JE WAJUA?????…….
Nyangumi ni aina ya samaki Na ndie mnyama mkubwa kuliko
wanyama wote wanaoishi majini…….
Sifa za NYANGUMI hizi hapa…..
1»> moyo Wa nyangumi unakadiriwa kuwa Na kilo 600
2»> mtoto Wa Nyangumi anauwezo Wa kunywa Maji Lita
400 kwa Sikh
3»> Nyangumi mkubwa anakuwa Na uzito Wa tani 200 hadi
tani 300
4»»Chakula kikubwa cha Nyangumi ni dagaa kamba….
5»>Nyangumi anaishi miaka 80 hadi 90
6»> Urefu Wa nyangumi ni mita 30 hadi 50….
7»> Nyangumi ndie mnyama anaetoa sauti kubwa kuliko
wanyama wote dunian
Sauti yake inaweza kufika umbali Wa kilometa 848 ni zaidi ya
kutoka Dar hadi Arusha….
Najua wajua mtu wangu kesho tutaangalia myama mwenye
speed kuliko wote duniani


Slide2-mabesti-utotoni.PNG

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Usiyoyajua kuhusu nyangumi).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

🎑 Makala nyingine za Dondoo za Sayansi na TekinolojiaπŸ‘‡

T.gif

kj.gif