a.gif Matokeo ya Sakramenti ya Daraja ni yapi?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 daraja,
Matokeo ya Sakramenti ya Daraja ni yapi?
1. Inaleta mmiminiko wa kipekee wa Roho Mtakatifuambao unamlinganisha mhusika na Kristo. read more...


a.gif Yatupasa nini kwa wenye Daraja Takatifu?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 daraja,
Yatupasa nini kwa wenye Daraja Takatifu?
Yatupasa
1. Kuwaheshimu. read more...


a.gif Kwa sababu gani cheo cha Padri ni kikubwa sana?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 daraja,
Kwa sababu gani cheo cha Padri ni kikubwa sana?
Kwa sababu Padri anashiriki Upadri wa Yesu Kristo na ni mjumbe kati ya Mungu na Mwanadamu. read more...


a.gif Anayetaka kuwa padri yampasa nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 daraja,
Anayetaka kuwa padri yampasa nini?
Yampasa;
1. Awe na tabia njema, akili za kutosha na afya nzuri.. read more...


a.gif Alama wazi ya Sakramenti ya Daraja Takatifu ni nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 daraja,
Alama wazi ya Sakramenti ya Daraja Takatifu ni nini?
Alama wazi ya Sakramenti ya Daraja Takatifu ni kuweka mikono juu ya yule anayepewa Daraja na kutamka maneneo ya sala ya wakfu.. read more...


a.gif Ni nani aweza kupewa kihalali Sakramenti ya Daraja Takatifu?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 daraja,
Ni nani aweza kupewa kihalali Sakramenti ya Daraja Takatifu?
Mwenye kupewa kihalali Sakramenti ya Daraja Takatifu ni Mwanaume peke yake aliyebatizwa, akiwa na wito nasifa zinazotakiwa na kukubaliwa na Mamlaka ya Kanisa. Ndivyo Yesu Kristu alivyotaka mwenyewe. read more...


a.gif Ni nani wenye uwezo wa kutoa Sakramenti ya Daraja?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 daraja,
Ni nani wenye uwezo wa kutoa Sakramenti ya Daraja?
Wanaotoa Sakramenti ya Daraja Katika ngazi tatu Uaskofu, Upadre, Ushemasi ni Maaskofu waliopewa Daraja halisi kama waandamizi wa Mitume.. read more...


a.gif Kwa Sakramenti ya Daraja Padri anapata mamlaka gani?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 daraja,
Kwa Sakramenti ya Daraja Padri anapata mamlaka gani?
Kwa Sakramenti ya Daraja Padri anapata mamlaka ya
1. Kuadhimisha sadaka ya Misa Takatifu na kutakasa watu kwa njia ya Sakramenti.. read more...


a.gif Ibada ya Daraja inachapa alama gani nafsini mwa aliyepewa?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 daraja,
Ibada ya Daraja inachapa alama gani nafsini mwa aliyepewa?
1. Ibada ya Daraja inatia rohoni alama isiyofutika. read more...


a.gif Baba Mtakatifu ni nani?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 daraja,
Baba Mtakatifu ni nani?
1. Ndiye Askofu Mkuu wa Maaskofu wote. read more...


a.gif Ni nani ampaye padri Daraja la Uaskofu?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 daraja,
Ni nani ampaye padri Daraja la Uaskofu?
Ni Baba Mtakatifu pekee au humteua Askofu mmoja akisaidiwa na maaskofu wengine wawili humweka wakfu Padri huyo kuwa Askofu (Mt 13:2-3). read more...


a.gif Askofu ana kazi gani katika Jimbo lake?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 daraja,
Askofu ana kazi gani katika Jimbo lake?
Askofu katika Jimbo lake anamwakilisha Kristo akitimiza kazi ya kichungaji akisaidiwa na mapadri na mashemasi wake.. read more...


a.gif Askofu ni nani?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 daraja,
Askofu ni nani?
Askofu ndiye mchungaji mkuu wa kanisa Mahalia au Jimbo lake. read more...


a.gif Ibada ya kutolea Daraja ya uaskofu ina matokeo gani?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 daraja,
Ibada ya kutolea Daraja ya uaskofu ina matokeo gani?
Ibada ya kutolea Daraja ya uaskofu ina matokeo yafuatayo;. read more...


a.gif Sakramenti ya Daraja ina ngazi ngapi?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 daraja,
Sakramenti ya Daraja ina ngazi ngapi?
Sakramenti ya Daraja inazo ngazi tatu, nazo ni Ushemasi, Upadre, Uaskofu. read more...


a.gif Ni kwa nini inaitwa Sakramenti ya Daraja?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 daraja,
Ni kwa nini inaitwa Sakramenti ya Daraja?
Inaitwa Sakramenti ya Daraja kwa sababu mtu anapata Sakramenti hii kwa kuweka wakfu kwa ibada ya pekee inayomwezesha kwa nguvu ya Roho Mtakatifu atumie uwezo Mtakatifu kwa niaba na mamlaka ya Yesu Kristo ili kuhudumia Taifa la Mungu. read more...


a.gif Sakramenti ya Daraja ndiyo nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 daraja,
Sakramenti ya Daraja ndiyo nini?
Sakramenti ya Daraja ndiyo Sakramenti ambayo mwanamme mkatoliki aliyeitwa na Mungu hupata mamlaka na neema ya kuendeleza ndani ya Kanisa Utume Kristo aliowakabidhi Mitume wake. read more...


a.gif Ni zipi Sakramenti za Huduma ya ushirika na utume?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 daraja ndoa,
Ni zipi Sakramenti za Huduma ya ushirika na utume?
Ni Sakramenti mbili ambazo ni Sakramenti ya Daraja na Sakramenti ya Ndoa. read more...


a.gif Je, mwenye daraja anaweza kuwa na ndoa?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 daraja,
Je, mwenye daraja anaweza kuwa na ndoa?
Ndiyo, mwenye daraja anaweza kuwa na ndoa.. read more...


a.gif Je, kutoa daraja kwa wanaume tu ni kuwakosea haki wanawake?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 daraja,
Je, kutoa daraja kwa wanaume tu ni kuwakosea haki wanawake?
Hapana, kutoa daraja kwa wanaume tu si kuwakosea haki wanawake, kwa kuwa hizo ni huduma zinazofaidisha wote.. read more...


page 1 of 212next »