a.gif Amri ya Sita ya Kanisa Inadai nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ amri_za_kanisa,
Amri ya Sita ya Kanisa Inadai nini?
Inadai kushika Sheria Takatifu Za ndoa. read more...

a.gif Asiyelipa Zaka na michango mingine ya Kanisa ya lazima atenda dhambi gani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ amri_za_kanisa,
Asiyelipa Zaka na michango mingine ya Kanisa ya lazima atenda dhambi gani?
Atenda dhambi kubwa: Yampasa kulipa na kuungama.. read more...

a.gif Zaka ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ amri_za_kanisa maana,
Zaka ni nini?
Zaka ni asilimia kumi (10%) ya pato la mtu kwa mwaka ambalo anapaswa kulitoa kwa Kanisa.. read more...

a.gif Katika Amri ya Tano ya Kanisa tumeamriwa nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ amri_za_kanisa,
Katika Amri ya Tano ya Kanisa tumeamriwa nini?
Katika Amri ya Tano ya Kanisa tumeamriwa kufahamu kuwa gharama za dini na za mapadre zatupasa. Yaanai wakristo walitegemeze Kanisa na wahudumu wake na hasa katika kazi ya kueneza injili.. read more...

a.gif Katika Amri ya Nne ya Kanisa tumeamriwa nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ amri_za_kanisa,
Katika Amri ya Nne ya Kanisa tumeamriwa nini?
Katika Amri ya Nne ya Kanisa tumeamriwa tupokee Ekaristi Takatifu walau mara moja kwa mwaka wakati wa pasaka.. read more...

a.gif Katika Amri ya Tatu ya Kanisa tumeamriwa nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ amri_za_kanisa,
Katika Amri ya Tatu ya Kanisa tumeamriwa nini?
Katika Amri ya Tatu ya Kanisa tumeamriwa kuungama mara kwa mara walau mara moja kila mwaka. read more...

a.gif Siku za kufunga ni zipi? Na siku gani tumekatazwa kula nyama?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ amri_za_kanisa,
Siku za kufunga ni zipi? Na siku gani tumekatazwa kula nyama?
Siku za kufunga ni Jumatano ya majivu, siku za Kwaresima isipokuwa Dominika zake, na siku iliyokatazwa kula nyama ni siku ya Ijumaa kuu.. read more...

a.gif Nani ana lazima ya kufunga?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ amri_za_kanisa,
Nani ana lazima ya kufunga?
Kila Mkristo aliyetimiza miaka 14 na zaidi anapaswa kufunga kula nyama (Ijumaa kuu) na mwenye miaka zaidi ya 21 kufunga chakula. (Jumatano ya Majivu). read more...

a.gif Kujinyima ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ amri_za_kanisa,
Kujinyima ni nini?
Kujinyima ni kujikatalia kitu ukipendacho mfano nyama, pombe, sigara, muziki, safari, maongezi n.k.. read more...

a.gif Katika Amri ya Kwanza ya kanisa tumekatazwa nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ amri_za_kanisa,
Katika Amri ya Kwanza ya kanisa tumekatazwa nini?
Tumekatazwa;
1. Kukosa Misa
2. Kufanya kazi nzito siku hizo. read more...

a.gif Sikukuu zilizoamriwa ni zipi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ amri_za_kanisa,
Sikukuu zilizoamriwa ni zipi?
Ndizo:. read more...

a.gif Katika Amri ya kwanza ya Kanisa tumeamriwa nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ amri_za_kanisa,
Katika Amri ya kwanza ya Kanisa tumeamriwa nini?
Tumeamriwa tusikilize Misa kila siku ya Mungu na Sikukuu zilizoamriwa.. read more...

a.gif Amri za Kanisa ni zipi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ amri_za_kanisa,
Amri za Kanisa ni zipi?
Amri za kanisa ni;
1. Hudhuria Misa Takatifu Dominika na sikukuu zilizoamriwa.
2. Funga siku ya Jumatano ya Majivu; usile nyama siku ya Ijumaa Kuu
3.Ungama dhambi zako walau mara moja kila mwaka.
4. Pokea Ekaristi Takatifu hasa wakati wa Pasaka
5. Saidia Kanisa Katoliki kwa zaka
6. Shika sheria Katoliki za ndoa.. read more...