Kichekesho%20Kipya Usikose 📕Kitabu cha Mbinu za Kilimo Bora Cha Mboga🌿🍅 Kina kurasa 100 na utaalamu wa mazao zaidi ya 10
👉Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

👉 Fursa 150 za ujasiriamali, biashara na miradi nchini Tanzania

Zijue Fursa 150 za biashara na miiradi mbalimbali nchini
Tanzania.

1. Kununua Mashine za kukoroga
zege na kukodisha.
2. Kununua Mashine za kukata
vyuma na kuzikodisha.
3. Kutengeneza na kuuza tofali
4. Ufundi, Website updating/
Database: Katika Halmashauri,
Manispaa, Mashule, Wizara, Wilaya
na Makampuni mbalimbali.
5. Kuanzisha kituo cha redio na
televisheni
6. Kufunga na kutengeneza vifaa
mbalimbali vya electroniki na
mawasiliano mfano; compyuta na
vifaa vya compyuta na
mawasiliano.
7. Kuuza software; mfano Antivirus,
Operating Systems, Pastel, Tally,
Myob, n.k
8. Kushona na kuuza nguo.
9. Kufungua Duka la kuuza nguo
mpya; suit, socks, batiki, nguo za
asili, Mashuka, Mashati, Suruali,
10. Ufugaji wa mifugo mbalimbali
mfano Kondoo, Mbuzi, Ng’ombe,
Kuku, Bata, na wengine.
11. Kufungua stationery, kuuza
(supply) vitabu na vifaa mbalimbali
ktk mashule na vyuo.
12. Kutoa ushauri mbalimbali wa
Kitaalamu.
13. Kuuza viazi, mahindi, mihogo,
kutengeneza popcorn na kuziuza.
14. Kusajili namba za simu na
kuuza vocha
15. Kuwa na mradi wa Pikipiki
zisizotumia mafuta na zinazotumia
mafuta
16. Kilimo cha mazao mbalimbali
kulingana na hali ya hewa ya
sehemu husika.
17. Kuuza Mitumba
18. Kusimamia miradi mbalimbali
19. Kufungua duka la kuuza
mitambo mbalimbali
20. Kufungua banda la chakula na
chips
21. Kukodisha turubai viti na meza
22. Kufungua Supermarket
23. Kufungua Saluni
24. Kufungua Bucha
25. Video Shooting & Editing.
26. Kufungua Internet cafe
27. Duka la kuuza matunda
28. Kufungua duka la kuuza vifaa
vya simu za mkononi na landline.
29. Kufungua duka la vifaa vya
ujenzi; cement, vifaa vya umeme,
duka la mabati
30. Kutengeneza michoro
mbalimbali ya majumba na miradi
ya ICT
31. Kuchapa vitabu, bronchures, n.k
32. Kuanzisha kampuni ya ujenzi
(Building contractor)
33. Kuuza Vifaa vya umeme wa
nishati ya jua (solar) ,battery,
inverter na vifaa vingine vya solar
n.k
34. Kuuza maji kwa jumla na
rejaleja.
35. Kutengeneza na kuuza Unga wa
lishe bora.
36. Kukodisha Music
37. Kuanzisha Mradi wa Taxi
38. Kuanzisha mradi wa Daladala
39. Kuuza vifaa vya Kompyuta,
laptops, converters, HDDs, Monitors,
Softwares, CD Copiers na vifaa
vingine.
40. Kununua magenerator na
kukodisha
41. Kufungua kampuni ya kutoa
huduma za simu
42. Kufungua kampuni ya kutoa
huduma za internet (ISP)
43. Kuuza mabati na vigae
44. Kujenga apartments
45. Kufungua Kisima cha mafuta ya
taa au mafuta ya aina zote
46. Kufungua Duka la samaki
47. Kufungua Duka la nafaka
48. Kufungua Shule za Awali, Shule
za Msingi, Sekondari na Vyuo.
49. Kujenga hostel
50. Kuuza vocha na ving’amuzi vya
DStv, Zuku, Startimes, Easy TV,
TNG, Digitech, Continental.
51. Kujenga mtambo wa kuzalisha
umeme na kuuza katika viwanda na
wananchi.
52. Ufundi simu
53. Kufungua Hospitali, Zahanati.
54. Maabara ya Macho, Meno
55. Kuchimba/Kuuza Madini
56. Kufungua ofisi ya kutoa huduma
ya simu na fax
57. Kuuza miti na mbao
58. Kufungua Grocery, bar
59. Kufungua studio ya kupiga na
kusafisha picha
60. Kucharge simu/battery
61. Duka la TV na vifaa vingine
62. Kuanzisha biashara ya kuuza
vyakula katika sherehe na tamasha
mbalimbali (catering).
63. Banda la kupigisha simu
64. Kuuza na kushona Uniform za
shule
65. Kuanzisha duka la kuuza vitu
kwa jumla.
66. Kufungua gereji za kutengeneza
bajaji, pikipiki na magari
67. Kuuza vyuma, pembejeo, rake,
jembe
68. Kuuza fanicha
69. Kufungua sehemu ya kuziba
pancha za matairi
ya magari na mitambo.
70. Kujenga nyumba za kulala
wageni (hotel)
71. Kuagiza na kuuza vifaa vya
aluminium.
72. Kuuza vioo
73. Kushona na kukodisha nguo za
harusi
74. Kufungua yard kwa ajili ya
kuosha magari
75. Kuuza mashine za kuchomelea
(welding machine).
76. Kuuza vifaa vya kuvaa Site
(boots, helmets etc)
77. Kununua mabasi kwa ajili ya
kusafirisha wanafunzi
78. Kufungua studio ya kutengeneza
vipindi vya redio na televisheni
79. Kuanzisha ofisi ya michezo ya
televisheni (TV Games)
80. Kufungua benki
81. Kuwa na malori ya kubeba
kokoto na mchanga
82. Kuuza vifaa mfano TV, CCTV
Camera, n.k
83. Kuwa dalali wa vitu mbalimbali
84. Kuanzisha mradi wa kukodisha
fork lift na winchi (crane)
85. Kuanzisha kiwanda cha
kutengeneza viatu.
86. Kuanzisha viwanda mbalimbali
87. Duka la vifaa vya simu na
gadgets mbalimbali zinazoendana
na mawasiliano ya Vodacom, TTCL,
AIRTEL, TIGO, ZANTEL, n.k.
88. Kujenga Ukumbi wa kukodisha
kwa sherehe, mikutano mbalimbali
89. Kununua matrekta, mitambo ya
ujenzi wa barabara na kukodisha
90. Kutengeneza antenna na kuuza
91. Kufungua mradi wa Machine za
kusafisha, kutoboa na kuchana
mbao
92. Kufungua mradi wa kuuza vifaa
vya Umeme wa kutumia upepo
93. Biashara ya kuagiza magari
94. Kufanya biashara za Jukebox
95. Kukodisha matenki ya maji
96. Kufungua duka la kuuza Asali
97. Kutengeneza Mikokoteni/
matoroli na kuikodisha
98. Kufungua Duka la vinyago,
batiki
99. Kuanzisha huduma ya AIRTEL
MONEY, MPESA, TIGOPESA, EZY
PESA
100. Kuanzisha sehemu ya kufanyia
mazoezi (Gym).
101. Kununua na kuuza vifaa vya
kupima ardhi.
102. Kufungua duka la kuuza dawa
(pharmacy).
103. Kufungua Kampuni ya Ulinzi
104. Kufungua kampuni ya
"Clearing and fowarding"
105. Kuchezesha vikaragosi
106. Kuuza spea za bajaji, magari
na pikipiki
107. Kuuza baiskeli
108. Kuuza magodoro
109. Kuuza vyombo mbalimbali
kwa ajili ya matumizi ya nyumbani
mfano bakuli, sahani, vikombe,
vijiko,
110. Kuuza marumaru (limestones)
111. Kuuza kokoto
112. Kuuza mchanga
113. Kufundisha Tuisheni
114. Biashara za bima
115. Kampuni ya kusafirisha abiria
kwa njia ya anga (ndege)
116. Biashara za kitalii
117. Biashara za meli na maboti.
118. Kampuni ya kuchimba visima
119. Kufungua ofisi ya wakili/
mawakili wa kujitegemea
120. Kuuza mkaa
121. Kutengeneza mashine za
kutengeneza tofali
122. Kampuni ya kupima ardhi
123. Kampuni ya magazeti
124. Kuchapa (printing) magazeti
125. Kuuza magazeti
126. Kuchimba mafuta
127. Kiwanda cha kutengeneza
mabati
128. Kiwanda cha kutengeneza
fanicha
129. Kiwanda cha kutengeneza
matairi
130. Kutengeneza vitanda vya
chuma
131. Kununua nyumba katika
Maghorofa (Apartments) na
kuzikodisha.
132. Kukodisha makapeti
133. Kupamba maharusi na kumbi
za harusi/sherehe.
134. Mashine ya kusaga na
kukoboa nafaka.
135. Kazi ya ususi na kusafisha
kucha.
136. Kuuza Gypsum
137. Malori ya kubeba mafuta na
Mizigo
138. Duka la kuuza mboga za
majani
139. Duka la kuuza maua.
140. Kampuni ya kuzoa takataka
141. Kampuni ya kuuza magari
142. Kuuza viwanja
143. Uvuvi
144. Kutengeneza na kuuza nguzo
za kujengea fensi
145. Uchoraji wa mabango.
146. Duka la kuuza silaha
147. Ukumbi wa kuonesha mpira
148. Biashara ya mlm (network
marketing)
149. Yadi kwa ajili ya kupaki magari
150. Mradi wa trekta za kukodisha.
Changamkia fursa 👆

🙉🙉🙉Usisahau kushare posti hii kuhusu; Fursa 150 za ujasiriamali, biashara na miradi nchini Tanzania.💯✔ Share facebook, twitter n.k bila kusahau WhatsApp, share wengine nao wafaidike!👍

Usikubali kupitwa na 📕Kitabu cha Mbinu za Kilimo Bora Cha Mboga🌿🍅. Kina kurasa 100 na utaalamu wa mazao zaidi ya 10. 👉Bofya hapa Kuchukua👈

🐼 Endelea kusoma kuhusu;-🙉

.

Kichekesho%20Kipya Usikose 📕Kitabu cha Vichekesho Vikuu Vikali 300+✔ Kina kurasa 270 zenye picha📷 na vichekesh😂 zaidi ya 300💨👉Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

Kichekesho%20Kipya Usikose 📕Kitabu cha SIRI ZA MWANAMKE👧👗👠 Kinamwelezea🔎Mwanamke🔍 kinagaubaga✔👉Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

Kichekesho%20Kipya Usikose 📕Kitabu cha Mbinu za Kilimo Bora Cha Mboga🌿🍅 Kina kurasa 100 na utaalamu wa mazao zaidi ya 10👉Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

📰 Posti nyingine👇

📌 Usiyoyajua kuhusu nyangumi

JE WAJUA?????…….
Nyangumi ni aina ya samaki Na ndie mnyama mkubwa kuliko
wanyama wote wanaoishi majini…….
Sifa za NYANGUMI hizi hapa…..
1»> moyo Wa nyangumi unakadiriwa kuwa Na kilo 600
2»> mtoto Wa Nyangumi anauwezo Wa kunywa Maji Lita
400 kwa Sikh
3»> Nyangumi mkubwa anakuwa Na uzito Wa tani 200 hadi
tani 300
4»»Chakula kikubwa cha Nyangumi ni dagaa kamba….
5»>Nyangumi anaishi miaka 80 hadi 90
6»> Urefu Wa nyangumi ni mita 30 hadi 50….
7»> Nyangumi ndie mnyama anaetoa sauti kubwa kuliko
wanyama wote dunian
Sauti yake inaweza kufika umbali Wa kilometa 848 ni zaidi ya
kutoka Dar hadi Arusha….
Najua wajua mtu wangu kesho tutaangalia myama mwenye
speed kuliko wote duniani….inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉Usiyoyajua kuhusu nyangumi

📌 Madhara ya kuitumia plastiki kwa kuwekea chakula

Kuna hawa ndg zangu wanachemsha mihogo kisha wanaifunikia nailon ili ilainike vzr. Wengine huhifadhi ugali ktk mifuko ya plastic na kuitumbukiza kwenye maji moto ili ugali usipoe, wengine huchemsha supu ya kichwa cha ng'ombe ule ubongo wanautia ktk mifuko ya plastic na kuuchemsha ktk supu hiyo hiyo hadi unaiva ukiwa ndani ya plastic na plastic ndani ya supu. Je, hizi plastic madhara yake kitaalamu yakoje?….inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉Madhara ya kuitumia plastiki kwa kuwekea chakula

📌 Shairi la "Karudi baba mmoja.." KAMA MNATAKA MALI MTAYAPATA SHAMBANI

1. Karudi baba mmoja, toka safari ya mbali,
Kavimba yote mapaja, na kutetemeka mwili,
Watoto wake wakaja, ili kumtaka hali,
Wakataka na kauli iwafe maishani…..inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉Shairi la "Karudi baba mmoja.." KAMA MNATAKA MALI MTAYAPATA SHAMBANI

📌 Jinsi Ya Kulima Soya

Maharagwe ya soya ni moja ya mazao muhimu katika jamii ya mikunde katika nyanja za uzalishaji wa kibiashara kutokana na kuwa na kiasi kikubwa cha protini (35-40%). Soya inatumika katika kuandaa vyakula vinavyoliwa vikiwa vibichi, vinavyovundikwa na vyakula nikavu, mfano maziwa, tofu, mchuzi pamoja na kimea…..inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉Jinsi Ya Kulima Soya

📌 Kwa nini watu wengine wanabaki maskini??

KWA NINI WATU WENGINE WANABAKI MASKINI?
Sababu zifuatazo zinaweza kuwa na ukweli
mtupu;
1. Kushindwa kuamua haraka fursa
zinapojitokeza kwao
2. Fursa kali Zikitokea wanaziona kama ni uongo
na utapeli wa mjini
3. Kung'ang'ania kuajiriwa hata kama ajira hiyo
hailipi
4. Kudhania unajua sana hivyo huoni jipya la
kujifunza
5. Kukosa ujasiri wa kuanza. Unapanga mwezi
huu au mwaka huu ntafanya hili au lile. Lakini
mwaka unaisha hujaanza!!!
6. Kutokuwa na ndoto ya kiasi cha pesa
unazotaka kwa siku, kwa wiki mwezi au mwaka.
Unataka shs ngapi kwa siku? Wiki? Mwezi?
Mwaka? Kwa nini unataka kiasi hicho? Matumizi
yako ya lazima ni yapi? Ya starehe zako ni yapi?
7. Kununua vitu vya bei kubwa sana na visivyo
na tija yoyote katika kuongeza kipato chako.
8. Kuwaza kwamba maendeleo yanapatikana
uzeeni na siyo ujanani? Eti kumiliki mamilioni ya
pesa mpaka uwe mzee kama Reginald Mengi
vile.
9. Kufikiri eti huwezi kufanikiwa kuwa na fedha
kuubwa mpaka uwe freemason au fisadi. Ujinga.
10. Kuwa na wategemezi kibao nyumbani kwako
wakati kipato chenyewe kinatosha kula watu 2 tu
kwa mwezi. Hatari!!
11. Kusubiri siku utakayopata pesa nyingi sana
eti ndipo utafanya biashara hii au ile! Utasubiri
sana.
12. Kutokuweka akiba yoyote kwa malengo ya
maendeleo ya watoto na wajukuu zao.
13. Kufikiria kuwa kuna siku utapata msaada
kutoka kwa wafadhili, serikali au wazungu au
washikaji zako. Utangoja sana.
14. Kubadilisha mshahara wako au kipato chako
kuwa mali ya ukoo mzima. Kila mtu kwenye ukoo
wenu anakuomba pesa na wewe unampatia.
Usimpe mtu samaki mfundishe kuvua samaki
naye hatakuomba tena samaki. Usimpatie
maziwa ndugu yako mfundishe kufuga ng'ombe
wa maziwa.
Mpendwa wewe umeguswa na sababu ipi ktk
hizo?
Nakutakia Februari Njema….inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉Kwa nini watu wengine wanabaki maskini??

📌 Elimu Kuhusu Madawa ya Kulevya, Mambo ya Msingi kujua Kuhusu dawa za Kulevya

Madawa ya kulevya ni aina ya madawa au vilevi ambapo mtumiaji akishatumia mfumo wa mwili na akili yake hubadilika. Mtumiaji huweza kudhoofika kimwili au kupata madhara ya kiakili na baadhi huweza hata KUFA…..inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉Elimu Kuhusu Madawa ya Kulevya, Mambo ya Msingi kujua Kuhusu dawa za Kulevya

📌 Usindikaji wa viazi vitamu

1. Husaidia utunzaji na usafirishaji
2. Kupunguza ukubwa wa viazi na upotevu wa viazi kwa sababu viazi uharibika haraka na kama viazi vikiachwa ardhini wadudu (fukuzi) huweza kushambulia
3. Huongeza muda wa kuhifadhika
4. Unga na chipsi vina virutubisho vingi kwa vile kiwango kikubwa cha maji kwenye kiazi kinakuwa kimetolewa kwa hiyo kiwango cha protini, wanga, pectini, mafuta na chumvichumvi huongezeka
5. Huongeza chanzo cha mapato kwa wakulima kama vile upatikanaji wa masoko na chanzo kipya cha kipato 6. Husaidia kusambaza taarifa kwamba viazi vitamu huweza kuwa zao la biashara lenye matumizi mbalimbali na watumiaji wengi….inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉Usindikaji wa viazi vitamu

📌 Kompyuta

Kompyuta ni mashine ya elektroniki inayotumika au kushughulika na taarifa, kama unavyotumia kisu na
patasi kwa kuchongea vinyago vya miti, unatumia kompyuta kuandaa nyaraka, barua, michoro n.k. Kimsingi
unaweza kutumia kompyuta kwa kazi mbalimbali….inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉Kompyuta

📌 Madhara ya kuitumia simu kwenye giza

Daktari justice Authur, ambae ni daktari kule africa kusini ameniomba kuwagawia hii na nyie pia. Amesema ni muhimu sana…..inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉Madhara ya kuitumia simu kwenye giza

.

📓 Posti za sasa👇

A Jinsi ya kulima mahindi kitaalamu kama inavyotakiwa

Mahindi ni miongon mwa mazao makuu ya chakula hapa nchin Tanzania na ulimwa karibu kila mkoa. Ulimwa zaidi nyanda za juu kusini katika mikoa ya Mbeya, Iringa, Ruvuma, Njimbe na Katavi. Pia mikoa ya Morogoro Mwanza Dodoma Shinyanga Arusha Tanga na mikoa mingine. Kwakua ni zao la biashara hivyo karibu kila mkoa unalima zao hili…..inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉Jinsi ya kulima mahindi kitaalamu kama inavyotakiwa

A KARIBU KATIKA KILIMO CHA NYANYA

NYANYA HASA KWENYE OPEN SPACE CHANGAMOTO NI NYINGI, HASA WADUDU, KAMA SASA KUNA MDUDU ANAITWA Tuta Absoluta, au waswahili wanaimuita KANITANGAZE MAANA AKIKUVAMIA SHAMBANI HAKUNA NAMNA UTAACHA KWENDA KUMSIMULIA…..inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉KARIBU KATIKA KILIMO CHA NYANYA

A Mizigo tuliyoibeba ambayo haina faida

1.💥Umejipa jukumu la kuwa "mpelelezi" wa maisha ya wengine na umesahau maisha yako…..inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉Mizigo tuliyoibeba ambayo haina faida

A Mambo muhimu kuyajua katika maisha

1- chumvi ikizidi kwenye wali weka kiazi mviringo kati kati kikiwa kimemenywa chumvi itapungua….inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉Mambo muhimu kuyajua katika maisha

A Usindikaji wa viazi vitamu

1. Husaidia utunzaji na usafirishaji
2. Kupunguza ukubwa wa viazi na upotevu wa viazi kwa sababu viazi uharibika haraka na kama viazi vikiachwa ardhini wadudu (fukuzi) huweza kushambulia
3. Huongeza muda wa kuhifadhika
4. Unga na chipsi vina virutubisho vingi kwa vile kiwango kikubwa cha maji kwenye kiazi kinakuwa kimetolewa kwa hiyo kiwango cha protini, wanga, pectini, mafuta na chumvichumvi huongezeka
5. Huongeza chanzo cha mapato kwa wakulima kama vile upatikanaji wa masoko na chanzo kipya cha kipato 6. Husaidia kusambaza taarifa kwamba viazi vitamu huweza kuwa zao la biashara lenye matumizi mbalimbali na watumiaji wengi….inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉Usindikaji wa viazi vitamu

A Usiyiyajua kuhusu pesa haya hapa

Habari za Leo Rafiki yangu wa Muhimu sana. Ni furaha yangu kujua unaendelea vyema sana na majukumu yako…..inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉Usiyiyajua kuhusu pesa haya hapa

A Mchanganuo wa Tsh 300,000/= kwa uzalishaji wa kuku wa kienyeji kwa faida

*LEO TUANGALIE MCHANGANUO WA TSHS 300,000/= (LAKI TATU) KWA KUANZISHA MTADI WA UFUGAJI KUKU WA KIENYEJI.*….inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉Mchanganuo wa Tsh 300,000/= kwa uzalishaji wa kuku wa kienyeji kwa faida

A Elimu Kuhusu Madawa ya Kulevya, Mambo ya Msingi kujua Kuhusu dawa za Kulevya

Madawa ya kulevya ni aina ya madawa au vilevi ambapo mtumiaji akishatumia mfumo wa mwili na akili yake hubadilika. Mtumiaji huweza kudhoofika kimwili au kupata madhara ya kiakili na baadhi huweza hata KUFA…..inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉Elimu Kuhusu Madawa ya Kulevya, Mambo ya Msingi kujua Kuhusu dawa za Kulevya

.

Majarida na vitabu kutoka Ackyshine eBook Shop

Kichekesho%20Kipya Usikose 📕Kitabu cha Vichekesho Vikuu Vikali 300+✔ Kina kurasa 270 zenye picha📷 na vichekesh😂 zaidi ya 300💨
👉Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

Kichekesho%20Kipya Usikose Jarida la Picha Kali Lina picha Nzuri za kufurahisha
👉Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

Kichekesho%20Kipya Usikose 📕Kitabu cha SIRI ZA MWANAMKE👧👗👠 Kinamwelezea🔎Mwanamke🔍 kinagaubaga✔
👉Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

Kichekesho%20Kipya Usikose Jarida la Kilimo Bora cha Hoho Kilimo cha hoho kimeelezewa
👉Bofya hapa KuchukuaKizuri

.