Meseji ya kumahidi mpenzi wako kumpenda daima

By, Melkisedeck Shine.

👇SMS/ Ujumbe/ Meseji👇

Mapenzi ni upepo,mimi sivumi na kupotea,mapenzi ni mahaba
sili nikamaliza,nikimaliza nitakula nini kesho?nakuahidi
kukupenda leo hata kesho ukiwepo na hata usipokuwepo.

👉ackyshine.com/sms

USIKOSE HII👉Sasa unaweza kumtumia umpendaye Ujumbe mzuri hapa>>>

.

SALAMU-JIONI98HBS.JPG
utotoni.gif

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.