a.gif Je, Maria ni mama yetu pia?

Category ๐Ÿ‘‰katekisimu, Tags ๐Ÿ‘‰ bikira_maria,
Je, Maria ni mama yetu pia?
Ndiyo, Maria ni mama yetu pia: kwa kushiriki kazi yote ya Mwanae, Adamu mpya, amekuwa Eva mpya, mama wa wale wote aliowakomboa msalabani.. read more...


a.gif Je, Maria amechangia wokovu wetu?

Category ๐Ÿ‘‰katekisimu, Tags ๐Ÿ‘‰ bikira_maria,
Je, Maria amechangia wokovu wetu?
Ndiyo, Maria amechangia wokovu wetu kwa kukubali mpango wote wa Mungu aliyetaka amzae Mwanae, amlee na kumfuata kiaminifu hadi msalabani, aliposhiriki kumtoa kama sadaka ya kutuokoa.. read more...


a.gif Kwa nini Maria anastahili kuitwa โ€œMama wa Munguโ€?

Category ๐Ÿ‘‰katekisimu, Tags ๐Ÿ‘‰ bikira_maria kanisa madhehebu mungu,
Kwa nini Maria anastahili kuitwa โ€œMama wa Munguโ€?
Maria anastahili kuitwa โ€œMama wa Munguโ€ kwa sababu Mwana wa milele wa Mungu, ambaye ni Mungu sawa na Baba, alifanyika mtu toka kwake. Akiwa mja mzito alishangiliwa: โ€œUmebarikiwa wewe katika wanawake, naye mzao wa tumbo lako amebarikiwa. Limenitokeaje neno hili, hata mama wa Bwana wangu anijilie mimi?. read more...


a.gif Malaika alimsalimia Maria โ€œumejaa neemaโ€: maana yake nini?

Category ๐Ÿ‘‰katekisimu, Tags ๐Ÿ‘‰ bikira_maria,
Malaika alimsalimia Maria โ€œumejaa neemaโ€: maana yake nini?
Malaika alimsalimia Maria โ€œumejaa neemaโ€ (Lk 1:28) maana ndiye tunda bora la ukombozi ulioletwa na Yesu.. read more...


a.gif Hapa duniani Yesu alizaliwa na nani?

Category ๐Ÿ‘‰katekisimu, Tags ๐Ÿ‘‰ bikira_maria yesu,
Hapa duniani Yesu alizaliwa na nani?
Hapa duniani Yesu alizaliwa na Bikira Maria kama malaika alivyomuambia:. read more...


a.gif Kwa nini wakatoliki wanaweka sanamu Kanisani?

Category ๐Ÿ‘‰katekisimu, Tags ๐Ÿ‘‰ amri_ya_kwanza bikira_maria ibada kanisa kuabudu madhehebu sanamu,
Kwa nini wakatoliki wanaweka sanamu Kanisani?
Tunaweka sanamu Kanisani kwa sababu tunaheshimu anayewakilishwa na sanamu hiyo kwa mfano Yesu Kristo, Mama Bikira Maria, Malaika na Watakatifu; na kamwe hatuziabudu. (Kutoka 25:18-22). read more...


a.gif Nafasi ya Heshima kwa Bikira Maria ni ipi?

Category ๐Ÿ‘‰katekisimu, Tags ๐Ÿ‘‰ bikira_maria kanisa mungu utatu_mtakatifu,
Nafasi ya Heshima kwa Bikira Maria ni ipi?
Nafasi ya Heshima kwa Bikira Maria inafuata baada ya Heshima kwa Utatu Mtakatifu. read more...


a.gif Bikira Maria anafaida yeyote kwa Kanisa?

Category ๐Ÿ‘‰katekisimu, Tags ๐Ÿ‘‰ bikira_maria kanisa,
Bikira Maria anafaida yeyote kwa Kanisa?
Ndiyo. Bikira Maria ni mwombezi Mkuu wa Kanisa.. read more...


a.gif Ni kwa nini Bikira Maria anaitwa Mama wa Kanisa?

Category ๐Ÿ‘‰katekisimu, Tags ๐Ÿ‘‰ bikira_maria kanisa,
Ni kwa nini Bikira Maria anaitwa Mama wa Kanisa?
Bikira Maria anaitwa Mama wa Kanisa kwa sababu ni yeye aliyemzaa Yesu Kristo ambaye amelianzisha Kanisa.. read more...


a.gif Ni kwa nini Bikira Maria anaitwa Mama wa Mungu? Na kwa nini aheshimiwe?

Category ๐Ÿ‘‰katekisimu, Tags ๐Ÿ‘‰ bikira_maria kanisa madhehebu,
Ni kwa nini Bikira Maria anaitwa Mama wa Mungu? Na kwa nini aheshimiwe?
Bikira Maria anaitwa Mama wa Mungu kwa sababu amemzaa Yesu na Yesu ni Mungu.. read more...


a.gif Bikira Maria alimzaa Yesu Kristo kwa uwezo gani?

Category ๐Ÿ‘‰katekisimu, Tags ๐Ÿ‘‰ bikira_maria yesu,
Bikira Maria alimzaa Yesu Kristo kwa uwezo gani?
Bikira Maria alimzaa Yesu Kristo kwa uwezo wa Roho Mtakatifu. (Lk 1:35). read more...


a.gif Mama wa Yesu ni nani?

Category ๐Ÿ‘‰katekisimu, Tags ๐Ÿ‘‰ bikira_maria yesu,
Mama wa Yesu ni nani?
Mama wa Yesu Kristo ni Bikira Maria.. read more...


a.gif Bikira Maria kukingiwa dhambi ya asili maana yake ni nini?

Category ๐Ÿ‘‰katekisimu, Tags ๐Ÿ‘‰ asili bikira_maria dhambi,
Bikira Maria kukingiwa dhambi ya asili maana yake ni nini?
Bikira Maria kukingiwa dhambi ya asili maana yake hakuzaliwa na dhambi ya asili kama binadamu wengine. read more...


a.gif Ni ipi sala bora kwa Bikira Maria? Kwa nini Tunasali kwa Bikira Maria?

Category ๐Ÿ‘‰katekisimu, Tags ๐Ÿ‘‰ bikira_maria kanisa madhehebu sala,
Ni ipi sala bora kwa Bikira Maria? Kwa nini Tunasali kwa Bikira Maria?

Sala bora kwa Bikira Maria ni Rozari Takatifu. read more...


a.gif Bikira Maria Katika dini ya Kiislamu

Category ๐Ÿ‘‰katoliki, Tags ๐Ÿ‘‰ bikira_maria kiislamu,
Bikira Maria Katika dini ya Kiislamu
Kurani inamtaja mwanamke mmoja tu, tena mara 34: ni Mariamu, mama wa nabii Isa. Akichanganywa na dada wa Haruni na Musa, aliyekuwa na jina hilohilo, anatajwa kama binti Imrani. Pia habari nyingine kadhaa zinapishana na zile za Injili.. read more...


a.gif Jinsi Biblia inavyomueleza Bikira Maria

Category ๐Ÿ‘‰katoliki, Tags ๐Ÿ‘‰ biblia bikira_maria,
Jinsi Biblia inavyomueleza Bikira Maria
Biblia inafundisha hivi,. read more...


a.gif Maana ya jina Bikira Maria

Category ๐Ÿ‘‰katoliki, Tags ๐Ÿ‘‰ bikira_maria,
Maana ya jina Bikira Maria
Jina asili kwa Kiaramu ni ืžืจื™ื, Maryฤm lenye maana ya "Bibi"; watafsiri wa kwanza wa Biblia ya Kiebrania wanaojulikana kama Septuaginta (LXX) waliliacha kama lilivyo wakiandika kwa Kigiriki ฮœฮฑฯฮฏฮฑฮผ, Mariam, au walilifupisha wakiandika ฮœฮฑฯฮฏฮฑ, Maria.. read more...


a.gif Kifungu cha Biblia kinachothibitisha kua Bikira Maria Mama wa Yesu ni Mama wa Wakristu Wote

Category ๐Ÿ‘‰katoliki, Tags ๐Ÿ‘‰ biblia bikira_maria mahubiri,
Kifungu cha Biblia kinachothibitisha kua Bikira Maria Mama wa Yesu ni Mama wa Wakristu Wote
Kwa ufupi. read more...


page 4 of 4« previous1234