PICTURES-NA-WAHENGA

Pale unapokua umeokoka tuu jana mara linakuja hili

pale-umeokoka.jpg

Jogoo sharobaro ndio huyu, ka mtu vile, kakosa koti tuu

kuku-na-viatu.jpg

Pale mnapovuta bangi na mshikaji wako siku ya kwanza

toroli.jpg

Angalia huyu mwanaume anachokisema sasa

IMG-20160318-WA0014.jpg

Madhara ya mtoto kulelewa bila baba ndo haya

IMG-20160406-WA0003.jpg

Hah! Eti huyu ni mume au umeme?

MUME-AU-UMEME.jpg

Hivi wanaume wanakwama wapi katika hili?

wanaume-nakwama-wapi.jpg

Jamani kwani kupiga mswaki ni lazima? Cheki kilichompata huyu dogo baada ya kugoma kuswaki

IMG-20151116-WA0027.jpg

Haya mahusiano yalivyoishia ni maajabu

IMG-20160406-WA0009.jpg

Haya ndiyo matokeo ya kukaa muda mrefu bila kupata ajira

ajira-ngumuuu.jpg

Hii hapa raha ya kiswahili

IMG-20160228-WA0007.jpg

Wadada wasiojua kuogelea wanavyokuwa wakienda kuogelea

wadada-wasiojua-kuogelea.jpg

.