SMS Za AckySHINE Β» Ujumbe wa kimahaba wa kumwambia mpenzi wako anavyokukosha na kumuomba asiende kwa mwingine

πŸ‘‡SMS/ Ujumbe/ MesejiπŸ‘‡

Hakika nimepata tabibu, maradhi yangu wajua kujyatibu,
napenda jinsi unavyonitibu, huna papara yaani ni taratibu,
mpenzi usijemuonyesha mwingine hizo zako zabibu, maswahibu
yakatayonisibu hakuna atakayeweza kuyatibu, nakupenda

πŸ‘‰ackyshine.com/sms

flower.jpg

Usisahau kushare SMS hii Kwenye Mitandao ya Kijamii

Endelea na SMS hiziπŸ‘‡

utotoni.gif