PN.gif Faida ya kunywa maji yenye limao au ndimu kila siku
Category ๐Ÿ‘‰mapishinalishe, Tags ๐Ÿ‘‰afya,
Watalam mbalimbali wa afya wanasema ya kwamba kwa kila siku ni vyema unywe maji ya ndimu ili uweze kujitibu magonjwa yafuatayo;. find more
PN.gif Dalili za homa ya dengu (Dengue fever)
Category ๐Ÿ‘‰mapishinalishe, Tags ๐Ÿ‘‰afya,
Dengue ni moja kati ya homa kali inayodhoofisha na kuambatana na maumivu makali. Kwa sasa hakuna kinga ya homa ya dengue, njia pekee ya kuepuka ugonjwa huu ni kuzuia kuumwa na mbu anayesambaza homa ya dengue.. find more
PN.gif Tatizo la kutoka majimaji kwenye matiti
Category ๐Ÿ‘‰mapishinalishe, Tags ๐Ÿ‘‰afya,
Tatizo hili husimama lenyewe kama ugonjwa ingawa pia inaweza kuwa ni dalili kama mwanamke ni mjamzito, ananyonyesha au ametoa mimba au ameharibikiwa na mimba. Kusimama kwake kama ugonjwa ni pale yanapotoka wakati mwanamke hana historia ya dalili hizo hapo juu.. find more
PN.gif Tatizo la maumivu wakati na baada ya kufanya mapenzi
Category ๐Ÿ‘‰mapishinalishe, Tags ๐Ÿ‘‰afya,
Wakati wa kufanya tendo la ndoa wapo baadhi ya watu hupatwa na maumivu wakati au baada ya kushiriki tendo, Maumivu haya yaweza kuwa;- Wakati tu uume unaingia,
Unapoingiza kitu chochote hata kidole, Wakati uume ukiwa ndani na Maumivu ya kupita (throbbing pain) yanayodumu masaa kadhaa baada ya tendo.. find more
PN.gif Vyakula vinavyosaidia macho kuongeza uwezo wa kuona
Category ๐Ÿ‘‰mapishinalishe, Tags ๐Ÿ‘‰afya,
Je unakula chakula bora ambacho ni bora pia kwa ajili ya macho yako? Kula vizuri kuna manufaa mengi kwa ajili ya miili yetu; macho nayo yakiwemo. Kuna virutubisho mbalimbali vinavyohitajika kwenye macho kuliko tu vile vinavyofahamika na wengi vilivyoko kwenye karoti.. find more
PN.gif Namna ya kuongeza nguvu za kiume bila kutumia dawa
Category ๐Ÿ‘‰mapishinalishe, Tags ๐Ÿ‘‰afya,
Upungufu wa nguvu za kiume umekua tatizo kubwa sana kwa wanaume wengi. Tatizo hili limewakumba wanaume wengi walio katika ndoa na hata wale ambao bado hawajaoa. Watu wengi wamekuwa wakisumbuka kutafuta utatuzi kwani tatizo hili huwafanya kuwa na wasiwasi wa maisha. Ndoa nyingi zimevunjika na mahusiano kuharibika kwa sababu ya tatizo hili.. find more
PN.gif Faida za kula mayai asubuhi
Category ๐Ÿ‘‰mapishinalishe, Tags ๐Ÿ‘‰afya,
Mayai ni kitu kilichozoeleka na kinachopatikana kwa gharama nafuu. Kutokana na kuzoeleka huku watu wengi wamekuwa wakipuuza umuhimu au nafasi ya mayai katika afya zao. Pengine kupuuza huku kunatokana na mazoea au ukosefu wa elimu juu ya faida zinazopatikana kutokana na ulaji wa mayai.. find more
PN.gif Faida za ulaji wa Peasi
Category ๐Ÿ‘‰mapishinalishe, Tags ๐Ÿ‘‰afya,
Peasi ni tunda ambalo limekuwa halithaminiwi licha ya kuwa na faida lukuki katika mwili wa binadamu. Tunda hilo ambalo kwa umbo linafanana na tufaa (apple), lina faida nyingi kwa binadamu iwapo atalitumia mara kwa mara.. find more
PN.gif Dalili za kuharibika kwa Mimba
Category ๐Ÿ‘‰mapishinalishe, Tags ๐Ÿ‘‰afya,
Kuna sababu nyingi zinazoweza kusababisha mama mjamzito mimba yake kuharibika. Sababu kuu huwa ni magonjwa kama vile ugonjwa hatari wa malaria, ugonjwa unaotokana na zinaa kama vile kaswende na kisonono na U.T.I, dawa fulani fulani mfano Albendazole, Misoprostol, Metronidazole na kadhalika.. find more
PN.gif Sababu, dalili na jinsi ya kujikinga na tatizo la kiungulia kwa wanawake wajawazito
Category ๐Ÿ‘‰mapishinalishe, Tags ๐Ÿ‘‰afya,
Hii ni hali inayowakumba mama wajawazito walio wengi. Inaweza kutokea kipindi chochote cha ujauzito ila mara nyingi hutokea katika umri wa mimba kuanzia miezi mitatu.. find more
PN.gif Sababu ya tatizo la Tumbo kujaa gesi na jinsi ya kujitibu
Category ๐Ÿ‘‰mapishinalishe, Tags ๐Ÿ‘‰afya,
Tatizo la tumbo kujaa gesi husababishwa na kumeza chakula pamoja na gesi inayotolewa katika vyakula mbalimbali tunavokula ambayo hujaa tumboni na kwenye utumbo mdogo. Hali hii husababisha tumbo kujaa au kuvimba na mtu hutoa gesi hiyo kwa njia ya ushuzi na kubeua.. find more
PN.gif Jinsi ya kujikinga na ugonjwa wa homa ya Dengu (Dengue fever)
Category ๐Ÿ‘‰mapishinalishe, Tags ๐Ÿ‘‰afya,
Ugonjwa wa dengue ni tishio la ugonjwa hatari linaongezeka siku hadi siku. Dengue ni ugonjwa unaosababishwa na virusi vinavyoenezwa na mbu aitwae aedes.. find more
PN.gif Mambo ya Muhimu kufahamu kuhusu tatizo la mgongo wazi
Category ๐Ÿ‘‰mapishinalishe, Tags ๐Ÿ‘‰afya,
Uti wa mgongo ulio wazi( Spinal bifida) ni hali ambayo mtoto anazaliwa nayo huku uti wa mgongo (mishipa ya fahamu mkubwa unaotoka kwenye ubongo) ukiwa wazi kutokana na mifupa (vipingili vya uti wa mgongo) kutokufunga vizuri.. find more
PN.gif Lifahamu tatizo la maumivu chini ya kitovu
Category ๐Ÿ‘‰mapishinalishe, Tags ๐Ÿ‘‰afya,
Tatizo hili huwakumba watu wengi sana kwenye jamii yetu lakini kwa bahati mbaya watu wengi huchukulia ni jambo la kawaida kitu ambacho baadae hupelekea watu wengi kuingia kwenye matatizo makubwa ya kiafya hasa kwenye mfumo wa uzazi na mfumo wa chakula.. find more
PN.gif Hizi ndizo sababu kwa nini ule Tende kipindi cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani
Category ๐Ÿ‘‰mapishinalishe, Tags ๐Ÿ‘‰afya,
Kitaalamu chakula unachokula leo ndio kinaamua hali ya afya yako kwa siku za usoni. Na ni muhimu sana kuzingatia ulaji bora wa chakula na si kula ilimradi umekula. Wataalamu wa lishe wanatuambia kuwa ulaji unaofaa hutokana na kula chakula mchanganyiko kulingana na wakati.. find more
PN.gif Vyakula vinavyofaa kuliwa katika kipindi cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani
Category ๐Ÿ‘‰mapishinalishe, Tags ๐Ÿ‘‰afya,
Vyakula vinavyofaa kuliwa wakati huu wa mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani ni vingi, leo tutaanza kuchambua kimoja baada ya kingine, Mbali na Waislamu, uchambuzi huu unawafaa pia wale ambao siyo Waislamu. Chakula kilichozoeleka zaidi kwa futari ni tende. Baada ya kushinda kutwa nzima na Swaumu, kiwango cha sukari ya mwili hupungua na hivyo, kuhitaji kujazilizwa tena. Aina ya kwanza ya sukari itumikayo mwilini na hasahasa ubongoni ni glukosi.. find more
PN.gif Suluhisho rahisi la nguvu za kiume hili hapa
Category ๐Ÿ‘‰mapishinalishe, Tags ๐Ÿ‘‰afya,
NI muujiza! Pengine hivyo ndivyo yeyote anaweza kusema pindi akisikia kwa mara ya kwanza juu ya namna mihogo mibichi na nazi kavu maarufu kama mbata vinavyoweza kuwasaidia watu kiafya, na hasa wanaume.. find more
PN.gif Madhara ya kutumia dawa za kuzuia mimba wakati wa hatari
Category ๐Ÿ‘‰mapishinalishe, Tags ๐Ÿ‘‰afya,
Watu wengi hasa vijana watakuwa wanafahamu dawa ambazo hutumiwa sana kuzuia ujauzito pale ambapo wapenzi wamejamiiana ndani ya siku za hatari. Ninazungumzia dawa za kuzuia mimba sio dawa za kupanga uzazi. Dawa hizi zipo za aina nyingi ambazo zitozitaja hapa siku ya leo. Endapo wawili hawa wanakuwa hawapo tayari kupata mtoto, na wanaona kwamba siku walizojamiiana zitapelekea mwanamke huyo kutunga mimba, basi anaweza kutumia dawa hizi ambazo zinaharibu mazingira au uwezekano wa mimba kutungwa.. find more
PN.gif Mambo ya Msingi kuyajua kuhusu Ugonjwa wa Kipindupindu
Category ๐Ÿ‘‰mapishinalishe, Tags ๐Ÿ‘‰afya,
Mojawapo kati ya magonjwa yanayohusishwa na umaskini na uchafu wa kupindukia ni ugonjwa wa Kipindupindu. Inaripotiwa kuwa Kipingupindu ni miongoni mwa magonjwa ambayo huathiri jamii maskini zaidi kwa kiasi kikubwa hasa hasa kwenye nchi zinazoendelea, kiasi kwamba Shirika la Afya Duniani (WHO) limeuweka ugonjwa huu kama mojawapo ya viashiria vya maendeleo ya jamii husika.. find more
PN.gif MASOMO YA MISA, JUNI 1, 2019: JUMAMOSI, JUMA LA 6 LA PASAKA
Category ๐Ÿ‘‰masomo-ya-misa, Tags ๐Ÿ‘‰masomo_ya_misa,
Paulo, akiisha kukaa Antiokia siku kadha wa kadha aliondoka, akapita kati ya nchi ya Galatia na Frigia, mji kwa mji, akiwathibitisha wanafunzi. Basi Myahudi mmoja, jina lake Apolo, mzaliwa wa Iskanderia, mtu wa elimu, akafika Efeso; naye alikuwa hodari katika maandiko. Mtu huyo alikuwa amefundishwa njia ya Bwana; na kwa kuwa roho yake ilikuwa ikimwaka, alianza kunena na kufundisha kwa usahihi habari za Yesu; naye alijua ubatizo wa Yohane tu. Akaanza kunena kwa ujasiri katika sinagogi; hata Prisila na Akila walipomsikia wakamchukua kwao, wakamweleza njia ya Bwana kwa usahihi zaidi.. find more
PN.gif Hizi ndizo faida za kiafya za kuota jua
Category ๐Ÿ‘‰mapishinalishe, Tags ๐Ÿ‘‰afya,
Kuna mambo ambayo huwa tunayachukulia ya kawaida na wala hatuko tayari kufahamu umuhimu wake. Jua ni kitu mojawapo ambacho huwa tunakiona kila siku, lakini ni mara chache tumelichunguza.. find more
PN.gif Jinsi ya kujisaidia unapotokwa na damu Puani
Category ๐Ÿ‘‰mapishinalishe, Tags ๐Ÿ‘‰afya,
Unapotokwa na damu puani fanya yafuatayo;
1. Simama wima na inamisha kichwa kwa mbele, kusimama itakusaidi kupunguza kasi na presha katika mishipa ya damu puani wakati unapoinamisha kichwa kwa mbele huzuia kumeza damu ambayo italeta shida tumboni.. find more
PN.gif Faida za matumizi ya Ukwaju kiafya
Category ๐Ÿ‘‰mapishinalishe, Tags ๐Ÿ‘‰afya,
Faida kuu za ukwaju ni kama ifuatavyo:. find more
PN.gif Mambo ya Muhimu kuyajua kuhusu maumivu ya Korodani
Category ๐Ÿ‘‰mapishinalishe, Tags ๐Ÿ‘‰afya,
Kuna wakati mwanaume huweza kupata maumivu ya korodani, ambapo inawezekana ikawa ni maumivu kwa korodani moja au zote mbili.. find more
PN.gif Utajuaje kama una upungufu wa maji mwilini? Dalili ni hizi
Category ๐Ÿ‘‰mapishinalishe, Tags ๐Ÿ‘‰afya,
Upungufu wa maji ni pale mwili unapopoteza kiasi kingi cha maji kwa njia mbalimbali, ikiwemo jasho na mkojo, mwili hupungukiwa maji na hivyo mtu huyo huambiwa ana upungufu wa maji. Tunaelezwa kuwa karibu theluthi mbili ya miili yetu imejaa maji.. find more
PN.gif Jinsi ya kuongeza kiasi cha utokaji wa maziwa kwa kina mama wanaonyonyesha na kwa afya ya mtoto
Category ๐Ÿ‘‰mapishinalishe, Tags ๐Ÿ‘‰afya,
Maziwa ni chakula kikuu cha mtoto punde anapozaliwa. Mama anahitaji kuwa na Maziwa ya kutosha ili mtoto aweze kuwa na afya. Zipo sababu mbalimbali zinazopelekea wakina mama wengi kushindwa kuzalisha maziwa mengi kwa ajili ya kuwanyonyesha watoto zao. Hata hivyo kama wewe ni mama na una tatizo hilo basi unatakiwa kufanya yafuatayio ili utengeneze maziwa kwa wingi;. find more
PN.gif Mambo ya kuzingatia kuhusu ugonjwa wa Kaswende
Category ๐Ÿ‘‰mapishinalishe, Tags ๐Ÿ‘‰afya,
Kaswende husababishwa na bakteria aitwaye Treponema pallidum , ambaye pia huitwa spirochetes kutokana na umbo lake la mzunguko. Viumbe hawa hujipenyeza kwenye ngozi laini inayotanda midomo au sehemu nyeti. Yafuatayo ni mambo Muhimu ambayo unapaswa kuyafahamu kuhusu Ugonjwa wa Kaswende.. find more
PN.gif Madhara ya Kuvaa viatu virefu wakati wa Ujauzito
Category ๐Ÿ‘‰mapishinalishe, Tags ๐Ÿ‘‰afya,
Wakati wa ujauzito ni kipindi cha kubadili mambo mengi katika mfumo wa maisha wa mjamzito. Mjamzito anapaswa kubadili mambo mbalimbali ili kuhakikisha anakua na afya nzuri katika kipindi chote cha ujauzito na ili kuhakikisha kwamba atajifungua mtoto mwenye afya nzuri. Moja ya mambo makubwa ni pamoja na tabia ya kuvaa viatu vyenye visigino virefu. Mjamzito hashauriwi kuvaa viatu vyenye visigino virefu kutokana na athari zinazoweza kutokana na aina hizi za viatu.. find more
PN.gif Faida za kula Tende kiafya
Category ๐Ÿ‘‰mapishinalishe, Tags ๐Ÿ‘‰afya,
Zifutazo ni faida zitokanazo na ulaji wa tende;. find more
PN.gif Chanzo na Matibabu ya Tatizo la Mtindio wa Ubongo (Kupooza ubongo)
Category ๐Ÿ‘‰mapishinalishe, Tags ๐Ÿ‘‰afya,
Tatizo la Mtindio wa Ubongo au Kupooza ubongo kitaalamu ni Cerebral plasy (CP), ni hali ya kupooza ya moja kwa moja ya viungo vya mwili inayotokana na sehemu ya ubongo (seli) inayotawala viungo hivyo kufa katika kipindi cha mwanzo cha maisha (Utototni).. find more
PN.gif MASOMO YA MISA, MEI 31, 2019: IJUMAA, JUMA LA 6 LA PASAKA
Category ๐Ÿ‘‰masomo-ya-misa, Tags ๐Ÿ‘‰masomo_ya_misa,
Pendo na lisiwe na unafiki; lichukieni lililo ovu, mkiambatana na lililo jema. Kwa pendo la udugu, mpendane ninyi kwa ninyi; kwa heshima mkiwatanguliza wenzenu; kwa bidii, si walegevu; mkiwa na juhudi katika roho zenu; mkimtumikia Bwana; kwa tumaini, mkifurahi; katika dhiki, mkisubiri; katika kusali, mkidumu; kwa mahitaji ya watakatifu, mkifuata ukarimu; katika kukaribisha wageni, mkijitahidi.
Wabarikini wanaowaudhi; barikini, wala msilaani. Furahini pamoja nao wafuraio; lieni pamoja nao waliao. Mpatane nia zenu ninyi kwa ninyi. Msinie yaliyo makuu, lakini mkubali kushughulishwa na mambo manyonge.. find more
PN.gif MASOMO YA MISA, MEI 30, 2019: ALHAMISI , JUMA LA 6 LA PASAKA
Category ๐Ÿ‘‰masomo-ya-misa, Tags ๐Ÿ‘‰masomo_ya_misa,
Siku zile, Paulo alitoka Athene akafika Korintho. Akamwona Myahudi mmoja, jina lake Akila, mzaliwa wa Ponto; naye amekuja kutoka nchi ya Italia siku za karibu, pamoja na Prisila mkewe, kwa sababu Klaudio amewaamuru Wayahudi wote watoke Rumi, naye akafikilia kwao; na kwa kuwa kazi yao ya ufundi ilikuwa moja, akakaa kwao, wakafanya kazi pamoja, kwa maana walikuwa mafundi wa kushona hema. Akatoa hoja zake katika sinagogi kila sabato, akajaribu kuwavuta Wayahudi na Wayunani.. find more
PN.gif MASOMO YA MISA, MEI 29, 2019: JUMATANO, JUMA LA 6 LA PASAKA
Category ๐Ÿ‘‰masomo-ya-misa, Tags ๐Ÿ‘‰masomo_ya_misa,
Lakini wale waliomsindikiza Paulo wakampeleka mpaka Athene; nao wakiisha kupokea maagizo kuwapelekea Sila na Timotheo, ya kwamba wasikawie kumfuata, wakaenda zao.. find more
PN.gif Calender
Category ๐Ÿ‘‰_default, Tags ๐Ÿ‘‰,
. find more
PN.gif MASOMO YA MISA, MEI 28, 2019: JUMANNE, JUMA LA 6 LA PASAKA
Category ๐Ÿ‘‰masomo-ya-misa, Tags ๐Ÿ‘‰masomo_ya_misa,
Siku ile, pale Filipi, wenyeji waliwakamata Paulo na Sila, wakawaendea, makadhi wakawavua nguo zao kwa nguvu, wakatoa amri wapigwe kwa bakora. Na walipokwisha kuwapiga mapigo mengi, wakawatupa gerezani, wakamwamuru mlinzi wa gereza awalinde sana. Naye akiisha kupata amri hii akawatupa katika chumba cha ndani, akawafunga miguu kwa mkatale. Lakini panapo usiku wa manane Paulo na Sila walikuwa wakimwomba Mungu na kumwimbia nyimbo za kumsifu, na wafungwa wengine walikuwa wakiwasikiliza. Ghafula pakawa tetemeko kuu la nchi, hata misingi ya gereza ikatikisika, na mara hiyo milango ikafunguka, vifungo vya wote vikalegezwa.. find more
PN.gif MASOMO YA MISA, MEI 27, 2019: JUMATATU, JUMA LA 6 LA PASAKA
Category ๐Ÿ‘‰masomo-ya-misa, Tags ๐Ÿ‘‰masomo_ya_misa,
Tulingโ€™oa nanga kutoka Troa, tukafika Samothrake kwa tanga moja, na siku ya pili tukafika Neapoli; na kutoka hapo tukafika Filipi, mji wa Makedonia, mji ulio mkuu katika jimbo lile, mahali walipohamia Warumi; tukawa katika mji huu, tukikaa siku kadha wa kadha. Hata siku ya sabato tukatoka nje ya lango, tukaenda kando ya mto, ambapo tukadhani ya kuwa pana mahali pa kusali; tukaketi, tukasema na wanawake waliokutana pale.. find more
PN.gif Testing
Category ๐Ÿ‘‰admin, Tags ๐Ÿ‘‰,
%%content%%.
[**[http://www.ackyshine.com/admin:testing find more**
PN.gif MASOMO YA MISA, MEI 26, 2019: DOMINIKA YA 6 YA PASAKA, MWAKA C
Category ๐Ÿ‘‰masomo-ya-misa, Tags ๐Ÿ‘‰masomo_ya_misa,
Hubirini kwa sauti ya kuimba, tangazeni haya yatamkeni mpaka mwisho wa dunia, semeni, Bwana amelikomboa taifa lake, aleluya.. find more
PN.gif MASOMO YA MISA, MEI 25, 2019: JUMAMOSI, JUMA LA 5 LA PASAKA
Category ๐Ÿ‘‰masomo-ya-misa, Tags ๐Ÿ‘‰masomo_ya_misa,
Siku zile, Paulo alifika Derbe na Listra na hapo palikuwa na mwanafunzi mmoja jina lake Timotheo, mwana wa mwanamke Myahudi aliyeamini; lakini babaye alikuwa Myunani. Mtu huyo alishuhudiwa vema na ndugu waliokaa Listra na Ikonio. Paulo akamtaka huyo afuatane naye, akamtwaa akamtahiri kwa ajili ya Wayahudi waliokuwako pande zile; kwa maana wote walijua ya kuwa babaye ni Myunani. Basi walipokuwa wakipita kati ya miji ile, wakawapa zile amri zilizoamriwa na mitume na wazee walioko Yerusalemu, ili wazishike. Makanisa yakatiwa nguvu katika ile Imani, hesabu yao ikaongezeka kila siku.
Wakapita katika nchi ya Frigia na Galatia, wakikatazwa na Roho Mtakatifu, wasilihubiri lile neno katika Asia. Walipofika kukabili Misia, wakajaribu kwenda Bithinia, lakini Roho wa Yesu hakuwapa ruhusa, wakapita Misia wakatelemka Troa. Paulo akatokewa na maono usiku; alimwona mtu wa Makedonia amesimama, akimsihi, na kumwambia, Vuka, uje Makedonia utusaidie. Basi alipo- kwisha kuyaona vale maono, mara tukataka kutoka kwenda Makedonia. kwa kuwa tuliena hakika ya kwamba Mungu ametuita tuwahubiri Habari Njema.. find more
PN.gif MASOMO YA MISA, MEI 24, 2019: IJUMAA, JUMA LA 5 LA PASAKA
Category ๐Ÿ‘‰masomo-ya-misa, Tags ๐Ÿ‘‰masomo_ya_misa,
Siku zile, baada ya Mtaguso wa Yerusalemu, ikawapendeza mitume na wazee na kanisa lote kuwachagua watu miongoni mwao na kuwapeleka Antiokia pamoja na Paulo na Barnaba; nao ni hawa, Yuda aliyeitwa Barnaba, na Sila, waliokuwa watu wakuu katika ndugu.. find more
PN.gif Swahili After Bottom
Category ๐Ÿ‘‰_default, Tags ๐Ÿ‘‰,
a.gif %%title%%
[%%link%% soma zaidi]
[**[http://www.ackyshine.com/swahili-after-bottom find more**
PN.gif Swahili Side Bottom
Category ๐Ÿ‘‰_default, Tags ๐Ÿ‘‰,
[[tabview]]
[[tab TGZ]]. find more
PN.gif MASOMO YA MISA, MEI 23, 2019: ALHAMISI, JUMA LA 5 LA PASAKA
Category ๐Ÿ‘‰masomo-ya-misa, Tags ๐Ÿ‘‰masomo_ya_misa,
Wakati wa Mtaguso wa Yerusalemu, baada ya hoja nyingi Petro alisimama, akawaambia, Ndugu zangu, ninyi mnajua ya kuwa tangu siku za kwanza Mungu alichagua miongoni mwenu ya kwamba Mataifa walisikie neno la Injili kwa kinywa changu, na kuliamini. Na Mungu, ajuaye mioyo ya watu, akawashuhudia, akiwapa Roho Mtakatifu vile vile kama alivyotupa sisi; wala hakufanya tofauti kati yetu sisi na wao, akiwasafisha mioyo yao kwa imani. Basi sasa mbona mnamjaribu Mungu na kuweka kongwa juu ya shingo za wanafunzi, ambalo baba zetu wala sisi hatukuweza kulichukua. Bali twaamini kwamba tutaokoka kwa neema ya Bwana Yesu vile vile kama wao.. find more
PN.gif MASOMO YA MISA, MEI 22, 2019: JUMATANO, JUMA LA 5 LA PASAKA
Category ๐Ÿ‘‰masomo-ya-misa, Tags ๐Ÿ‘‰masomo_ya_misa,
Siku zile, walishuka watu waliotoka Uyahudi wakawafundisha wale ndugu ya kwamba, Msipotahiriwa kama desturi ya Musa hamwezi kuokoka. Basi baada ya Paulo na Barnaba kushindana na watu hawa na kuhojiana nao Sana, ndugu wakaamuru kwamba Paulo na Barnaba na wengine miongoni mwao wapande kwenda Yerusalemu kwa mitume na wazee kwa habari ya swali hilo.. find more
PN.gif MASOMO YA MISA, MEI 21, 2019: JUMANNE, JUMA LA 5 LA PASAKA
Category ๐Ÿ‘‰masomo-ya-misa, Tags ๐Ÿ‘‰masomo_ya_misa,
Wayahudi walifika toka Antiokia na Ikonio, wakawashawishi makutano hata wakampiga kwa mawe Paulo, wakamburuta nje ya mji, wakidhania ya kuwa amekwisha kufa. Lakini wanafunzi walipokuwa wakimzunguka pande zote, akasimama, akaingia ndani ya mji; na siku ya pili yake akatoka, akaenda zake pamoja na Barnaba mpaka Derbe.
Hata walipokwisha kuhubiri Injili katika mji ule, na kupata wanafunzi wengi, wakarejea mpaka Listra na Ikonio na Antiokia, wakifanya imara roho za wanafunzi na kuwaonya wakae katika ile Imani, na ya kwamba imetupasa kuingia katika ufalme wa Mungu kwa njia ya dhiki nyingi. Na walipokwisha kuwachagulia wazee katika kila kanisa, na kuomba pamoja na kufunga, wakawa weka katika mikono ya Bwana waliyemwamini.
Wakapita kati ya Pisidia wakaingia Pamfilia. Na baada ya kuhubiri lile neno katika Perge wakatelemka mpaka Atalia. Na kutoka huko wakaabiri kwenda Antiokia. Huko ndiko walikoombewa neema ya Mungu kwa ile kazi waliyokwisha kuitimiza. Hata walipofika wakalikutanisha kanisa, waka- waeleza mambo yote aliyoyafanya Mungu pamoja nao, na ya kwamba amewafungulia Mataifa mlango wa imani. Wakaketi huko wakati usiokuwa mcha che, pamoja na wanafunzi.. find more
PN.gif MASOMO YA MISA, MEI 20, 2019: JUMATATU, JUMA LA 5 LA PASAKA
Category ๐Ÿ‘‰masomo-ya-misa, Tags ๐Ÿ‘‰masomo_ya_misa,
Siku zile, palipotokea shambulio la watu wa Mataifa na Wayahudi pamoja na wakubwa wao juu yao, kuwatenda jeuri na kuwapiga kwa mawe, wao wakapata habari wakakimbilia Listra na Derbe, mji wa Likaonia, na nchi zilizo kando kando; wakakaa huko, wakiihubiri Injili. Na huko Listra palikuwa na mtu mmoja, dhaifu wa miguu, kiwete tangu tumboni mwa mamaye, ambaye hajaenda kabisa. Mtu huyo alimsikia Paulo alipokuwa akinena; ambaye akamkazia macho na kuona ya kuwa ana imani ya kuponywa, akasema kwa sauti kuu, Simama kwa miguu yako sawasawa. Akasimama upesi akaenda.
Na makutano walipoona aliyoyafanya Paulo wakapaza sauti zao, wakisema kwa Kilikaonia, Miungu wametushukia kwa mifano ya wanadamu. Wakamwita Barnaba, Zeu, na Paulo, Herme, kwa sababu ndiye aliyekuwa mnenaji. Kuhani wa Zeu ambaye hekalu lake lilikuwa mbele ya mji, akaleta ngโ€™ombe na taji za maua hata malangoni, akitaka kutoa dhabihu pamoja na makutano. Walakini mitume Barnaba na Paulo, walipopata habari, wakararua nguo zao, wakaenda mbio wakaingia katika makutano, wakipiga kelele, wakisema, Akina bwana, mbona mnafanya haya? Sisi nasi ni wanadamu hali moja na ninyi; twawahubiri habari njema, ili mgeuke na kuyaacha mambo haya ya ubatili na kumwelekea Mungu aliye hai, aliyeumba mbingu na nchi na bahari na vitu vyote vilivyomo; ambaye zamani zilizopita aliwaacha mataifa yote waende katika njia zao wenyewe. Lakini hakujiacha pasipo ushuhuda, kwa kuwa alitenda mema, akiwapeni mvua kutoka mbinguni, na nyakati za mavuno, akiwashibisha mioyo yenu chakula na furaha. Na kwa maneno hayo wakawazuia makutano kwa shida, wasiwatolee dhabihu.. find more
PN.gif MASOMO YA MISA, MEI 19, 2019: DOMINIKA YA 5 YA PASAKA, MWAKA C
Category ๐Ÿ‘‰masomo-ya-misa, Tags ๐Ÿ‘‰masomo_ya_misa,
Mwimbieni Bwana wimbo mpya, kwa maana ametenda mambo ya ajabu; machoni pa mataifa ameidhihirisha haki yake, aleluya.. find more
PN.gif MASOMO YA MISA, MEI 18, 2019: JUMAMOSI, JUMA LA 4 LA PASAKA
Category ๐Ÿ‘‰masomo-ya-misa, Tags ๐Ÿ‘‰masomo_ya_misa,
Paulo na wenziwe wakaingia katika sinagogi siku ya sabato, wakaketi. Watu wengi, karibu mji waote, wakakusanyika walisikie neno la Mungu. Bali Wayahudi walipowaona makutano, wakajaa wivu, wakayakanusha maneno yaliyonenwa na Paulo, wakibisha na kutukana. Paulo na Barnaba wakanena kwa ushujaa wakasema, Ilikuwa lazima neno la Mungu linenwe kwenu kwanza; lakini kwa kuwa mnalisukumia mbali, na kujiona nafsi zenu kuwa hamkustahili uzima wa mille, angalieni, twawageukia Mataifa. Kwa sababu ndivyo tulivyoamriwa na Bwana,
Nimekuweka uwe nuru ya Mataifa, upate kuwa wokovu hata mwisho wa dunia.
Mataifa waliposikia hayo wakafurahi, wakalitukuza neno la Bwana, nao waliokuwa wamekusudiwa uzima wa milele wakaamini. Neno la Bwana likaenea katika nchi ile yote.
Lakini Wayahudi wakawafitinisha wanawake watauwa wenye cheo na wakuu wa mji, wakawataharakisha watu wawaudhi Paulo na Barnaba; wakawatoa katika mipaka yao. Nao wakawakungโ€™utia mavumbi ya miguu yao, wakaenda Ikonio. Na wanafunzi walijaa furaha na Roho Mtakatifu.. find more
PN.gif MASOMO YA MISA, MEI 17, 2019: IJUMAA, JUMA LA 4 LA PASAKA
Category ๐Ÿ‘‰masomo-ya-misa, Tags ๐Ÿ‘‰masomo_ya_misa,
Paulo alisimama akawapungia mkono, akasema: Ndugu zangu, wana wa ukoo wa Ibrahimu, na hao miongoni mwenu wanaomcha Mungu, kwetu sisi neno la wokovu huu limepelekwa. Kwa maana wakaao Yerusalemu, na wakuu wao, kwa kuwa hawakumjua yeye, wala maneno ya manabii yanayosomwa kila sabato, wameyatimiza kwa kumhukumu. Na ijapokuwa hawakuona sababu ya kumfisha wakamwomba Pilato auawe. Hata walipokwisha kumaliza yote aliyoandikiwa, wakamtelemsha katika ule mti, wakamweka kaburini. Lakini Mungu akamfufua katika wafu; akaonekana siku nyingi na wale waliopanda naye kutoka Galilaya hata Yerusalemu, ambao sasa ndio walio mashahidi wake mbele ya watu.
Na sisi tunawahubiri habari njema ya ahadi ile waliyopewa mababa, ya kwamba Mungu amewatimizia watoto wetu ahadi hiyo, kwa kumfufua Yesu kama ilivyoandikwa katika Zaburi ya pili, Wewe ndiwe Mwanangu, mimi leo nimekuzaa.. find more
page 1 of 212next »

Pages pages: 3212460 in total