a.gif Vitabu vya Historia katika Biblia ni vipi?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 biblia,
Vitabu vya Historia katika Biblia ni vipi?
Vitabu vya Historia katika Biblia ni
1. Yoshua
2. Waamuzi
3. Ruthu
4. 1 Samweli
5. 2 Samweli
6. 1 Wafalme. read more...


a.gif Mungu alimpa Musa Amri Kumi wapi?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 biblia,
Mungu alimpa Musa Amri Kumi wapi?
Mungu alimpa Musa Amri Kumi katika mlima wa Sinai. read more...


a.gif Nani aliwatoa Waisraeli MIsri na Kuwaongoza Katika nchi ya Ahadi?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 biblia,
Nani aliwatoa Waisraeli MIsri na Kuwaongoza Katika nchi ya Ahadi?
Musa ndiye aliwatoa Waisraeli MIsri na Kuwaongoza Katika nchi ya Ahadi. read more...


a.gif Watoto wa Yakobo ni Wepi?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 biblia,
Watoto wa Yakobo ni Wepi?
Watoto wa Yakobo ni
1. Reubeni
2. Simeoni
3. Lawi
4.Yuda
5. Dani. read more...


a.gif Mababu watatu wa Imani Katika Biblia ni wakina nani?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 biblia,
Mababu watatu wa Imani Katika Biblia ni wakina nani?
Mababu wa Imani ni Ibrahimu, Isaka na Yakobo. read more...


a.gif Watoto wa Nuhu ni wepi?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 biblia,
Watoto wa Nuhu ni wepi?
Watoto wa Nuhu ni Shemu, Hamu na Nefteli. read more...


a.gif Watoto wawili wa Adamu na Eva walkikuwa wepi?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 biblia,
Watoto wawili wa Adamu na Eva walkikuwa wepi?
Walikuwa ni Kaini na Abeli. read more...


a.gif Injili ni nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 biblia,
Injili ni nini?
Injili ni Habari njema ya wokovu iliyoletwa na Yesu Kristo. read more...


a.gif Kitabu cha kwanza na cha mwisho katika Agano Jipya ni vipi?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 biblia,
Kitabu cha kwanza na cha mwisho katika Agano Jipya ni vipi?
Kitabu cha kwanza na cha mwisho katika Agano Jipya ni. read more...


a.gif Kitabu cha kwanza na cha mwisho katika Agano la Kale ni vipi?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 biblia,
Kitabu cha kwanza na cha mwisho katika Agano la Kale ni vipi?
Kitabu cha kwanza na cha mwisho katika Agano la Kale ni. read more...


a.gif Wainjili wanne Katika Agano Jipya ni wakina nani?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 biblia,
Wainjili wanne Katika Agano Jipya ni wakina nani?
Wainjili wanne Katika Agano Jipya ni
1. Mathayo
2. Marko. read more...


a.gif Vitabu vya Musa ni vipi?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 biblia,
Vitabu vya Musa ni vipi?
Vitabu vya Musa ni
1. Mwanzo
2. Kutoka. read more...


a.gif Vitabu vya Agano Jipya Vimegawanywa katika sehemu ngapi?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 biblia,
Vitabu vya Agano Jipya Vimegawanywa katika sehemu ngapi?
Vitabu vya Agano Jipya Vimegawanywa katika sehemu 4 nazo ni
1. Injili (4)
2. Kitabu cha Matendo ya Mitume. read more...


a.gif Vitabu vya Agano la Kale vimegawanywa katika sehemu ngapi?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 biblia,
Vitabu vya Agano la Kale vimegawanywa katika sehemu ngapi?
Vitabu vya Agano la Kale vimegawanywa katika sehemu 4 nazo ni
1. Vitabu vya Musa (5)
2. Vitabu vya Historia (16). read more...


a.gif Biblia nzima ina vitabu vingapi?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 biblia,
Biblia nzima ina vitabu vingapi?
Biblia nzima ina vitabu 73. read more...


a.gif Agano Jipya lina vitabu vingapi?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 biblia,
Agano Jipya lina vitabu vingapi?
Agano Jipya lina vitabu 27. read more...


a.gif Agano la Kale lina vitabu vingapi?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 biblia,
Agano la Kale lina vitabu vingapi?
Agano la Kale lina vitabu 46. read more...


a.gif Biblia ina sehemu kuu ngapi?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 biblia,
Biblia ina sehemu kuu ngapi?
Biblia ina sehemu kuu 2 (mbili) ambazo ni. read more...


a.gif Biblia ni nini? Asili, Historia, waandishi na mipaka yake

Category 👉katekisimu, Tags 👉 asili biblia kanisa katoliki madhehebu mapokeo mitume roho_mtakatifu visakramenti watakatifu,
Biblia ni nini? Asili, Historia, waandishi na mipaka yake
Biblia ni mkusanyiko wa vitabu mbalimbali vinavyohusu kazi ya Mungu ya kuwakomboa mwanadamu kuanzia enzi za Mababu na manabii Wa Waisraeli, Enzi za Yesu na za Mitume wa Yesu.. read more...


a.gif Neno "BIBLIA" maana yake ni nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 biblia,
Neno "BIBLIA" maana yake ni nini?
Neno "BIBLIA" ni neno linalotokana na neno la Kigiriki "Biblion" lenye maana ya vitabu.. read more...