%%content%%

Sala iliyopita: sala za kujikinga

IMG_20170703_130916.jpg

Ujumbe wangu kwako kuhusu sala

Mungu anasubiri sala zako kila siku. Anasubiri sala zako akujibu ili uone utukufu wake. Anasubiri sala zako ili akuze mahusiano yake na wewe. Sali daima kwani Mungu yupo milele kukusikiliza na kukuhudumia.

Sala za kila siku katika maisha ndiyo hazina kubwa na msaada hasa wakati wa kufa. Adumuye katika sala Mungu hatomwacha saa ya mwisho. Tusali, tusali, tusali daima…Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>