Kichekesho%20Kipya Usikose πŸ“•Kitabu cha SIRI ZA MWANAMKEπŸ‘§πŸ‘—πŸ‘  KinamwelezeaπŸ”ŽMwanamkeπŸ” kinagaubagaβœ”πŸ‘‰Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

πŸ‘‰ Mambo muhimu kuyajua kuhusu nchi ya Tanzaniaβœ…

FURAHA-SHINE.jpg

Mpenzi msomaji, Blog ya Ackyshine ipo kwa ajili yako wewe kutembelea kila siku kwa kuwa inakuwezesha kupata maambo mapya kila siku. Ni wewe tuu kuitembelea mara kwa mara. Baada ya kusoma makala kuhusu;

MELKISEDECK-SHINE-LEON.jpg

Leo nimekutayarishia makala kuhusu Mambo muhimu kuyajua kuhusu nchi ya Tanzania.

Mambo muhimu kuyajua kuhusu nchi ya Tanzania

Haya ndio mambo ninayoyafahamu kuhusu TANZANIA

1. Tz ilipata uhuru mwaka 1961 ina miaka 54 tangu ipate uhuru ikiwa ni ya kwanza Afrika Mashariki.

2. Tz Kwa miaka 40 hii inchi imeongozwa na ccm peke yake ambayo ni zao TANU na ASP.

3. Tz ni nchi ambayo haijawahi kupata majanga makubwa kama matetemeko ya ardhi, magonjwa ya mlipuko kama ebola, mafuriko na vimbunga au ukame.

4. Tz ni nchi ambayo imekuwa na kitu ambacho nchi za Africa zimekikosa AMANI kwa miaka yote 54 ya uhuru haijawahii kupigana vita vya wenyewe kwa wenyewe.

5. Tz ina ukubwa wa 945,000 km square yaani sawa na uchukue Denmark, France, United kingdom (UK), Netherlands, Ireland ujumlishe zote kwa pamoja.

6. Tz ina eneo la bahari lenye ukubwa wa 1,424 kilomita bahari inaleta fursa za usafirishaji, uvuvi, utalii na nyinginezo.

7. Tz ni nnchi ambayo imepakana na nchi za (Uganda, Rwanda, Burundi, Zambia, Malawi, DR Congo) ambazo zinategemea bahari yetu kwa usafirishaji wa mizigo na ni fursa nzuri ya kuzipelekea bidhaa za viwanda vyetu

8. Tz ina maziwa makubwa manne na mengine madogo mengi.

Maziwa matatu makubwa yako kwenye kumi bora za ukubwa duniani na Maziwa makubwa matatu yote yapo Tanzania. Ziwa Victoria ni la tatu kwa ukubwa duniani(la kwanza afrika) na ziwa Tanganyika ni la sita kwa ukubwa (la pili afrika) na la kwanza kwa kuwa na kina kirefu duniani. Ziwa nyasa ni la tisa kwa ukubwa duniani (ni la tatu afrika).

9. Tz ina mito mikubwa kumi ambayo ni mto Kagera,mto Ruvuma, mto Rufiji, mto wami, mto Malagarasi,mto mara, mto Pangani, mto mara, mto gombe, mto mweupe wa Nile. Na ina mito midogo mengi kama mto Kilombero, mto Mbwemkuru n.k

10. Tz ndiyo nchi ya kwanza afrika kuwa na maji mengi yasio na chumvi yaliyokuwa kwenye uso wa dunia(fresh surface water) kutokana na kuwa na mito na maziwa mengi na kupitiwa na bonde la ufa.

11. Tz ni nchi ya nne kwa uzalishaji dhahabu afrika baada ya afrika kusini,ghama na mali na ipo top 20 duniani.

Kuna migodi nane inayochimbwa dhahabu na miwili imefungwa.

migodi inayochimbwa ni Buzwagi gold mine-(Shinyanga), Geita gold mine-(Geita), Golden pride gold mine-Nzega (Tabora), Bulyanhulu gold mine-(Shinyanga).New leuka Gold mine-(Mbeya), Tulawaka gold mine-(Kagera),North Mara gold mine-(Mara).Iliyofungwa ni Kirondatal gold mine-(Shinyanga),Senkenke gold mine-(Shinyanga).

12. Tz ina madini ya almasi yanayopatikana Mwadui Shinyanga mgodi huo umeanzwa kuchimbwa tangu mwaku 1940 mpaka leo bado unachimbwa, unamilikiwa nakampuni ya Uingereza.

13. Tz ni nchi ya kwanza na ni nchi pekee inayozalisha madini ya Tanzanite duniani. Mkufu wa kuvaa shingoni unatengenezwa na tanzanite na almasi unauzwa hadi milioni 25 za kitanzania.

14. Tz ina madini ya chuma yanayopatikana mchuchuma, Ludewa- Njombe mgodi unamilikiwa na wachina mgodi huo una hifadhi ya madini ya chuma tani milioni 122 ambayo yanawezwa kuchimbwa kwa zaidi ya miaka 100.

15. Tz ina madini ya makaa ya mawe yanayochimbwa kule kiwira Mbeya, Mchucuma na liganga njombe unamilikiwa na wachina pamoja na Ngaka kule Mbinga-Ruvuma unamilikiwa na kampuni ya tancoal ya Australia. Hifadhi ya madini ya makaa ya mawe iliyopo ni tani bilioni 2.makaa ya mawe ndio chanzo cha pili ya umeme wa bei nafuu duniani baada ya maji.

16. Tz ina hifadhi ya madini ya uranium kule Dodoma (Bahi) na mgodi ambao unamilikiwa na warusi pia madini haya yanapatikana pia Namtumbo (Mkuju), Galapo, Minjingu, Mbulu, Simanjiro, Lake Natron, Manyoni, Songea, Tunduru, Madaba na Nachingwea.

17. Tz ni moja ya nchi tatu Africa pamoja Zimbabwe na Madagascar kwa kuwa madini mengi ya graphite madini haya yapo Tanga, Mahenge-Morogoro, Mererani-Manyara.Madini ya graphite ndiyo yanayotumika kutengenezea betri za simu, kwenye injini na brake za gari na kwenye kalamu ya risasi (pencili)

18. Tz ina madini ya nickel yanayopatikana kule kabanga Kagera, milima ya Ulurugulu-Morogoro,north mara, Ngasoma-Mwanza.

19. Tz ni nchi ya tatu duniani kwa kuwa na hifadhi kubwa ya magadi soda mengi duniani baada ya Marekani na Uturuki. Magadi soda hutumika kutengeneza vioo vya aina zote vyo nyumbani hadi magari pia kutengeneza sabuni na dawa mbalimbali za usafi

20. Tz ina hifadhi na mgodi wa madini ya niobium uliopo Panda hill mbeya ambao ndio utakuwa mgodi mkubwa wa kwanza Africa na wanne duniani,mgodi huu unamilikiwa na kampuni ya uastralia.Madini ya nibioum ni magumu sana hutumika kutengeneza mabomba pamoja na madini chuma pia hutumika kutengeneza baadhi ya sehemu za injini za ndege na vyombo vinavyoenda nje ya uso wa dunia,vioo vya computer na lenzi za camera.

21.Tz ni nchi ya kwanza Africa na ya pili duniani kwa kuwa na vivutio vingi vya utalii duniani ya kwanza ikiwa brazil. Nchi zilizokuwa kwenye tano bora kwa utalii Afrika ni Tanzania, Botswana, Afrika Kusini, Kenya na Zambia.

22.Tz ina mbuga zipatazo 16 na ile mbuga maarufu kuliko zote duniani Serengeti na mbuga iliyopakana na bahari saadani na mlima mrefu kuliko wote Africa Kilimanjaro.

23. Nadhani kila mtz anajua juu ya sifa ya Tanzania kwenye swala ya kuwa na ardhi ya rutuba inayofaa kwa kilimo

24. Tz ina gesi ya asili ya carbon dioxide (CO2) inayovunwa kule kyejo,rungwe-mbeya na kampuni ya TOL, gesi ya asili ya cardon dioxide inatumika sana kutengenezea vinywaji laini kama soda,bia, na pia kutengenezea madawa,kwenye viwanda vya makaratasi na kutibia maji.

25.Tz ina gesi ya asili inayopatikana katika kisiwa cha songo songo mkoa wa lindi gesi hii imekuwa ikichimbwa na kusafirisha Dar as salaam tangu mwaka 2004 na inayomilikiwa na kampuni ya songas ya uingereza

26.Tz imengundua gasi ya asili yenye ujazo wa zaidi ya trioni 55.3 cubic meter iliyongungulika katika maeneo ya bahari ya lindi na mtwara.

Usikubali kupitwa na πŸ“•Kitabu cha Mbinu za Kilimo Bora Cha MbogaπŸŒΏπŸ…. Kina kurasa 100 na utaalamu wa mazao zaidi ya 10. πŸ‘‰Bofya hapa KuchukuaπŸ‘ˆ

FURAHA-SHINE.jpg

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu; Mambo muhimu kuyajua kuhusu nchi ya Tanzania.πŸ’―βœ” Share facebook, twitter n.k bila kusahau WhatsApp, share wengine nao wafaidike!πŸ‘

images-12.jpeg

🐼 Endelea kusoma kuhusu;-πŸ™‰

.

Kichekesho%20Kipya Usikose πŸ“•Kitabu cha Vichekesho Vikuu Vikali 300+βœ” Kina kurasa 270 zenye pichaπŸ“· na vichekeshπŸ˜‚ zaidi ya 300πŸ’¨πŸ‘‰Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

Kichekesho%20Kipya Usikose Jarida la Picha Kali Lina picha Nzuri za kufurahisha πŸ‘‰Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

.

.

Kichekesho%20Kipya Usikose Jarida la Kilimo Bora cha Bamia Linafafanua Kilimo cha bamia .
πŸ‘‰Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

Kichekesho%20Kipya Usikose Jarida la Kilimo Bora cha Kabichi Linafundisha kulima kabichi .
πŸ‘‰Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

.

.

images-12.jpeg

Habari msomaji wangu…?
Jina langu ni Melkisedeck Leon Shine Mwendeshaji wa blog hii.

Karibu Katika Blog yangu ya AckySHINE mahali pa kusoma makala kuhusu mada mbalimbali, vichekesho, picha, pamoja na videos

images-21.jpeg

Karibu tena katika blog yako nzuri uipendayo ya Ackyshine isiyochosha na yenye mambo mapya kila siku. Usipitwe na Blog hii kila siku

width="104"

Blog ya AckySHINE ni Blog pekee ya Kiswahili kwa posti nyingi, isiyochosha kusoma, yenye posti nyingi nzuri mapya kila saa unapotembelea. Unahakikishiwa kupata kitu kipya utakachopenda kila unapotembelea blog hii, Utapata makala, vichekesho, videos, picha n.k. Kwa sasa kuna posti Mpya 6061 kwa ajili yako, ushindwe wewe tuu kuperuzi Blog hii.

FURAHA-SHINE.jpg

Msomaji wangu mpendwa, asante kwa kuendelea kupenda kutembelea blog hii. Unakaribishwa tena kila siku kwa ajili ya kusoma makala mpya.

images-12.jpeg

Chagua unachotaka hapa…
VICHEKESHO | PICHA | VIDEOS {TV} | UJASIRIAMALI | MAHUSIANO | AFYA & MAPISHI | TEKINOLOJIA | BLOG KWA WAKATOLIKI | eBOOK SHOP | MAKTABA

images-20.jpeg

Mpendwa msomaji wangu, karibu tena katika blog yako uipendayo. Usikose kutembelea Blog hii kila mara upatapo wasaa

images-18.jpeg

KUHUSU BLOG HII | MAWASILIANO | ABOUT AUTHOR | LEGAL GUIDELINES