a.gif Tunalinda heshima ya wengine kwa namna gani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ amri_ya_nane,
Tunalinda heshima ya wengine kwa namna gani?
Tunalinda heshima ya wengine kwa kuwaza na kusema mema juu yao. (1Kor 13:6). read more...

a.gif Aliyeharibu heshima ya mwingine yampasa afanye nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ amri_ya_nane,
Aliyeharibu heshima ya mwingine yampasa afanye nini?
Aliyeharibu heshima ya mwingine yampasa kuirudisha kadiri awezavyo.. read more...

a.gif Twaharibu heshima ya wengine kwa namna gani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ amri_ya_nane,
Twaharibu heshima ya wengine kwa namna gani?
Twaharibu Kwa. read more...

a.gif Katika Amri ya Nane Mungu anaamuru nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ amri_ya_nane,
Katika Amri ya Nane Mungu anaamuru nini?
Katika Amri ya Nane Mungu anaamuru tuseme ukweli na tulinde heshima ya wengine. (Mt 5:37, Yak 5:12).. read more...

a.gif Amri ya Nane ya Mungu inatukataza nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ amri_ya_nane,
Amri ya Nane ya Mungu inatukataza nini?
Inakataza haya:. read more...