SMS Za AckySHINE Β» Ujumbe kwa umpendaye kumwambia kuwa sms ni kitu muhimu kutumiana katika mapenzi

πŸ‘‡SMS/ Ujumbe/ MesejiπŸ‘‡

Tone la mvua huonekana dogo sana, lakini kwa mwenye kiu hulisubiri kwa hamu kubwa. Sms ni kitu kidogo, lakini huonyesha mahali fulani yupo mtu ANAYEKUPENDA, ANAKUKUMBUKA, ANAKUOMBEA,
ANAKUJALI na,
ANAKUTAKIA mafanikio mema

πŸ‘‰ackyshine.com/sms

flower.jpg

Usisahau kushare SMS hii Kwenye Mitandao ya Kijamii

Endelea na SMS hiziπŸ‘‡

uliyesoma.gif