SMS Za AckySHINE Β» Ujumbe wa kumtumia mpenzi wako kumwambia ajihadhari na maadui wa penzi lenu

πŸ‘‡SMS/ Ujumbe/ MesejiπŸ‘‡

Mpenzi unawafahamu maadui wa mapenzi yetu ? Ni wale rafiki zako wanaokuletea maneno ya uongo, ndugu zako wanaotugombanisha na wachawi wanotuotea mabaya, tujihadhari tusiwape ushindi. Mapenzi yetu yadumu daima.

πŸ‘‰ackyshine.com/sms

flower.jpg

Usisahau kushare SMS hii Kwenye Mitandao ya Kijamii

Endelea na SMS hiziπŸ‘‡

New-Microsoft-PowerPoint-Presentation-2.gif