhambi rohoni anatenda dhambi gani?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 dhambi ekaristi misa,
Mkristo akipokea Ekaristi Takatifu akiwa na dhambi rohoni anatenda dhambi gani?
Mkristo akipokea Ekaristi Takatifu akiwa na dhambi anatenda dhambi kubwa yaani kufuru Sakramenti.

26 Maana kila mnapokula mkate huu na kukinywa kikombe hiki, mwatangaza kifo cha Bwana, mpaka atakapokuja. 27 Kwa hiyo, kila aulaye mkate huo au kunywa kikombe cha Bwana bila kustahili, atakuwa na hatia dhidi ya mwili na damu ya Bwana. (1 Kor 11;26 - 27). read more...


a.gif Kwa Sakramenti ya Kitubio tunapata neema zipi?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 dhambi kitubio sakramenti,
Kwa Sakramenti ya Kitubio tunapata neema zipi?
Kwa Sakramenti ya Kitubio tunapata neema hizi;. read more...


a.gif Kutimiza malipizi maana yake ni ni nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 dhambi kitubio,
Kutimiza malipizi maana yake ni ni nini?
Kutimiza malipizi maana yake ni kutekeleza kiaminifu sala au matendo aliyotuagiza padre muungamishi ili kulipa adhabu za muda. (Rom 8:17). read more...


a.gif Kitubio tupewacho na padre chatosha?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 dhambi kitubio,
Kitubio tupewacho na padre chatosha?
Ni shida kutosha. Mara nyingi chataka malipizi ya hapa duniani kama kufunga, magonjwa, masumbuko, sala n.k mateso yasipotosha hapa duniani yatakamilishwa toharani. read more...


a.gif Kitubio tuwezacho kupewa na padre ni nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 dhambi kitubio,
Kitubio tuwezacho kupewa na padre ni nini?
Kitubio tuwezacho kupewa na Padre ni kama sala, kufunga, kutoa sadaka kwa maskini, kusoma maandiko matakatifu, kuwatazama wagonjwa, n.k.. read more...


a.gif Padri anaondolea dhambi kwa maneno gani?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 dhambi kitubio,
Padri anaondolea dhambi kwa maneno gani?
Padre anaondolea dhambi kwa maneno haya: Nami "Nakuondolea dhambi zako zote kwa Jina la Baba, na la Mwana na la Roho Mtakatifu".. read more...


a.gif Padri anaondolea dhambi mahali pa nani?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 dhambi kitubio,
Padri anaondolea dhambi mahali pa nani?
Padri anaondolea dhambi mahali pa Mungu. read more...


a.gif Anayekufuru Sakramenti ya Kitubio yampasa nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 dhambi kitubio,
Anayekufuru Sakramenti ya Kitubio yampasa nini?
Yampasa kuziungama tena dhambi zake zote alizotenda tangu ondoleo la mwisho. read more...


a.gif Anayeficha kusudi dhambi ya mauti katika ungamo anaondolewa?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 dhambi kitubio,
Anayeficha kusudi dhambi ya mauti katika ungamo anaondolewa?
Haondolewi, Bali anatenda dhambi kubwa ya kukufuru Sakramenti ya Kitubio. (Mt 7:21-23, Yoh 20:23, Gal 6:7). read more...


a.gif Kuungama ni kufanya nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 dhambi kitubio,
Kuungama ni kufanya nini?
Kuungama ni kumwambia Padri wazi wazi dhambi zako ulizotenda, zipi na ngapi ili upate maondoleo.. read more...


a.gif Anayetaka kweli kuacha dhambi afanye nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 dhambi kitubio,
Anayetaka kweli kuacha dhambi afanye nini?
Anayetaka kuacha dhambi afanye nguvu kuvishinda vishawishi, asali/aombe na apokee Sakramenti Mara nyingi hasa Sakramenti ya Kitubio na Ekaristi Takatifu.. read more...


a.gif Kabla ya kuungama ni lazima kufanya nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 dhambi kitubio,
Kabla ya kuungama ni lazima kufanya nini?
Kabla ya kuungama ni lazima kukusudia kuacha dhambi na kuepuka nafasi kubwa ya dhambi bila kusahau kufuata hatua sita za kabla na baada ya kupokea kupokea Sakramenti ya Kutubio ambazo ni,. read more...


a.gif Asiyejuta aweza kuondolewa dhambi?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 dhambi kitubio,
Asiyejuta aweza kuondolewa dhambi?
Asiyejuta hawezi kuondolewa dhambi kabisa, na anayeungama bila kujuta anatenda dhambi kubwa ya kufuru.. read more...


a.gif Majuto yasiyo kamili au majuto pungufu ni nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 dhambi kitubio,
Majuto yasiyo kamili au majuto pungufu ni nini?
Majuto yasiyokamili ni kujuta kwa sababu tumepoteza furaha za Mbinguni na tunahofia adhabu ya Mungu. read more...


a.gif Majuto kamili ni nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 dhambi kitubio,
Majuto kamili ni nini?
Majuto kamili ni kujuta kwa sababu tumemchukiza Mungu mwenyewe aliye mwema na mpendelevu kabisa. read more...


a.gif Kuna majuto ya namna ngapi?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 dhambi kitubio,
Kuna majuto ya namna ngapi?
una majuto ya namna mbili,
1. Majuto kamili/Majuto ya mapendo
2. Majuto yasiyokamili/majuto pungufu/majuto ya hofu. read more...


a.gif Kwa nini tujute dhambi zetu?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 dhambi kitubio,
Kwa nini tujute dhambi zetu?
Tunajuta dhambi zetu kwa sababu tumeukosea Utatu Mtakatifu na tunastahili adhabu yake, na pia bila majuto hatuwezi kupata maondoleo ya dhambi.. read more...


a.gif Kutubu dhambi maana yake ni nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 dhambi kitubio,
Kutubu dhambi maana yake ni nini?
Kutubu dhambi maana yake ni kuona uchungu na chuki moyoni juu ya dhambi tulizotenda na kukusudia kutotenda dhambi tena (Yoh 8:11). read more...


a.gif Utafuteje dhambi wakati wa kujiandaa kuungama?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 dhambi kitubio,
Utafuteje dhambi wakati wa kujiandaa kuungama?
Tafuta dhambi kwa njia hizi. read more...


a.gif Kutafuta dhambi maana yake ni nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 dhambi kitubio,
Kutafuta dhambi maana yake ni nini?
Kutafuta dhambi maana yake ni kujiuliza moyoni dhambi nilizotenda Tangu ungamo la mwisho (Ef 4:17-32). read more...


page 1 of 41234next »