Jichukulie 📕Kitabu cha Mbinu za Kilimo Bora Cha Mboga🌿🍅

Kina kurasa 100 na utaalamu wa mazao zaidi ya 10

MBINU-YA-KILIMO-BORA-CHA-MBOGA.jpg
JICHUKULIE NA WEWE SASA

Maelezo kuhusu 📕Kitabu cha Mbinu za Kilimo Bora Cha Mboga🌿🍅

Ni kitabu kinachotoa elimu ya Kilimo Cha Mboga. Kipo katika Mfumo wa PDF (Soft copy).

Kitabu hiki kimegawanyika katika sehemu mbili kama ifuatavyo;-

Sehemu ya kwanza ni sehemu ya mbinu za kilimo cha mboga ambapo utaweza kufahamu mbinu mbalimbali za kilimo cha mboga kama vile kuandaa shamba na kitalu, udhibiti wa wadudu na magonjwa katika mboga, kuvuna na kuhifadhi mboga, vilevile utajifunza kuhusu kilimo cha matone.

Sehemu ya pili inaelekeza jinsi ya kulima mazao mbalimbali ya mboga kuanzia hali ya hewa inayohitajika, udongo, upandaji, utunzaji, magonjwa na wadudu pamoja na uvunaji. Kuna mazao kumi (10) yaliyotolewa maelezo haya. Kwa hiyo utajifunza kilimo cha mazao hayo yote 10 ambayo ni nyanya, kabichi, bamia, vitunguu maji, vitunguu twaumu, hoho, matikiti, karoti, uyoga na matango. Bila kusahau kilimo cha mboga kama chainizi na mchicha.

Aidha kitabu hiki ni muhimu kwa mkulima yeyote hasa anayeanza kulima au ambaye angependelea kulima mboga baadae. Ni muongozo mzuri wa kilimo cha mboga.

awesome.gif

📕Kitabu cha Mbinu za Kilimo Bora Cha Mboga🌿🍅, Kina kurasa 100 na utaalamu wa mazao zaidi ya 10. Ni Tsh 2500/= tuu!

Jinsi ya kupata 📕Kitabu cha Mbinu za Kilimo Bora Cha Mboga🌿🍅

Ili kupata kitabu hiki unatakiwa ujaze fomu ya oda hapo chini ili kuweka oda yako ya kutumiwa kitabu hichi kilichopo kwenye mfumo wa pdf kwenye email yako. Hakikisha unaweka namba ya simu na Email sahii ili tuwasiliane na kujua jinsi ya kukutumia.

Ni kwamba unaweka Oda kwa kutumia fomu hii hapa chini ili inifikie mimi.

Nikishapokea oda yako nitakutumia wewe namba yangu ya simu kupitia email yako.

Namaba hiyo ya simu wewe utaitumia kutuma kwangu Tsh 2500/=.

Ukishatuma Tsh 2500/= mimi nitakutumia 📕Kitabu cha Mbinu za Kilimo Bora Cha Mboga🌿🍅 [PDF] kwenye email yako wakati huohuo.

tick.gif

Unahakikishiwa kupata 📕Kitabu cha Mbinu za Kilimo Bora Cha Mboga🌿🍅 leo leo.

Fomu ya kuweka oda ya 📕Kitabu cha Mbinu za Kilimo Bora Cha Mboga🌿🍅 kwa 2500/=

Ili kupunguza mrundikano wa Oda, Unaombwa usijaze fomu hii kama haupo tayari kutuma Tsh 2500/= utakapoambiwa utume.

Jina lako (Majina)
Mawasiliano
Andika namba yako ya simu.
Mahali unlipo
Upo tayari kulipia Tsh 2500/=?
Andika NDIYO au HAPANA. Kama upo tayari kutuma Tsh 2500/= utakapoambiwa utume.
Email yako sahihi
Email hii itatumika kuwasiliana na wewe na kukutumia 📕Kitabu cha Mbinu za Kilimo Bora Cha Mboga🌿🍅. Usisahau kuangalia email yako utajibiwa oda hii leo.
Maelezo ya ziada


NB: Hakikisha unaweka email sahihi ili niweze kukutumia namba yangu ya simu utakayotumia kunitumia pesa na ili niweze kutuma 📕Kitabu cha Mbinu za Kilimo Bora Cha Mboga🌿🍅 (Soft copy/PDF) kwenye email yako ukishanitumia pesa (Tsh 2500/=)

.

Majarida na vitabu vingine

📕Kitabu cha Mbinu za Kilimo Bora Cha Mboga🌿🍅

MBINU-YA-KILIMO-BORA-CHA-MBOGA.jpg

Kina kurasa 100 na utaalamu wa mazao zaidi ya 10

Jipatie 📕Kitabu cha Mbinu za Kilimo Bora Cha Mboga🌿🍅

Tsh 2500/= tuu!

jua%20zaidi%2C%20dont%20delete

📕Kitabu cha Vichekesho Vikuu Vikali 300+✔

vichekesho.jpg

Kina kurasa 270 zenye picha📷 na vichekesh😂 zaidi ya 300💨

Jipatie 📕Kitabu cha Vichekesho Vikuu Vikali 300+✔

Tsh 2500/= tuu!

jua%20zaidi%2C%20dont%20delete