a.gif Anayevunja Amri ya Tatu ya Mungu yampasa nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ amri_ya_tatu,
Anayevunja Amri ya Tatu ya Mungu yampasa nini?
Yampasa atubu na aungame kabla ya kushiriki Sakramenti nyingine. read more...


a.gif Nani atenda dhambi dhidi ya Amri ya tatu ya Mungu?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ amri_ya_tatu,
Nani atenda dhambi dhidi ya Amri ya tatu ya Mungu?
Anayetenda dhambi dhidi ya amri ya tatu ya Mungu ni yule:-. read more...


a.gif Je ni dhambi kukosa Misa Jumapili?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ amri_ya_tatu misa,
Je ni dhambi kukosa Misa Jumapili?
NDIYO. Ni dhambi kubwa kukosa Misa kwa Makusudi siku ya Jumapili/Dominika na Sikukuu zilizoamriwa.. read more...


a.gif Kazi nzito zilizokatazwa kufanyika siku ya Bwana ni zipi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ amri_ya_tatu,
Kazi nzito zilizokatazwa kufanyika siku ya Bwana ni zipi?
Kazi nzito ni zile za kuchosha mwili na zisizo za lazima kama vile kulima, kujenga, kubeba mizigo mizito, biashara n.k.. read more...


a.gif Katika amri ya tatu ya Mungu tumekatazwa nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ amri_ya_tatu,
Katika amri ya tatu ya Mungu tumekatazwa nini?
Katika Amri ya tatu ya Mungu tumekatazwa kufanya kazi nzito siku ya Dominika/Jumapili.. read more...


a.gif Nani analazima kuhudhuria Misa Takatifu, Dominika na Sikukuu zilizoamriwa?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ amri_ya_tatu,
Nani analazima kuhudhuria Misa Takatifu, Dominika na Sikukuu zilizoamriwa?
Kila Mkatoliki aliyetimiza umri wa Miaka saba na kuendelea ana lazima kuhudhuria Misa Takatifu, Dominika na Sikukuu zilizoamriwa.. read more...


a.gif Siku ya Mungu kwa Mkristo ni lini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ amri_ya_tatu,
Siku ya Mungu kwa Mkristo ni lini?
Siku ya Mungu kwa Mkristo ni siku ya Dominika, ndio siku aliyofufuka Bwana na huitwa pia Siku ya Bwana. read more...


a.gif Katika amri ya tatu ya Mungu tumeamriwa nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ amri_ya_tatu,
Katika amri ya tatu ya Mungu tumeamriwa nini?
Tumeamriwa kuheshimu siku ya Mungu:-. read more...