SMS Za AckySHINE Β» SMS nzuri kuhusu maana ya mapenzi

πŸ‘‡SMS/ Ujumbe/ MesejiπŸ‘‡

mapenzi si pombe lkn yanalewesha, wala si kidonda lakini
yanatonesha,wala si maradhi lakini yanaumiza, wala si
njaa lakini yanakondesha ,mapenzi ni uvumilivu kwa
unaempenda

πŸ‘‰ackyshine.com/sms

flower.jpg

Usisahau kushare SMS hii Kwenye Mitandao ya Kijamii

Endelea na SMS hiziπŸ‘‡

Slide3-mabestimliopotezana.PNG