Furahia picha hizi kali kwa sasa

Namna ambayo unaweza ukawa unawachanganya malaika

MALAIKA-UNAWACHANGANYA.jpg

Hivi ugali wa mahindi haya utakuaje? ni shida

IMG-20160321-WA0045.jpg

Omba lisikukute hiki kwenye daladala

wizi-wa-daladala.jpg

Hii hapa raha ya kiswahili

IMG-20160228-WA0007.jpg

Angalia huyu panya anachofanyiwa baada ya kula hela, Mbele ya hela panya lazima asulubishwe

IMG-20160504-WA0008.jpg

Angalia huyu mzee anachokifanya baada ya kupewa mic

mzee-microfoni.jpg

Je hii ni kweli katika mapenzi?

IMG-20160321-WA0048.jpg

Angalia huyu jamaa alivyo na mdomo mkubwa, Anaweza kumeza mtu

domo.jpg

Duh! Wakenya kiboko, cheki wanavyoelekeza njiani, utazani wanakufundisha kuua

MKENYA-AKIKUFUNDISHA.jpg

Huyu mtoto akiwa mkubwa atakuaje? kama sasa anawaza bunduki

IMG-20160411-WA0011.jpg

Cheki lodi lofa anachokisema sasa

na-mdomo.jpg

Kila siku katika mapenzi unalia?

IMG-20160418-WA0015.jpg

Angalia nilivyolikoroga kwa baba mwenye nyumba

vyombo-nje.jpg

Ujumbe kwa wale wanaojiona masuper ster

IMG-20160506-WA0011.jpg

Cha kufanya ukikaa kwenye siti moja na mdada akakutabasamia

UKIKAA-NA-MDADA.jpg

Ulishawahi kuona pikipiki ya mbao? hii hapa sasa

IMG-20160312-WA0023.jpg

Picha nyingine

.

page 1 of 17609123...1760817609next »