SMS Za AckySHINE Β» Ujumbe wa SMS kwa mpenzi wako anayetaka kukuacha

πŸ‘‡SMS/ Ujumbe/ MesejiπŸ‘‡

Hakika sikutaraji kulikosa lako penzi, wataka kuniacha
kuniacha ningali nakuhitaji, mpenzi tambua nahitaji yako
hifadhi na niko radhi kukupeleka hadi kwa wangu wazazi,
amini kwenda kwa mwingine sihitaji. Nakupenda.

πŸ‘‰ackyshine.com/sms

flower.jpg

Usisahau kushare SMS hii Kwenye Mitandao ya Kijamii

Endelea na SMS hiziπŸ‘‡

utotoni.gif