a.gif Biblia ya Kiswahili- Agano la Kale

Category πŸ‘‰library, Tags πŸ‘‰ biblia dini,
Biblia ya Kiswahili- Agano la Kale
pdf: 'file:biblia-agano-la-kale/BIBLIA-AGANO-LA-KALE.pdf'
maelezo: ''. read more...


a.gif Biblia ya Kiswahili- Agano Jipya

Category πŸ‘‰library, Tags πŸ‘‰ biblia dini,
Biblia ya Kiswahili- Agano Jipya
pdf: 'file:biblia-agano-jipya/BIBLIA-AGANO-JIPYA.pdf'
maelezo: ''. read more...


a.gif Tupokeeje ufunuo wa Mungu?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ biblia kanisa madhehebu mapokeo ufunuo,
Tupokeeje ufunuo wa Mungu?
Tupokee ufunuo wa Mungu kwa kusadiki mafundisho ya Kanisa lake, ili tuzidi kumjua na kuambatana naye bila ya kudanganyika. Yesu aliwaambia Mitume wake,. read more...


a.gif Tueleweje Maandiko Matakatifu?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ biblia madhehebu mapokeo,
Tueleweje Maandiko Matakatifu?
Tuelewe Maandiko Matakatifu kwa kuzingatia hasa Mungu alitaka kusema nini kuhusu wokovu wetu kupitia waandishi wengi aliowaongoza kuyatunga kwa lugha na mitindo mbalimbali.. read more...


a.gif Kati ya vitabu vya Biblia, vilivyo bora ni vipi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ biblia,
Kati ya vitabu vya Biblia, vilivyo bora ni vipi?
Kati ya vitabu vya Biblia, vilivyo bora ni Injili 4 zilizoandikwa na Mathayo, Marko, Luka na Yohane.. read more...


a.gif Yesu alitimiliza Agano la Kale kwa namna isiyotarajiwa hasa lini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ biblia yesu,
Yesu alitimiliza Agano la Kale kwa namna isiyotarajiwa hasa lini?
Yesu alitimiliza Agano la Kale kwa namna isiyotarajiwa hasa aliposulubiwa, akionekana na Wayahudi wenzake kama kwamba amelaaniwa:. read more...


a.gif Je, inafaa tushike neno lolote la Agano la Kale kama Wayahudi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ biblia kanisa madhehebu mapokeo,
Je, inafaa tushike neno lolote la Agano la Kale kama Wayahudi?
Hapana, haifai tushike neno lolote la Agano la Kale kama Wayahudi wasiozingatia jinsi Yesu alivyolitimiliza kwa maneno na matendo hata wakamshutumu kutenda kinyume:. read more...


a.gif Je, vitabu vyote vya Biblia vinahusiana?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ biblia,
Je, vitabu vyote vya Biblia vinahusiana?
Ndiyo, vitabu vyote vya Biblia vinahusiana kwa kuwa vinaangaziana na kuunda kitabu kimoja ambacho ni Neno la Mungu yuleyule, ingawa katika hatua tofauti: Agano la Kale ndiyo maandalizi na Agano Jipya ndio utimilifu wake.. read more...


a.gif Je, vitabu vya Biblia vinatofautiana?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ biblia,
Je, vitabu vya Biblia vinatofautiana?
Ndiyo, vitabu vya Biblia vinatofautiana kwa kuwa Mungu alijifunua hatua kwa hatua; hivyo vitabu 46 vilivyoandikwa kabla ya Yesu vinaitwa Agano la Kale na 27 vilivyomfuata vinaitwa Agano Jipya.. read more...


a.gif Biblia iliandikwa kwa kusudi gani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ biblia,
Biblia iliandikwa kwa kusudi gani?
Biblia iliandikwa kusudi tupate β€œkuamini ya kwamba Yesu ndiye Kristo, Mwana wa Mungu; na kwa kuamini” tuwe β€œna uzima wa milele” (Yoh 20:31).. read more...


a.gif Sababu nyingine za Biblia kutojitosheleza ni zipi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ biblia madhehebu mapokeo,
Sababu nyingine za Biblia kutojitosheleza ni zipi?
Sababu nyingine za Biblia kutojitosheleza ni kwamba mambo mengi muhimu hayakuandikwa,. read more...


a.gif Tunatambuaje Maandiko Matakatifu kati ya maandishi yote ya binadamu?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ biblia madhehebu mapokeo,
Tunatambuaje Maandiko Matakatifu kati ya maandishi yote ya binadamu?
Tunatambua Maandiko Matakatifu kati ya maandishi yote ya binadamu kwa njia ya Mapokeo, yaani kwa sababu yametumiwa na Kanisa tangu mwanzo kwa kulisha kwa hakika imani yake.. read more...


a.gif Je, Biblia zote ni sawa?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ biblia madhehebu,
Je, Biblia zote ni sawa?
Hapana, Biblia zote si sawa. Tujihadhari na matoleo mapungufu ambamo vimenyofolewa vitabu 7 vizima na sehemu kadhaa za vitabu vingine vilivyotumiwa na Wakristo wa kwanza.. read more...


a.gif Maandiko Matakatifu ndiyo nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ biblia roho_mtakatifu,
Maandiko Matakatifu ndiyo nini?
Maandiko Matakatifu ndiyo vitabu vyote 73 ambavyo viliandikwa na watu kwa uvuvio wa Roho Mtakatifu vikakusanywa na Kanisa kwa jina la β€œBiblia”, yaani β€œVitabu”.. read more...


a.gif Mapokeo ya Mitume ndiyo nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ biblia mapokeo mitume,
Mapokeo ya Mitume ndiyo nini?
Mapokeo ya Mitume ndiyo yale yote ambayo Yesu aliwakabidhi Mitume wake, na kwa uwezo wa Roho Mtakatifu yatadumu hata mwisho wa dunia katika mafundisho, liturujia na maisha ya Kanisa.. read more...


a.gif Neno Bwana lina maana gani katika Biblia?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ biblia yesu,
Neno Bwana lina maana gani katika Biblia?
Neno Bwana Katika Biblia linamaanisha "Mungu Mtawala". read more...


a.gif Mataifa yaliyotokana na Noa

Category πŸ‘‰bibhath, Tags πŸ‘‰ biblia hadithi kale mataifa mwanzo noa,
Mataifa yaliyotokana na Noa
1 Hivi ndivyo vizazi vya wana wa Nuhu, Shemu, na Hamu, na Yafethi. Na kwao walizaliwa wana wa kiume baada ya gharika.. read more...


a.gif Jinsi Biblia inavyomueleza Bikira Maria

Category πŸ‘‰katoliki, Tags πŸ‘‰ biblia bikira_maria,
Jinsi Biblia inavyomueleza Bikira Maria
Biblia inafundisha hivi,. read more...


a.gif Kifungu cha Biblia kinachothibitisha kua Bikira Maria Mama wa Yesu ni Mama wa Wakristu Wote

Category πŸ‘‰katoliki, Tags πŸ‘‰ biblia bikira_maria mahubiri,
Kifungu cha Biblia kinachothibitisha kua Bikira Maria Mama wa Yesu ni Mama wa Wakristu Wote
Kwa ufupi. read more...


a.gif Maelezo ya Kitabu cha Mwanzo Cha Biblia

Category πŸ‘‰wiki, Tags πŸ‘‰ ” agano ahadi ambalo β€œasili au biblia cha β€œchanzo β€œchimbuko” dhambi β€œgenesis” hiki ingawa jina kabla kale kama karne kinaanza kinaeleza kitabu kiyunani kristo. kuelezea la lijulikanalo lililopewa linatokana maana maelezo mkubwa mtazamo mwanadamu mwanadamu. mwanamke mwanamume mwanzo β€œmwanzo” na ndilo neno ni septuagint.katika tagi: tatu ulimwengu utangulizi uumbaji vitu vyote wa watafsiri ya yaani yake,
Maelezo ya Kitabu cha Mwanzo Cha Biblia
Neno β€œMwanzo” linatokana na neno la Kiyunani β€œgenesis” ambalo maana yake ni β€œasili,” β€œchimbuko” au β€œchanzo,”
ambalo ndilo jina lililopewa kitabu hiki na watafsiri wa Agano la Kale la Kiyunani lijulikanalo kama
Septuagint.katika karne ya tatu kabla ya Kristo. Ingawa kitabu hiki cha Mwanzo kinaanza kuelezea uumbaji wa
vitu vyote, mtazamo mkubwa ni uumbaji wa mwanadamu. Kitabu hiki kinaeleza mwanzo wa ulimwengu, mwanzo
wa mwanadamu, yaani, mwanamke na mwanamume, mwanzo wa dhambi ya mwanadamu, mwanzo wa ahadi na
mipango ya Mungu ya wokovu na uhusiano wa kipekee kati ya Abrahamu na Mungu. Kitabu kinaelezea juu ya
watu mahsusi wa Mungu na mipango Yake katika maisha yao. Baadhi ya watu hawa ni Adamu na
Eva,wanadamu wa kwanza kabisa kuumbwa, Noa, Abrahamu, Isaki, Yakobo, Yosefu na ndugu zake na wengine
wengi.
Mwanzo ni kitabu cha kwanza miongoni mwa vile vitabu vinavyoitwa, β€˜β€˜Vitabu Vitano vya Mose,’’ vilivyoko
mwanzoni mwa Biblia. Vitabu hivi vinaitwa pia vitabu vya sheria kwa sababu ndipo palipoandikwa maagizo na
sheria za Mungu kwa watu wa Israeli. Kitabu hiki cha Mwanzo kama kitabu cha utangulizi katika habari za
Mungu kuendelea kujifunua mwenyewe katika jamaaa ya wanadamu,jambo hili ni la muhimu sana.Katika
kitabu
hiki ndiko tunapopata ahadi ya kwanza kabisa ya ukombozi wa mwanadamu aliyeanguka, β€œβ€¦.uzao wa
mwanamke utakuponda kichwa…”(3:15). Mwanzo kinaelezea jinsi ilivyotokea hadi Israeli wakafanyika watu
maalum wa Mungu.. read more...