a.gif Jinsi ya kujua kama una Mimba: Dalili za kwanza kabisa za Ujauzito

Category πŸ‘‰mapishinalishe, Tags πŸ‘‰ afya,
Jinsi ya kujua kama una Mimba: Dalili za kwanza kabisa za Ujauzito
Mwanamke anapopata ujauzito kwa kawaida huwa anaanza kuona dalili ambazo si za kawaida. Na ni wakati huo ambao ni muafaka kwake kuanza kuuchunguza mwili wake.. read more...


a.gif Faida za kula ukwaju

Category πŸ‘‰mapishinalishe, Tags πŸ‘‰ afya,
Faida za kula ukwaju
Ukwaju ni tunda maarufu sana ambalo hupatikana katika maeneo yenye uoto wa kitropiki. Kwa kingereza hujulikana kama tamarind, na kwa kitaalamu (botanical name) huitwa tamarindus indica, waarabu huita tamru alhind. Katika baadhi ya maeneo hutumiwa kama kiungo katika mboga.. read more...


a.gif Namna ya kuondokana na tatizo la kunuka Kikwapa

Category πŸ‘‰mapishinalishe, Tags πŸ‘‰ afya,
Namna ya kuondokana na tatizo la kunuka Kikwapa
Harafu ya jasho inakera, kibaya zaidi ni kuwa wewe mwenyewe husikii harufu hiyo ila wale walio karibu yako. Kwa upande mwingine kujaribu kuzuia kutoka jasho ni hatari kwa afya yako na kujaribu kuondoa harufu kwa kutumia pafyumu husababisha madhara mengine ya kiafya na kwa bahati mbaya perfume zina jaribu poteza harufu kwa mda mfupi tu na sio kutokomeza tatizo hilo.. read more...


a.gif Faida 10 za kulala mapema kiafya

Category πŸ‘‰mapishinalishe, Tags πŸ‘‰ afya,
Faida 10 za kulala mapema kiafya
Mapera ni matunda yanayo patikana kwa wingi lakini mara nyingi huwa hayapendelewi sana kutokana na ugumu wake wakati wa kuyatafuna pamoja na kuwa na mbegu mbegu nyingi. Hata hivyo matunda haya yana faida kubwa sana kwa afya ya mwili wa mwanadamu.. read more...


a.gif Umuhimu wa kufanya Masaji

Category πŸ‘‰mapishinalishe, Tags πŸ‘‰ afya,
Umuhimu wa kufanya Masaji
Kufanya Masaji kuna faida hizi zifuatazo;. read more...


a.gif Vitu ambavyo mama mjamzito hapaswi kutumia

Category πŸ‘‰mapishinalishe, Tags πŸ‘‰ afya,
Vitu ambavyo mama mjamzito hapaswi kutumia
Vipo vitu mbalimbali ambavyo mama mjamzito hapaswi kuvitumia wakati wa ujauzito kwani vina athari kubwa sana kwake yeye mwenyewe pamoja na mwanaye aliye tumboni.. read more...


a.gif Mambo 10 yanayosababisha wanawake washindwe kupata mimba au wawe wagumba

Category πŸ‘‰mapishinalishe, Tags πŸ‘‰ afya,
Mambo 10 yanayosababisha wanawake washindwe kupata mimba au wawe wagumba
Ugumba ni nini ?
Hii ni hali ya wapenzi au mke na mume kutopata ujauzito. Ugumba unaweza kua primary infertility yaani mtu hajawahi kubeba mimba kabisa tangu azaliwe au secondary infertility yaani mtu ambaye amewahi kuzaa lakini kwa sasa ameshindwa kubeba ujauzito. utafiti uanonyesha katika kila ndoa tano au mahusiano matano ya kimapenzi basi uhusiano mmoja una matatizo ya uzazi ya kushindwa kuzaa.. read more...


a.gif Faida za kila kitu kwenye mti wa papai

Category πŸ‘‰mapishinalishe, Tags πŸ‘‰ afya,
Faida za kila kitu kwenye mti wa papai
Watu wengi hulitumia tunda la papai kwa sababu ya utamu wake. Hata hivyo mbali na kuwa na ladha nzuri, tunda la papai lina faida lukuki kwa afya ya mwanadamu.. read more...


a.gif Mambo ya kufanya unapostuka usiku ili kulinda afya yako

Category πŸ‘‰mapishinalishe, Tags πŸ‘‰ afya,
Mambo ya kufanya unapostuka usiku ili kulinda afya yako
Kumekuwepo na tatizo la vifo vya ghafla sana tena kwa watu ambao wana afya njema na hii inatokana na kuamka ghafla usiku ambapo ubongo hukisa damu ya kutosha.. read more...


a.gif Madhara ya dawa za kuulia wadudu maarufu kama viwatilifu

Category πŸ‘‰mapishinalishe, Tags πŸ‘‰ afya,
Madhara ya dawa za kuulia wadudu maarufu kama viwatilifu
Dawa za kuulia wadudu maarufu kama viwatilifu zimetengenezwa kwa lengo la kuangamiza wadudu wanaoharibu mazao au wanaomdhuru binadamu. Hata hivyo kutokana na sababu kuwa lengo la dawa hizi ni kuangamiza, huathiri pia viumbe hai vingine akiwemo binadamu.. read more...


a.gif Faida 14 za kufunga chakula

Category πŸ‘‰mapishinalishe, Tags πŸ‘‰ afya,
Faida 14 za kufunga chakula
Watu wengi wanafahamu kuwa kufunga kula ni swala linalohusiana na imani zaidi. Wengi hawafahamu kuwa kufunga kula kuna manufaa ya kiafya pia. Kufunga kula ni tendo lenye historia ndefu sana ambayo kimsingi chimbuko lake ni sababu za kiimani. Hata hivyo shuhuda na tafiti mbalimbali zimedhihirisha kuwa kuna manufaa mengine kemkem ya kufunga kula mbali na yale ya kiimani.. read more...


a.gif Jinsi ya kuongeza wingi wa mbegu za kiume

Category πŸ‘‰mapishinalishe, Tags πŸ‘‰ afya,
Jinsi ya kuongeza wingi wa mbegu za kiume
Ili kuongeza mbegu za kiume zingatia haya yafuatayo;. read more...


a.gif Jinsi ya kufanya kupunguza unene wa mwili kwa haraka

Category πŸ‘‰mapishinalishe, Tags πŸ‘‰ afya,
Jinsi ya kufanya kupunguza unene wa mwili kwa haraka
Nichukue wasaa huu kukuarika rasmi ewe mpenzi na mfuatiliaji wa blog hii ya Muungwana blog, naomba nichukue walau dakika zako chache niweze kukueleza kinagaubaga ni kwa jinsi gani unaweza kupunguza mwili wako kwa kutumia hatua zifuatavyo:. read more...


a.gif Dalili, athari, kinga na tiba ya ugonjwa wa Kifua Kikuu (TB)

Category πŸ‘‰mapishinalishe, Tags πŸ‘‰ afya,
Dalili, athari, kinga na tiba ya ugonjwa wa Kifua Kikuu (TB)
Kifua kikuu ni ugonjwa unaosababishwa na vimelea vya bacteria na kuenezwa kwa njia ya hewa. Mtu mwenye maambukizi ya kifua kifua kikuu akikohoa, kupiga chafya au kutema mate ovyo husambaza vijidudu hewa, huweza kumwabukiza mtu mwingine kama atakuwa hajaanza kutumia dozi ya kifua kikuu.. read more...


a.gif Jinsi msongo wa mawazo unavyoweza kukusababishia ugonjwa wa moyo

Category πŸ‘‰mapishinalishe, Tags πŸ‘‰ afya,
Jinsi msongo wa mawazo unavyoweza kukusababishia ugonjwa wa moyo
Kila mmoja wetu anaweza kuwa na sababu tofauti inayoweza kumsababishia msongo (stress). Sababu kubwa ambazo husababisha msongo ni masuala ya kazi hata pia masuala ya kijamii. Masuala ya kikazi ni kama kutokuwa na furaha kazini, kazi nyingi, kufanya kazi kwa masaa mengi, kutokuwa na mipangilio bora, kutokujiwekea malengo na mengine mengi.. read more...


a.gif Madhara ya kunywa maji baridi na faida za kunywa maji moto na asali

Category πŸ‘‰mapishinalishe, Tags πŸ‘‰ afya,
Madhara ya kunywa maji baridi na faida za kunywa maji moto na asali
UNYWAJI wa maji baridi, hasa katika joto kali kama la Dar es Salaam, ni kiburudisho kikubwa cha koo na huleta faraja kubwa mwilini. Ni jambo la kawaida pia kwa mtu kuhitaji kunywa maji hayo mara baada ya kula mlo, iwe mchana au usiku.. read more...


a.gif Faida 8 za kula pilipili mbuzi

Category πŸ‘‰mapishinalishe, Tags πŸ‘‰ afya,
Faida 8 za kula pilipili mbuzi
Watu wengi tumekuwa hatufahamu utumiaji wa pipilipili, hasa pilipili mbuzi. Naomba leo tuangalie kwa uchache faida hizo za pilipili mbuzi.. read more...


a.gif Faida na jinsi ya kutumia mbegu ya Parachichi kiafya

Category πŸ‘‰mapishinalishe, Tags πŸ‘‰ afya,
Faida na jinsi ya kutumia mbegu ya Parachichi kiafya
Leo nimekuletea matumizi ya mbegu ya parachichi yenyewe yaani ile inayokuwa katikati ya tunda la parachichi.. read more...


a.gif Mbinu 11 za kufuata ili uweze kuacha pombe

Category πŸ‘‰mapishinalishe, Tags πŸ‘‰ afya,
Mbinu 11 za kufuata ili uweze kuacha pombe
Pombe ni kinywaji kinachotumiwa na watu wengi pasipo hata kufahamu athari zake. Pombe ina athari mbalimbali kiafya na kisaikolojia. Wengi baada ya kuathiriwa na pombe hutamani kuacha matumizi ya pombe lakini ni wachache tu ndiyo hufanikiwa katika hili.. read more...


a.gif Faida 13 za kunywa juisi ya miwa

Category πŸ‘‰mapishinalishe, Tags πŸ‘‰ afya,
Faida 13 za kunywa juisi ya miwa
Unapopita maeneo mengi ya mijini na pembezoni wa miji utakutana na wafanyabiashara wa miwa wanaouza miwa na juisi yake. Wengi hununua juisi ya miwa kwa kuwa hufurahia utamu wake. Lakini umeshajiuliza juisi miwa ina faida gani kiafya?. read more...


page 1 of 7123...67next »