Tafuta

.

👉 Ujumbe wa kimahaba wa kumtumia mpenzi wako aliyeko mbali na wewe kumwambia unavyommisi👇✔

👇SMS/ Ujumbe/ Meseji👇

Mawingu yametanda napanda kwenye kitanda,
macho nayaangaza,
taratibu navuta shuka na kujitanda,
mishumaa pembezoni inaniangaza,
mziki laini wanibembeleza kitu pekee nilichokikosa
ni joto lako na vijimambo vyako kunako kitanda!

👉ackyshine.com/sms

flower.jpg

Usisahau kushare SMS hii Kwenye Mitandao ya Kijamii

Endelea na SMS hizi👇

Slide2-utotoni.GIF