PN.gif Urembo Na Mitindo
Category ๐Ÿ‘‰_default, Tags ๐Ÿ‘‰,
[[html]]
<!— Go to www.addthis.com/dashboard to customize your tools —>
<script type="text/javascript" src="//s7.addthis.com/js/300/addthis_widget.js#pubid=ra-57aa1f32822edbf3" async="async"></script>
[**[http://www.ackyshine.com/urembo-na-mitindo find more**
PN.gif Side Urembo
Category ๐Ÿ‘‰nav, Tags ๐Ÿ‘‰,
[[div style="width: 98%; border: 0.6px solid silver; background-color: transparent; padding: 10px; vertical-align: top; -moz-border-radius: 20px 20px; -webkit-border-radius: 10px; -webkit-box-shadow: 1px 1.8px 2px 1.8px; -moz-box-shadow: 1px 1.8px 2px 1.8px;
box-shadow: 1px 1.8px 2px 1.8px;"]]. find more
PN.gif Jinsi ya kung'arisha sura yako kwa kutumia Asali, Sukari, Maziwa, na Limao
Category ๐Ÿ‘‰urembo-na-mitindo, Tags ๐Ÿ‘‰,
Usafi wa uso ni moja ya mambo muhimu sana kwa mwanamke au mwanaume yeyote yule ambaye anapenda kuwa nadhifu na mwenye mvuto. Kumbuka โ€œreception ndio kila kitu โ€œ. Unapokutana na mtu sura yako na mwonekano wa sura yako ndio kitu cha kwanza kinachomtambulisha kwamba wewe ni nani na upo kwenye hali gani.. find more
PN.gif Mavazi ya Ofisini kwa Wadada
Category ๐Ÿ‘‰urembo-na-mitindo, Tags ๐Ÿ‘‰,
Wengi wetu tunashindwa kutofautisha mavazi ya sehemu husika mfano Ofisini, michezoni, na yale ya usiku na sehemu nyinginezo leo nitagusia vazi la ofisini kwa akina dada.. find more
PN.gif Madhara ya kuchora tattoo mwilini
Category ๐Ÿ‘‰urembo-na-mitindo, Tags ๐Ÿ‘‰,
Tattoo ni nini?
Hii ni uwekaji wa wino kwenye ngozi ya ndani kitaalamu kama dermis kubadilisha rangi kabisa maisha yako yote au kwa muda tu, inateemea na uwekaji..
Kwa dunia ya sasa kujichora tatoo ni kama fasheni fulani kwenye jamii, ukienda kuchora tattoo kuna uwezekano mkubwa sana isitoke maisha yako yote hivyo kwa usalama wako ni vizuri ukamuona mtaalamu wa tattoo ambaye ni maarufu na ana sifa kubwa katika shughuli hizo, anaweza kua ana gharama kubwa lakini binafsi itakusaidia.kwa sasa nchi ya marekani inaongoza kwa kua na watu wengi wenye tattoo duniani.. find more
PN.gif Jinsi ya kuvaa viatu mbalimbali inavyotakiwa na ili upendeze
Category ๐Ÿ‘‰urembo-na-mitindo, Tags ๐Ÿ‘‰,
Viatu ni kinga kwa ajili ya kuhifadhi miguu. Vile vile viatu ni vazi ambalo linaongeza urembo na nakshi kwa mvaaji. Viatu vipo vya aina mbalimbali na vinavaliwa kulingana na mahali na mavazi yanayoambatana navyo. Tuangalie baadhi ya aina za viatu na wapi hasa na vipi vikitumika vinapendeza zaidi.. find more
PN.gif Jinsi ya kusafisha na Kutunza Kucha zako
Category ๐Ÿ‘‰urembo-na-mitindo, Tags ๐Ÿ‘‰,
Inashauriwa kwamba kabla ya kuchukuwa uamuzi wa kwenda kununua vifaa husika ambavyo utavitumia unapaswa kufahamu aina ya kucha ili uweze kununua vifaa vinavyoendana na kucha zako kwa lengo la kuzilinda badala ya kuvamia na kuziharibu.. find more
PN.gif Namna ya kuvaa vizuri kwa mwanamme upendeze na kuwa mtanashati
Category ๐Ÿ‘‰urembo-na-mitindo, Tags ๐Ÿ‘‰,
Nimeona leo nitoe darasa kidogo kuhusu mavazi sababu na mimi ni kipaumbele changu katika maisha.. find more
PN.gif Mambo ya Msingi kujua kuhusu uvaaji wa Tai
Category ๐Ÿ‘‰urembo-na-mitindo, Tags ๐Ÿ‘‰,
Kuna mambo mengi ya kufanya ili tuwe watu wa kuvutia kila wakati.Mpangilio wa mavazi hufanya mtu kuonekana maridadi.. find more
PN.gif Namna ndizi inavyotumika katika urembo
Category ๐Ÿ‘‰urembo-na-mitindo, Tags ๐Ÿ‘‰,
Mbali na kulika, ndizi zina manufaa mengine, hasa katika urembo wa ngozi.
Ndizi zina virutubisho muhimu vinavyoboresha ngozi. Ndizi pia zina aina tatu za sukari zinazojulikana kama โ€˜sucroseโ€™, โ€˜fructoseโ€™ na โ€˜glucoseโ€™.. find more
PN.gif Umuhimu wa kuvaa soksi
Category ๐Ÿ‘‰urembo-na-mitindo, Tags ๐Ÿ‘‰,
Miguu ni sehemu mojawapo inayotoa jasho sana hivvo ni vema kuiweka mikavu kuzuia ukuaji wa bacteria au fungus.Wakaka tunajua umuhimu wa soksi au tunavaa bila kujua na wengine hatuvai? Hii ni kwa wadada pia wanaovaa viatu kama raba au hata nyumbani. Ni vema sana kufahamu kwanini tunavaa soksi na mda mwingine soksi gani tuvae.. find more
PN.gif Mavazi Mazuri kwa wanawake wanene
Category ๐Ÿ‘‰urembo-na-mitindo, Tags ๐Ÿ‘‰,
Kuna baadhi ya watu wamekuwa wakiangaika kupata aina ya nguo za kuvaa tena hasa wanawake wanene, kutokana na maumbo yao wanaona ni kazi sana kutafuta nguo, wengine hukosa hata uhuru wa kutoka out na watu wao wa karibu kwa sababu tu wanakosa nguo.Wengi ujikuta wakichagua nguo pana pana ili kuficha maumbo yao, lakini kumbe unaweza kuwa huru sana na mwili wako.. find more
PN.gif Mambo ya msingi kwa mwanamke kuyajua unapojiremba
Category ๐Ÿ‘‰urembo-na-mitindo, Tags ๐Ÿ‘‰,
Kope nazo humpendezesha mwanamke kuna aina ya rangi za kupaka kwenye kope, lakini zinatofautiana. Ni vyema ukawasiliana na wataalamu wa mambo ya urembo kwa ushauri na siyo kukurupuka. Siyo umemuona fulani kapendeza na aina fulani ya rangi ya kwenye kope halafu na wewe ukakimbilia kupaka, utachekesha.. find more
PN.gif Faida za kuoga maji ya Baridi
Category ๐Ÿ‘‰urembo-na-mitindo, Tags ๐Ÿ‘‰,
Watu wengi hupenda kuogea maji ya moto, hii ni kutokana na kuogopa baridi au sababu za kimazoea tu. Ingawa mara nyingi umekuwa ukisisitiziwa kuwa maji moto yana manufaa mengi, lakini hata maji ya baridi nayo yana manufaa yake.. find more
PN.gif Namna nzuri ya kuhudumia nywele zako za asili kirahisi
Category ๐Ÿ‘‰urembo-na-mitindo, Tags ๐Ÿ‘‰,
Kwa wale ambao tuna nywele asilia (natural hair), tayari tunafahamu changamoto kadhaa tunazokumbana nazo. Kwa wale mnaofikiria kuanza kuwa na nywele asilia, karibuni sana tuendelee kujuzana namna ya kutunza nywele zetu kama tulivyopewa na Mungu.. find more
PN.gif Jinsi ya Kujiremba na Kuboresha ngozi yako kwa kutumia Matunda
Category ๐Ÿ‘‰urembo-na-mitindo, Tags ๐Ÿ‘‰,
Wakati mwingine ili uweze kuboresha mwonekanao wa ngozi yako si lazima utumie makemikali yenye viambatano vyenye sumu ili uweze kufanya hivyo, bali inahitajika uweze kutumia matunda ambayo yana msada mkuubwa wa kuweza kufanya ngozi yako ing`are.. find more
PN.gif Faida za kuvaa saa ya Mkononi
Category ๐Ÿ‘‰urembo-na-mitindo, Tags ๐Ÿ‘‰,
leo tutajaribu kuongalia sababu kwanini tunatakiwa tuvae saa za mkoni yaani nini haswa kinatulazimisha kuvaa saa za mkononi , hebu kwa tujue saa za mkononi zilianza kuvaliwa mwaka gani.. find more
PN.gif MASOMO YA MISA, JUNI 18, 2019: JUMANNE, JUMA LA 11 LA MWAKA
Category ๐Ÿ‘‰masomo-ya-misa, Tags ๐Ÿ‘‰masomo_ya_misa,
Ndugu zetu, twaarifu habari ya neema ya Mungu, waliyopewa makanisa ya Makedonia; maana walipokuwa wakijaribiwa kwa dhiki nyingi, wingi wa furaha yao na umaskini wao uliokuwa mwingi uliwaongezea utajiri wa ukarimu wao. Maana nawashuhudia kwamba, kwa uwezo wao, na zaidi ya uwezo wao, kwa hiari yao wenyewe walitoa vitu vyao; wakituomba sana pamoja na kutusihi kwa habari ya neema hii, na shirika hili la kuwahudumia watakatifu. Tena walitenda hivi si kama tulivyotumaini tu, bali kwanza walijitoa nafsi zao kwa Bwana; na kwetu pia, kwa mapenzi ya Mungu.
Hata tukamwonya Tito kuwatimilizia neema hii kwenu kama vile yeye alivyotangulia kuianzisha. Lakini kama mlivyo na wingi wa mambo yote; imani, na usemi, na elimu, na bidii yote, na upendo wenu kwetu sisi; basi vivyo hivyo mpate wingi wa neema hii pia. Sineni ili kuwaamuru, bali kwa bidii ya watu wengine nijaribu unyofu wa upendo wenu. Maana mmejua neema ya Bwana wetu Yesu Kristo, jinsi alivyokuwa maskini kwa ajili yenu, ingawa alikuwa tajiri, ili kwamba ninyi mpate kuwa matajiri kwa umaskini wake.. find more
PN.gif MASOMO YA MISA, JUNI 17, 2019: JUMATATU, JUMA LA 11 LA MWAKA
Category ๐Ÿ‘‰masomo-ya-misa, Tags ๐Ÿ‘‰masomo_ya_misa,
Nasi tukitenda kazi pamoja naye twawasihi, msiipokee neema ya Mungu bure. Kwa maana asema, Wakati uliokubalika nalikusikia, Siku ya wokovu nalikusaidia; tazama, wakati uliokubalika ndio sasa.
Tusiwe kwazo la namna yoyote katika jambo lolote, ili utumishi wetu usilaumiwe; bali katika kila neno tujipatie sifa njema, kama watumishi wa Mungu; katika saburi nyingi, katika dhiki, katika misiba, katika shida; katika mapigo, katika vifungo, katika fitina, katika taabu, katika kukesha, ktika kufunga; katika kuwa safi, katika elimu, katika uvumilivu, katika utu wema, katika Roho Mtakatifu, katika upendo usio unafiki; katika neno la kweli, katika nguvu ya Mungu; kwa silaha za haki za mkono wa kuume na za mkono wa kushoto; kwa utukufu na aisbu; kwa kunenwa vibaya na kunenwa vema; kama wadanganyao, bali tu watu wa kweli; kama wasiojulikana, bali wajulikanao sana; kama wanaokufa, kumbe tu hai; kama wanaorudiwa, bali wasiouawa; kama wenye huzuni, bali sikuzote tu wenye furaha; kama maskini, bali tukitajirisha wengi; kama wasio na kitu, bali tu wenye vitu vyote.. find more
PN.gif Kampeni ya Kudumisha Amani na Upendo
Category ๐Ÿ‘‰charity, Tags ๐Ÿ‘‰kampeni main_charity,
Kampeni hii ilianzishwa Rasmi Mwaka 2014 na Melkisedeck Leon Shine.
Lengo la kampeni Hii ni kudumisha Amani na Upendo bila kuangalia tofauti zetu.
Kampeni hii inaamini kuwa katika upendo kuna amani.
Kampeni hii inafundisha kwamba upendo wa kweli ni wa kuwafanyia wengine vile ungependa kufanyiwa nao. Kila mtu amfanyie mwenzake vile anavyopenda afanyiwe.. find more
PN.gif Kampeni ya Kudumisha Umoja Wa Imani na Amani kwa watu wote
Category ๐Ÿ‘‰charity, Tags ๐Ÿ‘‰kampeni main_charity,
Kampeni hii ilianzishwa Rasmi Tarehe 15/05/2012 na Melkisedeck Leon Shine.
Lengo la kampeni Hii ni kudumisha Amani na Umoja bila kuangalia tofauti za imani zetu za kidini.. find more
PN.gif Kampeni Ya Wafanye Watabasamu
Category ๐Ÿ‘‰charity, Tags ๐Ÿ‘‰kampeni main_charity,
Let Them Smile Campaign au Kampeni ya Wafanye nao Watabasamu ni kampeni endelevu ya kuhamasisha ushirikiano, umoja na kusaidiana katika jamii kwa watu wa matabaka yote.
Kampeni hii ina lengo la kuamsha na kueneza furaha itokanayo na umoja na mshikamano kwenye jamii kwa njia ya kusaidiana na kushirikiana kimawazo, kwa matendo na kifedha. Ni kweli kwamba furaha ya kweli haiji kwa kujifurahisha mwenyewe bali kwa kufurahishwa.. find more
PN.gif MASOMO YA MISA, JUNI 16, 2019: SHEREHE YA UTATU MTAKATIFU
Category ๐Ÿ‘‰masomo-ya-misa, Tags ๐Ÿ‘‰masomo_ya_misa,
Bwana alikuwa nami katika mwanzo wa njia yake, Kabla ya matendo yake ya kale, Nalitukuka tokea milele, tangu awali, Kabla haijawako dunia. Wakati visipokuwako vilindi nalizaliwa, Wakati zisipokuwako chemchemi zilizojaa maji. Kabla milima haijawekwa imara, Kabla ya vilima nalizaliwa. Alipokuwa hajaiumba dunia, wala makonde, Wala chanzo cha mavumbi ya dunia; Alipozithibitisha mbingu nalikuwako; Alipopiga duara katika uso wa bahari; Alipofanya imara mawingu yaliyo juu; Chemchemi za bahari zilipopata nguvu; Alipoipa bahari mpaka wake, Kwamba maji yake yasiasi amri yake; Alipoiagiza misingi ya nchi; Ndipo nilipokuwa pamoja naye, kama stadi wa kazi; Nikawa furaha yake kila siku; Nikifurahi daima mbele zake; Nikiifurahia dunia inayokaliwa na watu; Na furaha yangu ilikuwa pamoja na wanadamu.. find more
PN.gif All AckySHINE Minisites
Category ๐Ÿ‘‰_default, Tags ๐Ÿ‘‰,
div.main-content-wrap{ width: 100% !important; }
nav.side-bar-wrap{ display: none !important; }
main .content .page-title{ display: none !important; }. find more
PN.gif MASOMO YA MISA, JUNI 15, 2019: JUMAMOSI, JUMA LA 10 LA MWAKA
Category ๐Ÿ‘‰masomo-ya-misa, Tags ๐Ÿ‘‰masomo_ya_misa,
Upendo wa Kristo watubidisha; maana tumehukumu hivi, ya kwamba mmoja alikufa kwa ajili ya wote, basi walikufa wote; tena alikufa kwa ajili ya wote, ili walio hai wasiwe hai tena kwa ajili ya nafsi zao wenyewe, bali kwa ajili yake yeye aliyekufa kwa ajili yao.
Hata imekuwa, sisi tangu sasa hatumjui mtu awaye yote kwa jinsi ya mwili, lakini sasa hatumtambui hivi tena. Hata imekuwa, mtu akiwa ndani ya Kristo amekuwa kiumbe kipya; ya kale yamepita; tazama! Yamekuwa mapya. Lakini vyote pia vyatokana na Mungu, aliyetupatanisha sisi na nafsi yake kwa Kristo amekuwa kiumbe kipya; ya kale yamepita; tazama! Yamekuwa mapya. Lakini vyote pia vyatokana na Mungu, aliyetupatanisha sisi na nafsi yake kwa Kristo, naye alitupa huduma ya upatanisho; yaani, Mung alikuwa ndani ya Kristo, akiupatanisha ulimwengu na nafsi yake, asiwahesabie makosa yao; naye ametia ndani yetu neno la upatanisho.
Basi tu wajumbe kwa ajili ya Kristo, kana kwamba Mungu anasihi kwa vinywa vyetu; twawaomba ninyi kwa ajili ya Kristo mpatanishwe na Mungu. Yeye asiyejua dhambi alimfanya kuwa dhambi kwa ajili yetu, ili tupate kuwa haki ya Mungu katika Yeye.. find more
PN.gif Nawatafuta Hawa Tumepotezana
Category ๐Ÿ‘‰deleted, Tags ๐Ÿ‘‰,
jinalako: natohgyhggggggggggggggggggggggggggggggggggggg
maelezo: gtj;vcxczdsa34wiucxvsad
jinalaunayemtafuta: q3465uyhgsadaAS
mawasiliano: '0629081240'
mahaliulipo: DODOMA. find more
PN.gif Kivipi unaweza kusimama nyuma ya Baba yako wakati huo huo amesimama nyuma yako?
Category ๐Ÿ‘‰mafumbo, Tags ๐Ÿ‘‰fumbo,
swali: 'Inawezekanaje kusimama nyuma ya mtu huku na yeye amesimana nyuma yako?'
jibu: 'Inawezekana kama wote mmegeuziana Migongo'. find more
PN.gif Ni herufi gani tatu zinafuata baada ya hizi?
Category ๐Ÿ‘‰mafumbo, Tags ๐Ÿ‘‰chemsha_bongo,
swali: 'Ni herufi gani tatu zinafuata baada ya MMTNTSS'
jibu: "Ni herufi NTK\n\nMMTNTSSNTK: Herufi ya kwanza ya namba Moja mpaka Kumi. Yaani Moja, Mbili, Tatu, Nnne, Tano, Sita…\n". find more
PN.gif Je, glasi itakuwa vipande vingapi?
Category ๐Ÿ‘‰mafumbo, Tags ๐Ÿ‘‰fumbo,
swali: 'Mtoto alikua amebeba glasi mkono mmoja na mkono mwingine mpira. Kwa bahati mbaya mpira ukaanguka chini na kudunda mara tatu. Je, glasi imebaki vipande vingapi?'
jibu: 'Glasi bado ni nzima. Mpira ndio ulianguka. Glasi haikuanguka'. find more
PN.gif Je, glass ina Maji kiasi gani?
Category ๐Ÿ‘‰mafumbo, Tags ๐Ÿ‘‰fumbo,
swali: 'Glasi imewekwa juu ya Meza na imejaa Maji. Kwa bahati mbaya upepo ukataka kuidondosha. Je glasi inamaji Kiasi gani?'
jibu: 'Glasi bado imejaa Maji kwa sababu haikuanguka. Upepo ulitaka tuu kuiangusha.'. find more
PN.gif Tano inawezaje kuwa ndani ya nne?
Category ๐Ÿ‘‰mafumbo, Tags ๐Ÿ‘‰fumbo,
swali: 'Tano inawezaje kuwa ndani ya nne?'
jibu: "Inaweza kuwa ndani ya nne kama ukiziandika kwa Kirumi.\n\nIV = Nne\nV = Tano\n\nV ni Tano japokuwa ipo ndani aya Nne (IV)". find more
PN.gif Kitu gani Kinapotea mara tuu unapokitaja?
Category ๐Ÿ‘‰methali-na-vitendawili, Tags ๐Ÿ‘‰kitendawili,
JIBU: Ukimya (Kimya). find more
PN.gif Je, hii familia ina watoto wangapi?
Category ๐Ÿ‘‰mafumbo, Tags ๐Ÿ‘‰chemsha_bongo,
swali: 'Binti ana ndugu wa kike na wa kiume wengi, lakini kwa kila ndugu zake wa kiume ana nusu tuu ya ndugu wa kike na wa Kiume. Je, kuna watoto wa kike na wa Kiume wangapi katika familia yao?'
jibu: 'Watoto Saba, Wakiume 3 na Wakike 4'. find more
PN.gif Imekuaje hawa watoto wakapungua?
Category ๐Ÿ‘‰mafumbo, Tags ๐Ÿ‘‰fumbo,
swali: 'Mfalme aliwapeleka Watoto kumi kwenda kuishi Msitu wa mbali, Baada ya miaka 15. alikuta watoto wanne tuu, Nini kimewapata watoto hawa wengine sita?'
jibu: 'Watoto wengine Sita wamekuwa watu wazima. Sio watoto tena baada ya Miaka 15.'. find more
PN.gif Nini kinapatikana kwenye siku zote za wiki isipokuwa Alhamisi na Ijumaa?
Category ๐Ÿ‘‰mafumbo, Tags ๐Ÿ‘‰fumbo,
swali: 'Nini kinapatikana kwenye siku zote za wiki isipokuwa Alhamisi na Ijumaa?'
jibu: 'Neno —-> "JUMA"'. find more
PN.gif Nina miji bila nyumba, nina milima bila miti: Mimi ni nani?
Category ๐Ÿ‘‰mafumbo, Tags ๐Ÿ‘‰fumbo,
swali: 'Nina miji bila nyumba, nina milima bila miti, nina vyanzo vya maji bila samaki. Mimi ni nani?'
jibu: Ramani. find more
PN.gif Unapima maisha yangu kulingana na ninavyokuhudumia, mimi ni nani?
Category ๐Ÿ‘‰mafumbo, Tags ๐Ÿ‘‰fumbo,
swali: 'Unapima maisha yangu kulingana na ninavyokuhudumia, Vile ninavyokuhudumia ndivyo maisha yangu yanaisha, Maisha yangu ni mafupi nikiwa mwembamba na ni marefu nikiwa mnene. mimi ni nani?'
jibu: Mshumaa. find more
PN.gif Naongea bila mdomo, nasikiliza bila masikio: Mimi ni nani?
Category ๐Ÿ‘‰mafumbo, Tags ๐Ÿ‘‰fumbo,
swali: 'Naongea bila mdomo, nasikiliza bila masikio, sina mwili, nakua hai kwenye upepo. Mimi ni nani?'
jibu: Mwangwi. find more
PN.gif Mafumbo na Chemsha Bongo Za AckySHINE
Category ๐Ÿ‘‰_default, Tags ๐Ÿ‘‰,
[[html]]
<!— Go to www.addthis.com/dashboard to customize your tools —>
<script type="text/javascript" src="//s7.addthis.com/js/300/addthis_widget.js#pubid=ra-57aa1f32822edbf3" async="async"></script>
[**[http://www.ackyshine.com/mafumbo find more**
PN.gif Side Mafumbo
Category ๐Ÿ‘‰nav, Tags ๐Ÿ‘‰,
[[div style="width: 98%; border: 0.6px solid silver; background-color: white; padding: 10px; vertical-align: top; -moz-border-radius: 20px 20px; -webkit-border-radius: 10px; -webkit-box-shadow: 1px 1.8px 2px 1.8px; -moz-box-shadow: 1px 1.8px 2px 1.8px;
box-shadow: 1px 1.8px 2px 1.8px;"]]. find more
PN.gif Top Mafumbo
Category ๐Ÿ‘‰nav, Tags ๐Ÿ‘‰,
. find more
PN.gif Ni namba gani inayofuata hapa chini mwisho?
Category ๐Ÿ‘‰mafumbo, Tags ๐Ÿ‘‰chemsha_bongo,
swali: '
fuata%20kushuka.JPG

'
jibu: "90 \n\nMaelezo:\nUnavyoendelea kushuka chini, namba ni orodha ya 12, hatua ya kwanza imetolewa 1,hatua ya pili imeongezwa 2, hatua ya tatu imetolewa 3, hatua ya nne imeongezwa 4. nakuendelea…". find more


PN.gif Tafuta namba inayokosekana hapa kwenye kiboksi cha nne mwisho
Category ๐Ÿ‘‰mafumbo, Tags ๐Ÿ‘‰chemsha_bongo,
swali: '
Tafuta%20namba.JPG

'
jibu: "Namba hiyo ni 2\n\nNjia:\n7*6 = 4 2\n9*9 = 8 1\n5*3 = 1 5\n6*2 = 1 2". find more


PN.gif Je hapa sisi tuna Macho Mangapi?
Category ๐Ÿ‘‰mafumbo, Tags ๐Ÿ‘‰chemsha_bongo,
swali: "Kama twiga ana Macho 2, Nyani ana macho mawili, na tembo anamacho mawili, sisi tuna macho mangapi?\n\nA) 3\t\nB) 4\nC) 1\t\nD) 2"
jibu: "B) 4.\n\nSwali hapa ni sisi tuna macho mangapi? swali linamuhusu mtu anayeuliza na anayeulizwa swali wana macho mangapi. Kwa hiyo kama ni maongezi ya watu wawili (mimi na wewe). Maana yake ni macho manne. Kama ni mazungumzo ya wengi maana yake ni idadi ya macho kulingana na waliopo". find more
PN.gif Ni Mara ngapi kwa siku Mishale ya saa (saa & dakika) inakuwa katika mstari mmoja lakini katika uelekeo tofauti?
Category ๐Ÿ‘‰mafumbo, Tags ๐Ÿ‘‰chemsha_bongo,
swali: "Ni mara ngapi kati ya hizi;\n\nA) 20\tB) 22\nC) 24\tD) 48"
jibu: " B) 22 \n\nMaelezo:\nMishale ya saa inaelekea katika pande tofauti kwa mstari mara 11 kila baada ya masaa 12. (kwa sababu kati ya 5 na 7 inakua kinyume kwenye 6 kamili tuu).\n\nKwa hiyo kwa siku 1 itakua mara 22.". find more
page 1 of 9123...89next »