a.gif Je, wanawake wanaweza kupewa daraja?, Mwanamke anaweza kuwa padri?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ daraja,
Je, wanawake wanaweza kupewa daraja?, Mwanamke anaweza kuwa padri?
Hapana, wanawake hawawezi kupewa daraja, kwa sababu kwa karibu miaka elfu mbili mfululizo Kanisa limejiona halina mamlaka ya kufanya tofauti na Yesu. Yeye alichagua wanaume tu kuwa Mitume wake, ingawa walikuwepo wanawake waaminifu kuliko wengi wao, hasa Maria, mtakatifu kuliko wote.. read more...


a.gif Ili tuwe na wachungaji wengi waaminifu tunapaswa kufanya nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ daraja,
Ili tuwe na wachungaji wengi waaminifu tunapaswa kufanya nini?
Ili tuwe na wachungaji wengi waaminifu tunapaswa hasa kusali.. read more...


a.gif Je, wenye daraja wanaweza wakatenda dhambi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ daraja mitume,
Je, wenye daraja wanaweza wakatenda dhambi?
Ndiyo, wenye daraja wanaweza wakatenda dhambi kwa sababu ni binadamu kama sisi sote. Yesu alionja ukosefu wa Mitume hasa wakati wa mateso.. read more...


a.gif Je, wenye daraja wanastahili heshima?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ daraja kanisa,
Je, wenye daraja wanastahili heshima?
Ndiyo, wenye daraja wanastahili heshima kwa sababu ya mamlaka ya Kiroho waliyonayo kutoka kwa Kristo.. read more...


a.gif Je, daraja takatifu zinahitajiwa kabisa na Kanisa?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ daraja kanisa,
Je, daraja takatifu zinahitajiwa kabisa na Kanisa?
Ndiyo, daraja takatifu zinahitajiwa kabisa na Kanisa kwa sababu kazi ya wokovu haimtegemei binadamu, bali Mungu.. read more...


a.gif Daraja na ndoa ni tofauti na sakramenti nyingine kwa sababu gani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ daraja ndoa sakramenti,
Daraja na ndoa ni tofauti na sakramenti nyingine kwa sababu gani?
Daraja na ndoa ni tofauti na sakramenti nyingine kwa sababu hazilengi hasa faida ya mtu anayezipokea, bali huduma zake kwa ajili ya Kanisa na jamii. Daraja inatia uwezo wa Kristo kwa ustawi wa Kanisa, Bibi arusi wake. Ndoa inatia upendo wake mwaminifu kwa ustawi wa familia, kanisa dogo la nyumbani.. read more...


page 2 of 2« previous12