SMS Za AckySHINE Β» Ujumbe wa kimahaba wa kumtumia mkeo mtarajiwa kumsifia alivyoumbika

πŸ‘‡SMS/ Ujumbe/ MesejiπŸ‘‡

Kila nikuonapo napata weweseko, yako miondoko si ya kitoto
na zaidi wajua kuweka mikogo, umeumbika si kitoto,
nahitaji uwe wangu mama watoto!

πŸ‘‰ackyshine.com/sms

flower.jpg

Usisahau kushare SMS hii Kwenye Mitandao ya Kijamii

Endelea na SMS hiziπŸ‘‡

New-Microsoft-PowerPoint-Presentation-2.gif