SMS Za AckySHINE Β» Ujumbe wa kimahaba kwa mpenzi wako

πŸ‘‡SMS/ Ujumbe/ MesejiπŸ‘‡

Nitaenda mbali Zaidi ya maono yako
Safarini nitajenga hekalu la pendo letu
Nitapuliza filimbi kama ishara ya utambulisho wako
Na mwanzo wa sherehe ya ndoa yetu

πŸ‘‰ackyshine.com/sms

flower.jpg

Usisahau kushare SMS hii Kwenye Mitandao ya Kijamii

Endelea na SMS hiziπŸ‘‡

Slide2-mabesti-utotoni.PNG