a.gif MASOMO YA MISA NOVEMBA 14, 2019 ALHAMISI JUMA LA 32 LA MWAKA

Category πŸ‘‰masomo-ya-misa, Tags πŸ‘‰ masomo_ya_misa,
MASOMO YA MISA NOVEMBA 14, 2019 ALHAMISI JUMA LA 32 LA MWAKA
Mradi ndani yake mna roho ya welekevu, takatifu, ya pekee, yenye namna mbalimbali, iliyoerevuka, nyepesi kuenea, Dhahiri kusema, safi, wazi, isiyoharibika, ya kupenda wema, hodari, bila kuzuiwa, yenye ukarimu, ya kupenda wanadamu, thabiti, amini, bila mashaka, yenye nguvu, yenye kuangalia mambo yote, na kuingiliana na roho zote zilizo na welekevu, zilizo safi, zilizoerevuka sana. Kwa sababu Hekima huenda upesi kila upande hata kupita mwendo wowote, naam, huenea kote kote katika mambo yote na kupenya ndani yake kwa ajili ya usafi wake.
Maana ndiyo pumzi ya uwezo wa Mungu, na miminiko nakawa la utukufu wake Mwenyezi, hivyo lolote lililo najisi haliwezi kuingia ndani yake. Ndiyo mwangaza kutoka kwa nuru ya milele, na kioo kisicho na mawaa cha kutenda kwake Mungu, na mfano wa wema wake. Nayo ni moja, ina uwezo wa kutenda yote; hujikalia, huweza kuhuisha yote; na tangu kizazi hata kizazi huwaingilia roho takatifu, huwafanya wanadamu kuwa rafiki za Mungu na manabii; maana Mungu humpenda yeye tu akaaye na Hekima. Marini kuliko jua. Hekima hupita makundi ya nyota; ikilinganishwa na nuru, huonekana ya kuwa imezidi; mradi baada ya nuru ya mchana hufuata usiku, bali juu ya Hekima hakuna ovu liishindalo.
Hekima huenea kwa nguvu nyingi toka pembe hii hata pembe hii ya dunia, na kuyaratibisha mambo yote kwa jinsi ya kufaa.. read more...


a.gif Vile unavyoweza kuwa DARAJA au KIKWAZO kwa wengine

Category πŸ‘‰taf, Tags πŸ‘‰ ,
Vile unavyoweza kuwa DARAJA au KIKWAZO kwa wengine
Kwa namna unayoishi unaweza ukawa daraja au kikwazo cha wengine kuishi maisha ya Amani raha na fanaka.
Unaweza ukawa daraja kwa maana kwamba wewe unaweza kuwa sababu ya wengine kupata Baraka na neema za Mungu.
Unaweza kuwa kikwazo kwa maana kwamba unaweza kuwa wewe ni sababu ya wengine kutokupata Baraka na Neema za Mungu.. read more...


a.gif MASOMO YA MISA NOVEMBA 13, 2019 JUMATANO, JUMA LA 32 LA MWAKA

Category πŸ‘‰masomo-ya-misa, Tags πŸ‘‰ masomo_ya_misa,
MASOMO YA MISA NOVEMBA 13, 2019 JUMATANO, JUMA LA 32 LA MWAKA
Enyi wafalme, sikilizeni; enyi waamuzi wa miisho ya dunia jifunzeni; sikieni ninyi mtawalao watu wengi, na kujisifia umati wa mataifa. Kwa maana mlipewa falme zenu na Bwana, na milki zenu na Aliye juu, ambaye atazichunguza kazi zenu, na kuyahojihoji mashauri yenu.. read more...


a.gif MASOMO YA MISA NOVEMBA 12, 2019 JUMANNE, JUMA LA 32 LA MWAKA

Category πŸ‘‰masomo-ya-misa, Tags πŸ‘‰ masomo_ya_misa,
MASOMO YA MISA NOVEMBA 12, 2019 JUMANNE, JUMA LA 32 LA MWAKA
Mungu alimwumba mwanadamu ilia pate kutokuharibika, kwa mfano wake mwenyewe, ila ulimwengu uliingiwa na muti kwa husuda yake Shetani, nao walio wa upande wake hupata kuionja.
Bali roho zao wenye haki wamo mkononi mwa Mungu, wala maumivu hayatawagusa. Machoni pa watu walio wajinga walionekana kwamba wamekufa, na kufariki kwao kulidhaniwa kuwa ni hasara yao, na kusafiri kwao kutoka kwetu kuwa ni uharibifu wao; bali wao wenyewe wamo katika Amani. Kwa sababu hata ikiwa (waonavyo watu) wanaadhibiwa, hata hivyo taraja lao limejaa kutokufa, na wakiisha kustahimili kurudiwa kidogo watapokea wingi wa mema.
Kwa kuwa Mungu amewajaribu, na kuwaona kuwa wamemstahili, kama dhahabu katika tanuru aliwajaribu, akawakubali mithili ya kafara. Wakati wa kujiliwa kwao watang’aa, na kama vimulimuli katika mabua makavu watametameta.
Watahukumu mataifa na kuwatawala kabila za watu; naye Bwana atawamiliki milele na milele. Wenye kumtumaini watafahamu yaliyo kweli, na waaminifu watakaa naye katika upendo; mradi neema na rehema zina wateule wake.. read more...


a.gif Mambo yanayowazuia Waumini na Watumishi wa Mungu Kufikia Ukamilifu na Utakatifu

Category πŸ‘‰taf, Tags πŸ‘‰ ,
Mambo yanayowazuia Waumini na Watumishi wa Mungu Kufikia Ukamilifu na Utakatifu
Leo nimekuandalia Tafakari kuhusu Mambo yanayowazuia Waumini na watumishi wa Mungu Kuishi Kitakatifu na kufikia Ukamilifu. Mambo haya yanaweza yakaonekana sio dhambi au makosa kwa mtu lakini ni vikwazo kwa mtu kufikia Ukamilifu hasa anaposhindwa kuyajua na kuyaepuka. Wengi wanajiona kwamba wako salama lakini kumbe wako katika dhambi.. read more...


a.gif MASOMO YA MISA NOVEMBA 11, 2019 JUMATATU JUMA LA 32 LA MWAKA

Category πŸ‘‰masomo-ya-misa, Tags πŸ‘‰ masomo_ya_misa,
MASOMO YA MISA NOVEMBA 11, 2019 JUMATATU JUMA LA 32 LA MWAKA
Pendeni haki, enyi waamuzi wa dunia; Tafakarini habari za Bwana kwa moyo mwema. Na kumtafuta katika unyofu wa moyo. Kwa sababu huonekana nao wasiomjaribu, na kufunuliwa kwao wasiokosa kumwamini. Mradi fikira zilizopotoka hutenga wanadamu na Mungu, na enzi yake ikijaribiwa, huwafadhaisha wajinga.
Hekima haiingii katika roho ya mtu awazaye maovu, wala haikai katika mwili wa mtu aliyefungwa rehani na dhambi. Kwa kuwa roho takatifu yenye maadili huikimbia hila, hubumburuka kujiepusha na fikira zisizo na akili, hufadhaika kuingiwa na udhalimu.
Maana Hekima ni roho ambayo huwapenda wanadamu, wala haimwachilii mkufuru hatia ya midomo yake; kwa sababu Mungu huvishuhudia viuno vyake, na kuusimamia hasa moyo wake, na kuusikiliza ulimi wake. Roho ya Bwana imeujaza ulimwengu, nayo inayoviungamanisha viumbe vyote hujua maana ya kila sauti.. read more...


a.gif MASOMO YA MISA, NOVEMBA 10, 2019 DOMINIKA YA 32 YA MWAKA C WA KANISA

Category πŸ‘‰masomo-ya-misa, Tags πŸ‘‰ masomo_ya_misa,
MASOMO YA MISA, NOVEMBA 10, 2019 DOMINIKA YA 32 YA MWAKA C WA KANISA
Maombi yangu yafike mbele zako, uutegee ukelele wangu sikio lako, Ee Bwana.. read more...


a.gif MASOMO YA MISA, NOVEMBA 9, 2019 JUMAMOSI, JUMA LA 31 LA MWAKA

Category πŸ‘‰masomo-ya-misa, Tags πŸ‘‰ masomo_ya_misa,
MASOMO YA MISA, NOVEMBA 9, 2019 JUMAMOSI, JUMA LA 31 LA MWAKA
Malaika alinileta mpaka langoni, yaani, lango lile lielekealo upande wa mashariki; na tazama, huo utukufu wa Mungu wa Israeli ulitokea kwa njia ya mashariki; na sauti yake ilikuwa kama mshindo wa maji mengi, nayo nchi iling’aa kwa utukufu wake. Na huo utukufu wa Bwana ukaingia ndani ya nyumba, kwa njia ya lango lile lielekealo upande wa mashariki. Kisha Roho ikaniinua, ikanichukua mpaka ua wa ndani; na tazama, utukufu wa Bwana uliijaza nyumba. Nikasikia sauti ya mmoja asemaye nami, itokayo katika nyumba hiyo; na mtu akasimama karibu nami. Akaniambia, Mwanadamu, hapa ni mahali pa kiti changu cha enzi, na mahali pa nyayo za miguu yangu, nitakapokaa kati ya wana wa Israeli milele.. read more...


a.gif MASOMO YA MISA NOVEMBA 8, 2019 IJUMAA, JUMA LA 31 LA MWAKA

Category πŸ‘‰masomo-ya-misa, Tags πŸ‘‰ masomo_ya_misa,
MASOMO YA MISA NOVEMBA 8, 2019 IJUMAA, JUMA LA 31 LA MWAKA
Ndugu zangu, nimehakikishwa mimi mwenyewe kwa habari zenu ya kuwa ninyi nanyi mmejaa wema, mmejazwa elimu yote, tena mwaweza kuonyana.
Lakini nawaandikia, kwa ujasiri zaidi katika sehemu za waraka huu, kana kwamba kuwakumbusha, kwa neema ile niliyopewa na Mungu,
ili niwe mhudumu wa Kristo Yesu kati ya watu wa Mataifa, niifanyie Injili ya Mungu kazi ya ukuhani, kusudi Mataifa wawe sadaka yenye kibali, ikiisha kutakaswa na Roho Mtakatifu.
Basi, nina sababu ya kuona fahari katika Kristo Yesu mbele za Mungu.
Maana sitathubutu kutaja neno asilolitenda Kristo kwa kazi yangu, Mataifa wapate kutii, kwa neno au kwa tendo,
kwa nguvu za ishara na maajabu, katika nguvu za Roho Mtakatifu; hata ikawa tangu Yerusalemu, na kando kando yake, mpaka Iliriko nimekwisha kuihubiri Injili ya Kristo kwa utimilifu;
kadhalika nikijitahidi kuihubiri Injili, nisihubiri hapo ambapo jina la Kristo limekwisha kutajwa, nisije nikajenga juu ya msingi wa mtu mwingine;
bali kama ilivyoandikwa,
Wale wasiohubiriwa habari zake wataona,
Na wale wasiojasikia watafahamu.. read more...


a.gif MASOMO YA MISA NOVEMBA 7, 2019 ALHAMISI, JUMA LA 31 LA MWAKA

Category πŸ‘‰masomo-ya-misa, Tags πŸ‘‰ masomo_ya_misa,
MASOMO YA MISA NOVEMBA 7, 2019 ALHAMISI, JUMA LA 31 LA MWAKA
Kwa sababu hakuna mtu miongoni mwetu aishiye kwa nafsi yake, wala hakuna afaye kwa nafsi yake.
Kwa maana kama tukiishi, twaishi kwa Bwana, au kama tukifa, twafa kwa Bwana. Basi kama tukiishi au kama tukifa, tu mali ya Bwana.
Maana Kristo alikufa akawa hai tena kwa sababu hii, awamiliki waliokufa na walio hai pia.
Lakini wewe je! Mbona wamhukumu ndugu yako? Au wewe je! Mbona wamdharau ndugu yako? Kwa maana sisi sote tutasimama mbele ya kiti cha hukumu cha Mungu.
Kwa kuwa imeandikwa,
Kama niishivyo, anena Bwana, kila goti litapigwa mbele zangu;
Na kila ulimi utamkiri Mungu.
Basi ni hivyo, kila mtu miongoni mwetu atatoa habari zake mwenyewe mbele za Mungu.. read more...


a.gif MASOMO YA MISA NOVEMBA 6, 2019 JUMATANO, JUMA LA 31 LA MWAKA

Category πŸ‘‰masomo-ya-misa, Tags πŸ‘‰ masomo_ya_misa,
MASOMO YA MISA NOVEMBA 6, 2019 JUMATANO, JUMA LA 31 LA MWAKA
Msiwiwe na mtu chochote, isipokuwa kupendana; kwa maana ampendaye mwenzake ameitimiza sheria. Maana kule kusema, Usizini, Usiue, Usiibe, Usitamani, na ikiwapo amri nyingine yoyote, inajumlishwa katika neno hili, ya kwamba, Mpende jirani yako kama nafsi yako. Pendo halimfanyii jirani neno baya; basi pendo ndilo utimilifu wa sheria.. read more...


a.gif MASOMO YA MISA NOVEMBA 5, 2019 JUMANNE, JUMA LA 31 LA MWAKA

Category πŸ‘‰masomo-ya-misa, Tags πŸ‘‰ masomo_ya_misa,
MASOMO YA MISA NOVEMBA 5, 2019 JUMANNE, JUMA LA 31 LA MWAKA
Sisi tulio wengi tu mwili mmoja katika Kristo, na viungo, kila mmoja kwa mwenzake. Basi kwa kuwa tuna karama zilizo mbalimbali, kwa kadiri ya neema tuliyopewa; ikiwa unabii, tutoe unabii kwa kadiri ya Imani; ikiwa huduma, tuwemo katika huduma yetu; mwenye kufundisha, katika kuonya kwake; mwenye kukirimu, kwa moyo mweupe; mwenye kusimamia, kwa bidi; mwenye kurehemu, kwa furaha.
Pendo na lisiwe na unafiki; lichukieni lililo ovu, mkiambatana na lililo jema. Kwa pendo la udugu, mpendane ninyi kwa ninyi; kwa heshima mkiwatanguliza wenzenu; kwa bidii, si walegevu; mkiwa na juhudi katika roho zenu; mkimtumikia Bwana; kwa tumaini, mkifurahi; katika dhiki, mkisubiri; katika kusali, mkidumu; kwa mahitaji ya watakatifu, mkifuata ukarimu; katika kukaribisha wageni, mkijitahidi.
Wabarikini wanaowaudhi; barikini, wala msilaani. Furahini pamoja nao wafurahio; lieni pamoja nao waliao. Mpatane nia zenu ninyi kwa ninyi. Msinie yaliyo makuu, lakini mkubali kushughulishwa na mambo manyonge.. read more...


a.gif MASOMO YA MISA NOVEMBA 4, 2017 JUMATATU, JUMA LA 31 LA MWAKA

Category πŸ‘‰masomo-ya-misa, Tags πŸ‘‰ masomo_ya_misa,
MASOMO YA MISA NOVEMBA 4, 2017 JUMATATU, JUMA LA 31 LA MWAKA
Karama za Mungu hazina majuto, wala mwito wake.
Kwa maana kama ninyi zamani mlivyomwasi Mungu, lakini sasa mmepta rehema kwa kuasi kwao; kadhalika na hao wameasi sasa, ili kwa kupata rehema kwenu wao nao wapate rehema. Maana Mungu amewafunga wote pamoja katika kuasi ili awarehemu wote.
Jinsi zilivyo kuu utajiri na hekima na maarifa ya Mungu! Maana ni nani aliyeijua nia ya Bwana? Au ni nani aliyekuwa mshauri wake? Au ni nani aliyempa yeye kitu kwanza, naye atalipwa tena? Kwa kuwa vitu vyote vyatoka kwake, viko kwa uweza wake, tena vinarejea kwake. Utukufu una yeye milele. Amina.. read more...


a.gif MASOMO YA MISA, NOVEMBA 03, 2019 DOMINIKA YA 31 YA MWAKA C

Category πŸ‘‰masomo-ya-misa, Tags πŸ‘‰ masomo_ya_misa,
MASOMO YA MISA, NOVEMBA 03, 2019 DOMINIKA YA 31 YA MWAKA C
Wewe Bwana usiniache, Mungu wangu, usijitenge nami, ufanye haraka kunisaidia, ee Bwana, wokovu wangu. read more...


a.gif MASOMO YA MISA, NOVEMBA 2, 2019 JUMAMOSI JUMA LA 30 LA MWAKA KUWAKUMBUKA MAREHEMU WOTE

Category πŸ‘‰masomo-ya-misa, Tags πŸ‘‰ masomo_ya_misa,
MASOMO YA MISA, NOVEMBA 2, 2019 JUMAMOSI JUMA LA 30 LA MWAKA KUWAKUMBUKA MAREHEMU WOTE
Na katika mlima huu Bwana wa majeshi atawafanyia mataifa yote karamu ya vitu vinono, karamu ya divai iliyokaa juu ya urojorojo wake, karamu ya vinono vilivyojaa mafuta, karamu ya divai iliyokaa juu ya urojorojo wake, iliyochujwa sana. Naye katika mlima huu atauharibu uso wa sitara iliyowekwa juu ya watu wote, na utaji ule uliotandwa juu ya mataifa yote. Amemeza mauti hata milele; na Bwana Mungu atafuta machozi katika nyuso zote; na aibu ya watu wake ataiondoa katika ulimwengu wote; maana Bwana amenena hayo. Katika siku hiyo watasema,Tazama, huyu ndiye Mungu wetu, Ndiye tuliyemngoja atusaidiye; Huyu ndiye Bwana tuliyemngoja, Na tushangilie na kuufurahia wokovu wake.. read more...


a.gif MASOMO YA MISA, NOVEMBA 1, 2019 IJUMAA, JUMA LA 30 LA MWAKA SHEREHE YA WATAKATIFU WOTE

Category πŸ‘‰masomo-ya-misa, Tags πŸ‘‰ masomo_ya_misa,
MASOMO YA MISA, NOVEMBA 1, 2019 IJUMAA, JUMA LA 30 LA MWAKA SHEREHE YA WATAKATIFU WOTE
Mimi Yohane, niliona malaika mwingine, akipanda kutoka maawio ya jua, mwenye muhuri ya Mungu aliye hai; akawapigia kelele kwa sauti kuu wale malaika wanne waliopewa kuidhuru nchi na bahari, akisema, Msiidhuru nchi, wala bahari, wala miti, hata tutakapokwisha kuwatia muhuri watumwa wa Mungu wetu juu ya vipaji vya nyuso zao. Nikasikia hesabu yao waliotiwa muhuri katika kila kabila ya Waisraeli, watu mia na arobaini na nne elfu.. read more...


a.gif Could you explain the Catholic Church’s position on being gay and having a gay partner?

Category πŸ‘‰catholic-answers, Tags πŸ‘‰ ,
Could you explain the Catholic Church’s position on being gay and having a gay partner?
Yes, this is a very important and very personal question for many people today. It’s one of those questions that can be deeply emotional and even β€œcontroversial.” But it doesn’t have to be. These questions are questions that Jesus wants to address in your heart and conscience in a loving and personal way.. read more...


a.gif Why we make sign of cross on head, lips and chest before reading the Gospel?

Category πŸ‘‰catholic-answers, Tags πŸ‘‰ ,
Why we make sign of cross on head, lips and chest before reading the Gospel?
The first and simplest answer to this question comes to us from the rubrics. The rubrics for the Mass are the instructions given to us in the Roman Missal and they tell us the structure of the Mass. They tell us when to stand, sit, kneel, respond, etc. They also tell us that we are to make the sign of the Cross on our forehead, lips and heart just prior to the reading of the Gospel.. read more...


a.gif What should one do after receiving the Holy Communion. Should one sit or kneel in prayer?

Category πŸ‘‰catholic-answers, Tags πŸ‘‰ ,
What should one do after receiving the Holy Communion. Should one sit or kneel in prayer?
We take our direction on all liturgical actions from what is called the General Instruction of the Roman Missal. #43 of that Instruction states: β€œβ€¦ if appropriate, they may sit or kneel during the period of sacred silence after Communion.”. read more...


a.gif Do aborted babies, those lost in miscarriage and those stillborn go to Heaven?

Category πŸ‘‰catholic-answers, Tags πŸ‘‰ ,
Do aborted babies, those lost in miscarriage and those stillborn go to Heaven?
This question takes on deep personal significance for those parents who have lost a child in one of these ways. Therefore, the first thing to emphasize is that God is a God of perfect love. His mercy is beyond what we can comprehend. We should be at peace knowing that God is the one who meets these precious children as they depart this life even prior to having been born.. read more...


page 1 of 629123...628629next »