SMS Za AckySHINE Β» SMS ya mapenzi ya mahaba kwa mpenzi wako aliyeko mbali

πŸ‘‡SMS/ Ujumbe/ MesejiπŸ‘‡

Kuna bahari kati yetu. Misitu na milima inatutenganisha,
mimi si β€˜Supamani’ lakini nipe sekunde moja nitavuka nchi
nyingi kukutumia mapenzi yangu. Umeipata hiyo? Pokea mapenzi yangu japo uko mbali.

πŸ‘‰ackyshine.com/sms

flower.jpg

Usisahau kushare SMS hii Kwenye Mitandao ya Kijamii

Endelea na SMS hiziπŸ‘‡

Slide3-mliopoteana.GIF