a.gif Je ni lazima kuwasaidia masikini na fukara?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 amri_ya_saba,
Je ni lazima kuwasaidia masikini na fukara?
Ndiyo, Kuwatendea Masikini mema ni kumtendea Yesu mwenyewe. (Mt 25:40). read more...

a.gif Je yatupasa kufanya kazi?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 amri_ya_saba,
Je yatupasa kufanya kazi?
Ndiyo, kwa sababu:. read more...

a.gif Anayeharibu mali ya mwingine lazima afanye nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 amri_ya_saba,
Anayeharibu mali ya mwingine lazima afanye nini?
Anayeharibu mali ya mwingine lazima alipe hasara aliyosababisha. (Lk 19:8). read more...

a.gif Anayejipatia mali kwa njia isiyo ya halali yampasa kufanya nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 amri_ya_saba,
Anayejipatia mali kwa njia isiyo ya halali yampasa kufanya nini?
Anayejipatia mali kwa njia isiyo ya halali yampasa kurudisha gharama yake kwa mwenye mali. read more...

a.gif Amri ya saba ya Mungu inakataza nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 amri_ya_saba,
Amri ya saba ya Mungu inakataza nini?
Inakataza haya;. read more...

a.gif Mtu awatendeje wanyama?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 amri_ya_saba,
Mtu awatendeje wanyama?
Mtu anatakiwa kuwatendea wanyama kwa wema kama viumbe wa Mungu. read more...

a.gif Lengo la mali ya binafsi ni lipi?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 amri_ya_saba,
Lengo la mali ya binafsi ni lipi?
Kutosheleza mahitaji yake mtu binafsi, ya familia, ya wenye shida na ya kanisa.. read more...

a.gif Mali ya mtu ni ipi?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 amri_ya_saba,
Mali ya mtu ni ipi?
Mali ya mtu ni ile aliyoipata kwa njia halali yaani kwa haki.. read more...

a.gif Je, Amri ya Saba ya Mungu inafundisha nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 amri_ya_saba,
Je, Amri ya Saba ya Mungu inafundisha nini?
Amri ya saba ya Mungu inafundisha kuitambua mali ya mtu na kuiheshimu.. read more...