PN.gif Leo tujifunze lugha yetu ya Kiswahili
Leo tujifunze lugha teule ya Kiswahili.
1. password- Nywila.
2. juice - sharubati.
3. chips - vibanzi.
4. PhD - uzamifu.
5. Masters - uzamili.. soma zaidi
PN.gif Shairi la "Karudi baba mmoja.." KAMA MNATAKA MALI MTAYAPATA SHAMBANI
1. Karudi baba mmoja, toka safari ya mbali,
Kavimba yote mapaja, na kutetemeka mwili,
Watoto wake wakaja, ili kumtaka hali,
Wakataka na kauli iwafe maishani.. soma zaidi
PN.gif Utambuzi wa magonjwa ya kuku kupitia rangi ya kinyesi
UTAMBUZI WA MAGONJ
A YA KUKU KUPITIA RANGI YA KINYESI. soma zaidi
PN.gif Kompyuta
Kompyuta ni mashine ya elektroniki inayotumika au kushughulika na taarifa, kama unavyotumia kisu na
patasi kwa kuchongea vinyago vya miti, unatumia kompyuta kuandaa nyaraka, barua, michoro n.k. Kimsingi
unaweza kutumia kompyuta kwa kazi mbalimbali. soma zaidi
PN.gif SHAIRI: Kama mnataka mali, mtaipata shambani.
1. Karudi baba mmoja,
toka safari ya mbali,
Kavimba yote mapaja,
na kutetemeka mwili,
Watoto wake wakaja,
ili kumtaka hali,
Wakataka na kauli iwafae maishani.. soma zaidi
PN.gif Virusi vya kompyuta (computer virus)
Ni programu haramu yenye uwezo wa kujisambaa ndani ya kompyuta na kujiingiza ndani ya programu halali zinazotakiwa kufanya kazi mle. Ikisambaa inaathiri programu halali na kusababisha hasara. Virusi zinasambaa kwa njia ya intaneti lakini pia kwa njia ya sidii au diski yoyote ya kubebea data kati ya kompyuta. Virusi vinaweza kuharibu mafaili na kupunguza uwezo wa ufanyaji kazi wa kompyuta.. soma zaidi
PN.gif Mambo muhimu kuyajua katika maisha
1- chumvi ikizidi kwenye wali weka kiazi mviringo kati kati kikiwa kimemenywa chumvi itapungua. soma zaidi
PN.gif Madhara ya kuitumia simu kwenye giza
Daktari justice Authur, ambae ni daktari kule africa kusini ameniomba kuwagawia hii na nyie pia. Amesema ni muhimu sana.. soma zaidi
PN.gif Madhara ya kutumia plastiki kuwekea chakula
Kuna hawa ndg zangu wanachemsha mihogo kisha wanaifunikia nailon ili ilainike vzr. Wengine huhifadhi ugali ktk mifuko ya plastic na kuitumbukiza kwenye maji moto ili ugali usipoe, wengine huchemsha supu ya kichwa cha ng'ombe ule ubongo wanautia ktk mifuko ya plastic na kuuchemsha ktk supu hiyo hiyo hadi unaiva ukiwa ndani ya plastic na plastic ndani ya supu. Je, hizi plastic madhara yake kitaalamu yakoje?. soma zaidi
PN.gif Fursa 150 za ujasiriamali, biashara na miradi nchini Tanzania
Zijue Fursa 150 za biashara na miiradi mbalimbali nchini
Tanzania.. soma zaidi
PN.gif Mambo muhimu kuyajua kuhusu nchi ya Tanzania
Haya ndio mambo ninayoyafahamu kuhusu TANZANIA. soma zaidi
PN.gif Usindikaji wa viazi vitamu
1. Husaidia utunzaji na usafirishaji
2. Kupunguza ukubwa wa viazi na upotevu wa viazi kwa sababu viazi uharibika haraka na kama viazi vikiachwa ardhini wadudu (fukuzi) huweza kushambulia
3. Huongeza muda wa kuhifadhika
4. Unga na chipsi vina virutubisho vingi kwa vile kiwango kikubwa cha maji kwenye kiazi kinakuwa kimetolewa kwa hiyo kiwango cha protini, wanga, pectini, mafuta na chumvichumvi huongezeka
5. Huongeza chanzo cha mapato kwa wakulima kama vile upatikanaji wa masoko na chanzo kipya cha kipato 6. Husaidia kusambaza taarifa kwamba viazi vitamu huweza kuwa zao la biashara lenye matumizi mbalimbali na watumiaji wengi. soma zaidi
PN.gif Kwa nini watu wengine wanabaki maskini?
Sababu zifuatazo zinaweza kuwa na ukweli
mtupu;. soma zaidi
PN.gif JINSI YA KUJIOKOA IKITOKEA DHARURA YA MOTO NDANI
Inapotokea dharura ya moto ndani ya nyumba:
1 - Kitu cha muhimu ni kutoka nje salama haraka iwezekanavyo (as soon as possible).. soma zaidi
PN.gif Jinsi Ya Kulima Soya
Maharagwe ya soya ni moja ya mazao muhimu katika jamii ya mikunde katika nyanja za uzalishaji wa kibiashara kutokana na kuwa na kiasi kikubwa cha protini (35-40%). Soya inatumika katika kuandaa vyakula vinavyoliwa vikiwa vibichi, vinavyovundikwa na vyakula nikavu, mfano maziwa, tofu, mchuzi pamoja na kimea.. soma zaidi
PN.gif Usiyoyajua kuhusu nyangumi
JE WAJUA?????…….
Nyangumi ni aina ya samaki Na ndie mnyama mkubwa kuliko
wanyama wote wanaoishi majini…….
Sifa za NYANGUMI hizi hapa…..
1»> moyo Wa nyangumi unakadiriwa kuwa Na kilo 600
2»> mtoto Wa Nyangumi anauwezo Wa kunywa Maji Lita
400 kwa Sikh. soma zaidi
PN.gif Elimu Kuhusu Madawa ya Kulevya, Mambo ya Msingi kujua Kuhusu dawa za Kulevya
Madawa ya kulevya ni aina ya madawa au vilevi ambapo mtumiaji akishatumia mfumo wa mwili na akili yake hubadilika. Mtumiaji huweza kudhoofika kimwili au kupata madhara ya kiakili na baadhi huweza hata KUFA.. soma zaidi