a.gif Wakubwa tunaopaswa kuwaheshimu ni kina nani?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 amri_ya_nne,
Wakubwa tunaopaswa kuwaheshimu ni kina nani?
Wakubwa hao ni;. read more...

a.gif Katika Amri ya Nne ya Mungu tumekatazwa nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 amri_ya_nne,
Katika Amri ya Nne ya Mungu tumekatazwa nini?
Tumekatazwa haya;. read more...

a.gif Lini tunakatazwa kuwatii watu?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 amri_ya_nne,
Lini tunakatazwa kuwatii watu?
Tunakatazwa kuwatii watu wanaotuamuru jambo lililokatazwa na Mungu (Mdo 5:29). read more...

a.gif Wazazi wawaleeje watoto wao katika imani ya Kikristo?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 amri_ya_nne,
Wazazi wawaleeje watoto wao katika imani ya Kikristo?
Wawalee hasa kwa mfano wao, kwa sala, kwa katekesi ya kifamilia na kushiriki maisha ya Kanisa. read more...

a.gif Twawakosea Heshima Baba na Mama kwa kufanya nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 amri_ya_nne,
Twawakosea Heshima Baba na Mama kwa kufanya nini?
Twawakosea Heshima Baba na Mama kwa;. read more...

a.gif Tuwaheshimu Baba na Mama kwa matendo gani?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 amri_ya_nne,
Tuwaheshimu Baba na Mama kwa matendo gani?
Tuwaheshimu Baba na Mama kwa matendo ya adabu, heshima, utii na mapendo (Ayu 3:12). read more...

a.gif Wazazi na wakubwa wameamriwa nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 amri_ya_nne,
Wazazi na wakubwa wameamriwa nini?
Wazazi na wakubwa wameamriwa watutunze na kutulea. read more...

a.gif Kwa sababu gani yatupasa kuwaheshimu Baba na Mama?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 amri_ya_nne,
Kwa sababu gani yatupasa kuwaheshimu Baba na Mama?
Yatupasa kuwaheshimu Baba na Mama kwa sababu;. read more...

a.gif Amri ya Nne ya Mungu tumeamriwa nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 amri_ya_nne,
Amri ya Nne ya Mungu tumeamriwa nini?
Tumeamriwa tuwaheshimu wazazi wetu na wakubwa wote, tuwapende, tuwatii na tuwaombee. (Kut 20:12), Kol 3:20. read more...

a.gif Katika Amri ya nne ya Mungu tumeamriwa nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 amri_ya_nne,
Katika Amri ya nne ya Mungu tumeamriwa nini?
Tumeamriwa tuwaheshimu wazazi wetu na wakubwa wetu wote, tuwapende, tuwatii na tuwaombee. (Kut 20:12, Kol 3:20). read more...