a.gif Nani anatenda dhambi dhidi ya amri ya tano ya Mungu? Mambo yanayovunja Amri ya Tano ya Mungu

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ amri_ya_tano,
Nani anatenda dhambi dhidi ya amri ya tano ya Mungu? Mambo yanayovunja Amri ya Tano ya Mungu
Anayetemda dhambi dhidi ya amri ya tano ya Mungu ni yule;-. read more...


a.gif Haki gani ya Binadamu ni ya msingi kupita zote?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ amri_ya_tano mtu,
Haki gani ya Binadamu ni ya msingi kupita zote?
Haki ya binadamu iliyo ya msingi kupita zote ni uhai wake ambao ni lazima uheshimiwe na kulindwa tangu siku ya kutungwa mimba. read more...


a.gif Kwa nini ni lazima kutunza uhai wetu na wa wenzetu?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ amri_ya_tano,
Kwa nini ni lazima kutunza uhai wetu na wa wenzetu?
Kwa sababu uhai wa watu wote umetoka kwa Mungu. read more...


a.gif Katika Amri ya Tano ya Mungu tumeamriwa nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ amri_ya_tano,
Katika Amri ya Tano ya Mungu tumeamriwa nini?
Tumeamriwa tutunze uhai wetu na wa watu wengine tangu mwanzo hadi mwisho. (Mwa 4:10-11). read more...