Unakaribishwa kuwa mshirika wetu kwa kukupa kategori ya kurasa inayojitegemea ambapo utaposti vile unavyotaka.

Miongoni mwa mambo utakayofanya nia kama ifuatavyo

HUDUMA MAELEZO YA UTAKACHOWEZA KUFANYA KWENYE KATEGORI YAKO NA KURASA ZAKO
Kategori Utakua na kategori yako ya kurasa inayojitegemea
Posti Utaweza kutoa posti kwa idadi unayotaka bila kikomo
Picha Utaweza kuweka picha kwenye kategori yako bila kikomo cha idadi
Videos Utaweza kuweka videos kwenye kategori yako bila kikomo cha idadi
Link Utaweza kuweka link za bila kikomo
Mitandao ya Kijamii Utaweza kubandika kurasa zako za mitandao ya kijamii
Codes (Widget) Utaweza kuweka codes (HTML, javascripts n.k) na kuweka widget
Template Utaweza kubadili template kuwa vile utakavyo
Biashara Utaweza kufanya biashara kwenye kurasa zako
Matangazo Utaweza kuweka matangazo kwenye Kurasa zako
Mawasiliano Utaweza kuwasiliana na watu moja kwa moja kwenye kurasa zako
Kutangazwa Kurasa zako zitatanazwa kwenye kurasa nyingine za website hii zinazofanana na kile unachoandika
Gharama Gharama ni TSH 500,OOO/= tuu kwa mwaka
Jaza fomu hii ifuatayo kuwasiliana nasi kuhusu namna ya kuwa mshirika wetu
Jina lako (majina)
Kampuni au Taasisi
Acha nafasi kama huna.
Namba yako ya simu
Kategori Unayotaka.
Mfano, Habari, Afya, tekinolojia, Biashara, kuuza na kununua n.k.
Email
Maelezo ya ziada


Tukishapokea Fomu hii tutakutafuta ili kujua namna tutakavyoshirikiana na wewe ili kutengeneza Ukurasa kama unavyotaka na kuweka picha, videos na widgets unazotaka.