Ackyshine eBook Shop

Karibu Ackyshine eBook shop, mahali pa kupata majarida na vitabu mbalimbali kwa njia ya mtandao… enjoy! Kwa sasa weka oda ya Kitabu cha Vichekesho Vikuu Vikali 300+ kwa kujaza fomu ya kuoda niliyoiweka hapo chini ili nikutumie. Weka oda hapa kisha nitakutumia ujumbe kupitia email yako wenye namba yangu ya simu utakayotumia kunitumia pesa. Ukishatuma pesa (Tsh 1,000/=) nitakutumia Kitabu cha Vichekesho Vikuu Vikali 300+ kwenye email yako. Naomba ujaze fomu ya oda tuu kama unauhakika upo tayari kulipa ili kuepusha usumbufu na mrundikano wa oda utakaowachelewesha wengine walio tayari.


Bei ya kawaida ya kuuzia ni Tsh 5,500/= lakini kwa leo bei ya ofa ni Tsh 1,000/= tuu. Weka oda hapa kisha nitakutumia ujumbe kupitia email yako wenye namba yangu ya simu utakayotumia kunitumia pesa hii.

Kina kurasa 285 zenye picha na vichekesho 300

Kitabu cha Vichekesho Vikuu Vikali 300+

vichekesho.jpg

Kutoka Tsh 5,500/= hadi Tsh 1,000/= tuu kwa leo!

Kitabu cha Vichekesho Vikuu Vikali 300+

Kipo katika Mfumo wa PDF (Soft copy) na kina kurasa 162 zilizoandikwa vichekesho tuu. Hutojutia kuchukua kitabu hiki kwani wote waliolichukua wamekipenda na hakuna aliyelalamikia kutovutiwa nacho. Wote wanashukuru sana kwa kukipata.

Kitabu hiki kina mkusanyiko wa posti au SMS za vichekesho zaidi ya 300 zitakazokuburudisha, kukuchekesha na kukuelimisha pia. Kitabu hiki ni kirefu kwa maana kua kina kurasa nyingi (162) za vichekesho na hivyo Hakiboi, Utakisoma na Kukisoma na Kukisoma bila kukichoka. Usikose kitabu hiki.

Usikose Kitabu cha Vichekesho Vikuu Vikali 300+ (Kina kurasa 285 zenye picha na vichekesho 300) kwa bei ya ofa ya Tsh 1,000/= tuu! Usiache kuchukua sasa kwani bei itabadilika baada ya ofa kuisha.


Jinsi ya kupata Kitabu cha Vichekesho Vikuu Vikali 300+

Ili kupata kitabu hiki unatakiwa ujaze fomu ya oda hapo chini ili kuweka oda yako ya kutumiwa kitabu hiki kilichopo kwenye mfumo wa pdf (Soft copy) kwenye email yako. Hakikisha unaweka namba ya simu na Email sahii ili tuwasiliane na kujua jinsi ya kukutumia.

Ukishaweka Oda kwa kutumia fomu hii hapa chini nitakutumia ujumbe mfupi kwenye email kukupa namba yangu ya simu ambayo utatumia kutuma Tsh 1,000/= tuu ili nikutumie Kitabu cha Vichekesho Vikuu Vikali 300+ kwenye email yako. Ukishatuma Tsh 1,000/= ndipo nitakutumia Kitabu cha Vichekesho Vikuu Vikali 300+ kwenye email yako. Usipotuma pesa hii, oda yako itasitishwa.

Unaombwa ujaze fomu hii tuu kama unauhakika upo tayari kutuma Tsh 1,000/= kwa ajili ya malipo ya Kitabu cha Vichekesho Vikuu Vikali 300+ utakapotafutwa ili kuepusha usumbufu na msongamano wa oda na kuwezesha wengine kupata oda zao mapema.


Weka Oda ya Kitabu cha Vichekesho Vikuu Vikali 300+ kwa bei ya ofa ya Tsh 1,000/= tuu kwa kujaza fomu hii hapa chini ili nikutumie! Nitakujibu oda yako kwa kukutumia namba yangu ya simu utakayotumia kulipia, Ukishatuma pesa nitakutumia Kitabu cha Vichekesho Vikuu Vikali 300+ kwenye email yako.


Fomu ya kuweka oda ya Kitabu cha Vichekesho Vikuu Vikali 300+ kwa Tsh 1,000/=

Unaombwa usijaze fomu hii kama haupo tayari kutuma Tsh 1,000/= utakapoambiwa utume.

Jina lako
Mawasiliano
Andika namba yako ya simu.
Mahali unlipo
Upo tayari kulipia Tsh 1,000/=?
Andika NDIYO au HAPANA. Kama upo tayari kutuma Tsh 1,000/= utakapoambiwa utume.
Email
Maelezo ya ziada


NB: Hakikisha unaweka email sahihi ili niweze kukutumia namba yangu ya simu utakayotumia kunitumia pesa na ili niweze kutuma Kitabu cha Vichekesho Vikuu Vikali 300+ kwenye email yako ukishanitumia pesa.Majarida na vitabu vingine

MBINU-YA-KILIMO-BORA-CHA-MBOGA.jpg

Kina kurasa 100 na utaalamu wa mazao zaidi ya 10

Jipatie Kitabu cha Mbinu za Kilimo Bora Cha Mboga kwa Tsh 1,000/= tuu.
jua%20zaidi%2C%20dont%20delete

vichekesho.jpg

Kina kurasa 285 zenye picha na vichekesho 300

Jipatie Kitabu cha Vichekesho Vikuu Vikali 300+ kwa Tsh 1,000/= tuu.
jua%20zaidi%2C%20dont%20delete