Tunakuwezesha kujitangaza kwenye mtandao kwa kuandika kuhusu Biashara yako au huduma unayotoa ili kupata wateja na kujulikana na watu wengi zaidi.
Unaposti hapa kwa kutengeneza kurasa ambazo utaandika juu ya biashara yako au huduma unazotoa na kisha tutazitangaza kwenye website hii.
Kuna Posti za namna mbili ambazo unaweza kutengeneza, Posti za Daraja la chini na Posti za Daraja la juu. Posti za Daraja la chini ni TSH 50,000/= na Posti za Daraja la juu ni TSH 100,000/=.
Tofauti kubwa kati ya daraja la chini na daraja la juu ni kwamba posti za daraja la chini hazitangazwi kwenye kurasa nyingine za tovuti hii, wakati posti za daraja la juu zinatangazwa kwenye kurasa nyingine kwa kupita kama Tangazo linalojitegemea.
Posti/Ukuurasa wako hautafutwa isipokuwa kama umetengeneza ukurasa wa daraja la juu utatakiwa kuupdate walau mara moja kila mwaka ili tuweze kuendelea kuutangaza kwenye kurasa nyingine kuepuka kutangaza matangazo yaliyopitwa na wakati.
Unaweza kutoa posti nyingi uwezavyo ambapo kila posti moja utalipia gharama yake kulingana na Daraja lake kama inavyoonyeshwa hapa chini.

Mchanganuo wa Ubora na gharama ya Posti/ukurasa ni kama ifuatavyo;

Huduma Daraja la Chini Daraja la Juu
Kutengeneza posti ya kujitangaza
L.jpg
L.jpg
Urefu wa posti wowote unaotaka
L.jpg
L.jpg
Kuhariri/update posti yako
L.jpg
L.jpg
Kuweka picha kwenye posti yako
L.jpg
L.jpg
Kuweka linki kwenye posti yako
L.jpg
L.jpg
Kuweka Videos kwenye posti yako
X.jpg
L.jpg
Kubandika kurasa zako za mitandao ya kijamii, mf. facebook & twiter
X.jpg
L.jpg
Kuweka Code (widgets)
X.jpg
L.jpg
Posti yako kutangazwa kwenye kurasa nyingine ndani ya tovuti hii kama tangazo
X.jpg
L.jpg
Gharama kwa kila posti moja (TSH) 50,000/= 100,000/=
Jaza fomu hii ifuatayo kuwasiliana nasi kuhusu namna ya kuandaa posti/ukurasa wako
Jina lako (majina)
Kampuni au Taasisi
Acha nafasi kama huna.
Namba yako ya simu
Daraja la posti unayotaka.
Andika Daraja moja kati ya hayo hapo juu .
Email
Maelezo ya ziada


Tukishapokea Fomu hii tutakutafuta ili kujua namna tutakavyoshirikiana na wewe ili kutengeneza Ukurasa kama unavyotaka na kuweka picha, videos na widgets unazotaka. Hautalipishwa kiasi chochote cha hela mpaka utakapoona ukurasa wako ukitangazwa ndipo utalipia gharama yake ya kutangazwa.