a.gif Ni nini maana ya kuabudu sanamu?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 amri_kumi amri_ya_kwanza kuabudu sanamu,
Ni nini maana ya kuabudu sanamu?
Kuabudu sanamu ni kukipa kiumbe chochote heshima au upendo anaostahili Mungu peke yake.. read more...


a.gif Mambo gani yanavunja amri ya kwanza ya Mungu?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 amri_kumi amri_ya_kwanza,
Mambo gani yanavunja amri ya kwanza ya Mungu?
Mambo hayo ni;. read more...


a.gif Ni nanai ana kosa kumuabudu Mungu?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 amri_kumi amri_ya_kwanza kuabudu,
Ni nanai ana kosa kumuabudu Mungu?
Anayekosa kumuabudu Mungu ni yule;. read more...


a.gif Mfano wa sanamu takatifu ni zipi?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 amri_kumi amri_ya_kwanza kuabudu sanamu,
Mfano wa sanamu takatifu ni zipi?
Sanamu ya Bikira Maria, Mtoto Yesu, Mt. Yosefu, Moyo wa Yesu na za Watakatifu.. read more...


a.gif Je sanamu zimekatazwa?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 amri_kumi amri_ya_kwanza kuabudu sanamu,
Je sanamu zimekatazwa?
Sanamu hazijakatazwa, ila tunaziheshimu kwa sababu zinatukumbusha Mungu na Watakatifu. (Kut 25:18-22).. read more...


a.gif Je, tuna ruhusa ya kuwaabudu Watakatifu?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 amri_kumi amri_ya_kwanza kuabudu watakatifu,
Je, tuna ruhusa ya kuwaabudu Watakatifu?
Hatuna ruhusa ya kuwaabudu Watakatifu tunawaheshimu tu.. read more...


a.gif Kwa nini yatupasa kuwaheshimu Watakatifu?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 amri_kumi amri_ya_kwanza watakatifu,
Kwa nini yatupasa kuwaheshimu Watakatifu?
Kwa sababu hao ni washindi, rafiki wa Mungu na waombezi wetu.. read more...


a.gif Je, kuna viumbe ambavyo tunaviheshimu kwa kumtukuza Mungu?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 amri_kumi amri_ya_kwanza,
Je, kuna viumbe ambavyo tunaviheshimu kwa kumtukuza Mungu?
Ndiyo twamuheshimu Bikira Maria, Malaika na Watakatifu.. read more...


a.gif Katika amri ya kwanza ya Mungu tumekatazwa nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 amri_kumi amri_ya_kwanza,
Katika amri ya kwanza ya Mungu tumekatazwa nini?
Tumekatazwa kumdharau Mungu na kuweka imani yetu katika viumbe badala ya Mungu.. read more...


a.gif Wakatoliki tunamwabudu Mungu kwa namna gani?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 amri_kumi amri_ya_kwanza kuabudu,
Wakatoliki tunamwabudu Mungu kwa namna gani?
Tunamwabudu Mungu kwa sala , sadaka na matendo mema. read more...


a.gif Katika amri ya kwanza ya Mungu tumeamriwa nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 amri_kumi amri_ya_kwanza,
Katika amri ya kwanza ya Mungu tumeamriwa nini?
Tumeamriwa tusadiki kuwa Mungu ni mmoja, ndiye Baba yetu na Mkubwa wetu: tumpende, tumwabudu yeye peke yake. (Mt 10:33, Kumb 6:4-9). read more...


a.gif Kwa nini Mungu alitupa Amri kumi?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 amri_kumi,
Kwa nini Mungu alitupa Amri kumi?
Mungu alitupa amri kumi ili kutufudisha mambo yatupasayo kwa Mungu, kwa watu na kwetu sisi wenyewe. read more...


a.gif Je, ni lazima kila mtu ashike Amri kumi za Mungu?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 amri_kumi,
Je, ni lazima kila mtu ashike Amri kumi za Mungu?
Ndiyo. Ni lazima kila mtu ashike Amri kumi za Mungu hata kama si Mkristo kwa sababu Mungu ni mkubwa wa watu wote. (Kut 20:1-17, Kumb 5:1-21). read more...


a.gif Amri kumi za Mungu ni zipi?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 amri_kumi,
Amri kumi za Mungu ni zipi?
1. Ndimi Bwana, Mungu wako usiabudu miungu wengine.
2. Usiape bure kwa jina la Mungu wako.
3. Fanya siku ya Mungu. read more...