PN.gif Soma hii utajifunza kitu, kisha tafakari nini cha kufanya
Category ๐Ÿ‘‰habari, Tags ๐Ÿ‘‰,
Tafakuri Tafakarishi:
Mwanaume hujaribiwa na Shetani akiwa na hela. Lakini shetani humkimbia akiishiwa. Angalia wanaume wengi wakiwa na hela wanavyo behave. Hawajali familia zao, attention yao kubwa ni kwenye ulevi, vimada, disco, kamari, makasino etc. Lakini wakiishiwa wanashinda nyumbani, wanajali familia, wanapanga mipango ya maendeleo (ambayo mingi haitekelezeki akishapata hela).. find more
PN.gif Mambo 13 katika pesa ambayo unapaswa kuzingatia
Category ๐Ÿ‘‰uchumi, Tags ๐Ÿ‘‰,
1. Usikope pesa ya riba ili uanzishe biashara.
Usitegemee pesa ya mkopo kuianzishia biashara, upate faida kisha uirudishe pesa ya mkopo na riba yake.. find more
PN.gif Maneno ya Hekima unayopaswa kujua
Category ๐Ÿ‘‰habari, Tags ๐Ÿ‘‰,
```๐Ÿ’ฎKucha zinapokuwa kubwa huwa tunakata kucha, hatukati vidole… Na matatizo yanapokuwa makubwa, jukumu letu ni kukata matatizo, si kukata uhusiano wetu ๐Ÿ‘๐Ÿฝ. find more
PN.gif Tofauti ya mwanamke wa Kizaramo, Kitanga, Kihaya, na wa Kichaga
Category ๐Ÿ‘‰vichekesho, Tags ๐Ÿ‘‰,
Mwanamke wakizaramo: Unampa hela ana nunua dela anaenda ana msutia jirani, analivaa dela bila nguo ya ndani mbele yako, unazidiwa anakupa kitu fresh unatoka unatabasamu.๐Ÿค๐Ÿฝ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ. find more
PN.gif Ukimuona mbwa kwenye harusi hii ndiyo maana yake
Category ๐Ÿ‘‰vichekesho, Tags ๐Ÿ‘‰,
Hili nalo neneo.. find more
PN.gif Jifunze kupitia mfano huu Ili uishi kwa amani na watu
Category ๐Ÿ‘‰uchumi, Tags ๐Ÿ‘‰,
Siku moja nilichukua taxi aina ya UBER nikiwa naelekea uwanja wa Ndege Mwl. Nyerere Dereva huku akiendesha kwa ustaarabu sana mara ghafla pasipo kutegemea gari ya taka ikajitokeza mbele yetu kutokea nje ya barabara. Dereva wa taxi kwa umakini na neema ya Mungu akalikwepa gari hilo na ilikuwa kidogo agonge gari zingine mbele yetu.. find more
PN.gif Siri ya mafanikio katika maisha: Usiangalie watu
Category ๐Ÿ‘‰uchumi, Tags ๐Ÿ‘‰,
Waziri mkuu wa zamani wa uingereza Sir Wiston Churchill aliwahi kusema
"huwezi kufika mwisho wa safari yako kama utakuwa unasimama kila mahali kumtupia jiwe kila mbwa anaye kubwekea". find more
PN.gif Jinsi ya kuondoa kitambi na kupata afya nzuri
Category ๐Ÿ‘‰mapishinalishe, Tags ๐Ÿ‘‰,
โ˜˜โ˜˜piga chini kitambiโ˜˜โ˜˜. find more
PN.gif Maana ya Kuabudu kwa Mkatoliki
Category ๐Ÿ‘‰katoliki, Tags ๐Ÿ‘‰,
Kuabudu sio kupiga magoti
Ingekuwa ni kupiga magoti basi wanafunzi wanaopewa adhabu ya kupiga magoti mashuleni wangekuwa wanamwabudu mwalimu wao.. find more
PN.gif Soma kisa hiki utatambua kwa nini unatakiwa umsaidie ndugu na rafiki yako
Category ๐Ÿ‘‰habari, Tags ๐Ÿ‘‰,
HABARI!
nyumba niliyo kuwa nikishi ilifikia kipindi nilitaka kufukuzwa Ndani kwa kutokulipa kodi. Nikaamua kuwashirikisha marafiki hata na boss wangu pia, wote wakaanza kunikwepa, hali nlivyoona hali hii nikaamua kushea na marafiki zangu Tatizo langu kwakupost Facebook kutafuta msaada, lakini nilicho kipata ni likes 2 "na comment "0.". find more
PN.gif Side System
Category ๐Ÿ‘‰nav, Tags ๐Ÿ‘‰,
[[include featured-side]]. find more
PN.gif Wishes Bottom
Category ๐Ÿ‘‰_default, Tags ๐Ÿ‘‰,
[[tabview]]
[[tab Zaidi]]. find more
PN.gif Side Wishes
Category ๐Ÿ‘‰nav, Tags ๐Ÿ‘‰,
New%20button[%%link%% %%title%%๐Ÿ’จ]
[**[http://www.ackyshine.com/nav:side-wishes find more**
PN.gif Ackyshine Katoliki
Category ๐Ÿ‘‰katolikihome, Tags ๐Ÿ‘‰,
[[include katolikihome:wikikatoliki]]. find more

Pages pages: 3212417 in total