PN.gif Historia na Habari ya Kabila la Wagiriama
Category ๐Ÿ‘‰habari, Tags ๐Ÿ‘‰,
Katika nchi ya Kenya kuna kabila linafahamika kwa jina la Wagiriama. Kiasilia kabila hili linatokea kwenye familia lugha ya Wakushitiki,ambao wanahistoria wengi wanakubaliana kuwa walitokea maeneoa ya Uhabeshi yapata miaka ya 1000. Kabila hili nchini Kenya linapatikana kando kando ya mto Athi na pia kwa sasa wanapatikana maeneo mengi ya pwani ya Kenya ikijumuisha Mombasa mpaka Lamu.shughuri kubwa ya kabila hili ni ufugaji kama ilivyo kwa makabila yanayopakana nao kwa mfano Wamasai.. find more
PN.gif Habari na historia ya jiwe la kupima watumwa
Category ๐Ÿ‘‰habari, Tags ๐Ÿ‘‰,
Hakika historia ya biashara ya utumwa ina mambo mengi sana. kwa maana tangu tumeanza kusikia na kusoma habari za biashara ya utumwa , tumesoma na kusikia mengi sana. Wengine wanasema biashara ya utumwa Iinahusiana na dini, wengine wanasema biashara ya utumwa inahusu maendeleo ya biashara na wengine wanadai biashara ya utumwa ni mfumo tu wa maisha ya watu kama mifumo mingine.. find more
PN.gif Siku Nyerere alivyotinga Kizimbani akituhumiwa kuvamia Uganda Kijeshi
Category ๐Ÿ‘‰habari, Tags ๐Ÿ‘‰,
WAKATI akiondoka Dar es Salaam kuelekea nchini Liberia kuhudhuria Mkutano wa 16 wa Wakuu wa nchi Huru za Kiafrika (OAU) uliopangwa kufanyika Julai 17, 1979, Rais wa Awamu ya kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, alifahamu fika, kwamba pasingekuwa na vigelegele kwake mjini Monrovia kwa kushinda vita dhidi ya nduli Idi Amin wa Uganda, aliyevamia nchi yake Oktoba 30, 1978, na yeye Mwalimu akalazimika kuingia vitani bila kupenda.. find more
PN.gif Habari na historia ya Wazigua
Category ๐Ÿ‘‰habari, Tags ๐Ÿ‘‰,
Habari za Wazigua, Wasambara na Wabondei. Ifahamike kuwa katika bara la Afrika, makablia yaliyo mengi ni kutoka familia lugha ya Wabantu. Licha ya kwamba makabila hayo yanaishi mbalimbali na kwa mtindo tofautitofauti, ukweli ni kwamba makabila haya yanafanana sana. Kwa mfano kuna mfanano mkubwa sana kati ya kabila la Wadogoni kutoka Afrika magharibi na kabila la Wamakonde kutoka kusini mwa Tanzania na kaskazini mwa Msumbiji.. find more
PN.gif Habari na historia ya mji wa Korogwe
Category ๐Ÿ‘‰habari, Tags ๐Ÿ‘‰,
Korogwe ni moja ya wilaya inayopatikana mkoani Tanga nchini Tanzania. Mji huu kihistoria ni moja ya miji ambayo ilijiwekea historia kubwa sana. Hauwezi kuzungunzia habari au historia ya Wazigua bila kutaja mji huu wa Korogwe. Kama tulivyokwisha fafanua kwenye makala ya Wazigua na mgawanyiko wao. Na miongoni mwa Wazigua waliogawanyika, tuliwazungumzia Waluvu.. find more
PN.gif Hiki ndicho kifo mbele ya Mwanamke
Category ๐Ÿ‘‰vichekesho, Tags ๐Ÿ‘‰,
Hiki ndiyo kifo.. find more
PN.gif Historia ya Kabila la Wanyaturu
Category ๐Ÿ‘‰habari, Tags ๐Ÿ‘‰,
WANYATURU ambao awali walijulikana kwa jina la Warimi ni watu wanaoishi karibu wilaya zote za mkoa wa Singida yenye tarafa saba. Kwa Mujibu wa Patrick Mdachi katika kitabu cha Wanyaturu wa Singida, Mila na Desturi zao, Wanyaturu ni moja ya makabila yanayojumlishwa katika kundi la Nilo-Hamites, lenye asili ya Wabantu walioishi Abysinia ambayo sasa inajulikana kama nchi ya Ethiopia.. find more
PN.gif Habari na historia ya Mkwawa kuvamia ardhi ya Ugogo
Category ๐Ÿ‘‰habari, Tags ๐Ÿ‘‰,
Mkwawa alikuwa mmoja ya Kiongozi wa kabila la Wahehe, aliyepata kujiwekea historia kubwa sana katiba bara la Afrika na Tanzania kwa ujumla. Alifanikiwa kurithgi uongozi kutoka kwa Mwinyigumba kutokana na ushupavu wake katika kujengwa na kuendelea ufalme wa Uhehe miaka yab 1800. Hivyo katika kuhakikisha anafanya upanuzi wa utawala wake, Mkwawa ailijaribu kuvamia ardhi ya Ugogo ambayokwa miaka ambayo anafanya uvamizi huko Ugogoni kuliluwa na jamii za Kigogo zilizopata kukua. Hivyo kwenye makala hii fupi utapata Kufahamu habari na historia ya Chifu Mkwawa kuvamia ardhi yaUgogo.. find more
PN.gif Tatizo la kukuta nywele kwenye chakula
Category ๐Ÿ‘‰vichekesho, Tags ๐Ÿ‘‰,
Hapa ni shida. find more
PN.gif Habari na historia ya Kijiji cha Ipole
Category ๐Ÿ‘‰habari, Tags ๐Ÿ‘‰,
Ipole ni moja ya kijiji kinachoipatikana wilayani Sikonge, mkoani Tabora, takribani kilomita za umbali 22 kutoka wilayani Sikonge na kilomita 101 kutoka Tabora mjini. Ni moja ya kijiji ambacho kina kutanisha barabara ya kutoka Mbeya kuelekea Tabora, Shinyanga na Mwanza na pia barabaraya Rukwa kwenda Tabora, Shinyanga na Mwanza. Ukiwa kwenye kijiji hiki unaweza kuona safu za milima ya Ipole pamoja na misitu yenye kila aina ya miti.. find more
PN.gif Habari na historia ya mji wa Singida
Category ๐Ÿ‘‰habari, Tags ๐Ÿ‘‰,
Singida ni moja ya mkoa unaopatikana katika nchi ya Tanzania. Wakazi asilia wa mji huu ni Wanyaturu na Wanyiramba. Mji wa singida ni moja ya maeneo yenye historia kubwa sana ya nchini Tanzania. Wakazi wa mwanzo kabisa waliopata kuishi maeneo ya Singida, walikuwa ni Mbirikimo (Pygmies) waliopata kuishi hata kabla ya miaka ya 1000BK au BM. Lakini miaka ya baadae maeneo hayo yalikuja kuvamiwa na kukaliwa na jamii za kihamatiki ambao ndio hao Wanyiramba na Wanyaturu.. find more
PN.gif Historia ya asili ya neno Zanzibar
Category ๐Ÿ‘‰habari, Tags ๐Ÿ‘‰,
Zanzibar ni moja ya kisiwa kinacho patikana katika Pwani ya Afrika Mshariki. Ni miongoni mwa maeneo yenye historia ndefu sana barani Afrika. Tunaweza kuzungumzia mengi sana huu ya Zanziabr. Ila kwa leo tupate kufahamu habari za Jina Zanzibar.. find more
PN.gif Je, hili nalo ulilipitia ulipokua Shuleni?
Category ๐Ÿ‘‰vichekesho, Tags ๐Ÿ‘‰,
Hakuna Kitu Kilikua Kinaniumizaga Kipindi Nipo Shuleni.. find more
PN.gif Usiyoyajua kuhusu shambulio la kigaidi la Septemba 11, 2001 huko Marekani
Category ๐Ÿ‘‰habari, Tags ๐Ÿ‘‰,
Kila ifikapo Septemba 11 ya kila mwaka Marekani hukumbuka shambulizi baya la kigaidi kuwahi kutokea la kulipuliwa kwa majengo pacha ya Shirika la Biashara la Kimataifa (WTO) mjini New York mwaka 2001.. find more
PN.gif This is why Social media are not always good
Category ๐Ÿ‘‰mix, Tags ๐Ÿ‘‰advice entertainment media security social,
๐Ÿ…พ *Police Questioning a Robber:*. find more
PN.gif Advantages of Warm water and disadvantages of cold water
Category ๐Ÿ‘‰mix, Tags ๐Ÿ‘‰health water,
*PLEASE SHARE THIS WITH FAMILY AND FRIENDS, IT'S VERY IMPORTANT AND CAN SAVE SOMEONE'S LIFE*.. find more
PN.gif Mungu ni zaidi ya Mzazi na upendo wake ni zaidi ya wa Wazazi
Category ๐Ÿ‘‰katoliki-cotent, Tags ๐Ÿ‘‰,
Wakati wazazi waliweza kuaamua kuzaa mtoto tuu, Mungu yeye alikuchagua wewe utungwe mimba na kukulinda ungali tumboni mwa mama yako….Wakati wazazi wanasubiri kwa shauku kuona muonekano wako wewe, Mungu anawaweka wajukuu wa wazazi wako/ watoto wako ndani mwako…. Wakati wazazi wakitafuta chakula kwa ajili yako, Mungu yeye aliwawezesha kukipata…. Wakati wazazi wakingoja kuona unavyoendelea kukua huku wakiwaza hatima ya maisha yako Mungu anakuendeleza na alishapanga maisha yako tangu alipokuchagua uwe mtu ukiwa tumboni mwa mama yako…. Wazazi wanaweza kukuombea kwa Mungu lakini Mungu ndiye anayeamua akufanyie nini maana Wewe ni wa kwake….Wewe na wazazi wako ni watoto wa Baba mmoja ambaye ndiye Mungu.. find more
PN.gif Kutubu na Kusamehewa dhambi
Category ๐Ÿ‘‰katoliki-cotent, Tags ๐Ÿ‘‰,
Usiogope wala usisite kutubu na kuomba msamaha kwa Mungu. Uwe na Amani na Matumaini katika Huruma ya Mungu itokayo katika Upendo wake wa Mfano wa baba awapendavyo wanawe. Mungu anasubiri kukupokea kwenye mikono yake Ili akutunze kama mtoto wake kama utatubu na kumrudia yeye. Amua kumwendea leo! Anakungoja ni wewe tuu…. find more
PN.gif Side More
Category ๐Ÿ‘‰_default, Tags ๐Ÿ‘‰,
. find more
PN.gif Mambo Ya Kuzingatia Kuongeza Utagaji Wa Kuku
Category ๐Ÿ‘‰kilimonaufugaji, Tags ๐Ÿ‘‰,
Inafahamika kuku kutaga mayai mengi hutokana na aina ya mbegu ya kuku, ila jua kwamba hata aina ya mbegu ya kuku yenye sifa ya kutaga mayai mengi kama haitapewa matunzo mazuri  basi sifa yake ya utagaji itapotea.
Kwa kawaida Tetea anatumia muda wa masaa 24 - 27 (siku moja) kutengeneza yai. Hakuna njia ya kupunguza muda huu (yaani atengeneze mayai miwili katika siku moja). Hiyo ndio asili yake. Njia Nzuri ya kumfanya kuku atage muda mrefu ni kumfanya awe na furaha na afya.
Njia za kuwafanya kuku wawe na furaha na afya:. find more
PN.gif Mambo ya Msingi kuyajua Ili uishi na watu vizuri
Category ๐Ÿ‘‰mahusiano, Tags ๐Ÿ‘‰,
Nimezipenda hizi nasaha. Naamini na nyinyi wenzangu hamtakosa japo machache ya kujifunza:-
1. Epuka hasira za ovyo na kila mtu, kuwa msikivu kabla ya kukimbilia maamuzi (elewa kuwa ukiwa na hasira huwezi kupata suluhu ya jambo)
2. Usiwatendee wengine ubaya ukadhani kuwa utakuwa salama (ubaya hulipwa kwa ubaya, ipo siku ubaya wako kwa wengine utakurejea kama sio kuwarejea watu wa kizazi chako). find more
PN.gif Habari na Historia ya Mji wa Pangani
Category ๐Ÿ‘‰habari, Tags ๐Ÿ‘‰,
Pangani ni moja ya wilaya inayopatikana katika mkoa wa Tanga. Wilaya hii inabeba historia ndefu sana kwenye nchi hii, Kwani Ni moja ya maeneo ya mwanzo kufikiwa na kukaliwa na Waarabu.Pangani ni miongoni mwa maeneo ya mwanzo ya Tanzania bara kufikiwa na wageni kuutoka mashariki ya kati miaka ya 600-900 ambao ndio hao Waarabu. Na hata kwenye miaka ya 1400, Pangani ni moja ya miji iliopata kufikiwa na Wareno.
Na hata vile vita kati ya Wareno na Waarabu Pangani vilifika na kuleta athari kubwa kwa jamii za mwazo za Wazigua.. find more
PN.gif Angalia ndoto nyingine zilivyo na Majanga
Category ๐Ÿ‘‰vichekesho, Tags ๐Ÿ‘‰cheka kichekesho vichekesho vihoja vituko,
Ndoto zingine bwana usiombe zikupate. find more
PN.gif Historia ya Kabila la Wangoni
Category ๐Ÿ‘‰habari, Tags ๐Ÿ‘‰,
Wangoni ni moja ya kabila linalopatikana nchini Tanzania na baadhi ya maeneo mengine kusini mwa Afrika. Ni kabila ambalo lina historia ya aina yake kama ilivyo kwa makabila mengine ya kibantu hata yale yasiokuwa ya kibantu.. find more
PN.gif Ushauri wa ukweli Ili Uwe mwanaume wa Ukweli
Category ๐Ÿ‘‰mahusiano, Tags ๐Ÿ‘‰,
1. Ukija kijiweni au pub au kwenye nyama choma acha zile stori za sijui umesoma wapi hadi wapi, sijui una madigirii mangapi. Piga stori nyingine, mbona ziko nyingi tu. Kujielezea sana shule yako ni ushamba fulani hivi, dizaini kama hujiamini so lazima ujivishe nyota. Unaboa.. find more
PN.gif Possible questions during Research Presentation
Category ๐Ÿ‘‰mix, Tags ๐Ÿ‘‰academic education project research,
Possible questions during presentation are;. find more
PN.gif Hii ndio ngoma droo kwa wanaume kati ya wanawake
Category ๐Ÿ‘‰vichekesho, Tags ๐Ÿ‘‰cheka kichekesho vichekesho vihoja vituko,
{ NGOMA DROO}
Sikuizi utawasikia wadada wakisema kuachwa na mwanaume asie na pesa nisawa na kuluhusiwa hospital. find more
PN.gif Jinsi Mapenzi yanavyoweza kukupa stress
Category ๐Ÿ‘‰vichekesho, Tags ๐Ÿ‘‰,
Mapenzi ni balaa. find more
PN.gif Toa Maoni
Category ๐Ÿ‘‰katolikihome, Tags ๐Ÿ‘‰,
[[collapsible style="-moz-border-radius: 20px 20px; -webkit-border-radius: 10px; -webkit-box-shadow: 6px 11px 37px 11px rgba(87,92,91,1); -moz-box-shadow: 6px 11px 37px 11px rgba(87,92,91,1); box-shadow: 6px 11px 37px 11px rgba(87,92,91,1);" show="Soma/ Toa Maoni Hapa"]]. find more
PN.gif Footer Fun
Category ๐Ÿ‘‰_default, Tags ๐Ÿ‘‰,
Expert available for Hire. find more
PN.gif F69
Category ๐Ÿ‘‰ads-sd, Tags ๐Ÿ‘‰funny,
picture: 'file:pokjjhhhhhh/POKJJHHHHHH.gif'
link: ''. find more
PN.gif Pokjjhhhhhh
Category ๐Ÿ‘‰file, Tags ๐Ÿ‘‰,
. find more
PN.gif F78
Category ๐Ÿ‘‰ads-sd, Tags ๐Ÿ‘‰funny,
picture: 'file:xxxx/XXXX.gif'
link: ''. find more
PN.gif Xxxx
Category ๐Ÿ‘‰file, Tags ๐Ÿ‘‰,
. find more
PN.gif F75
Category ๐Ÿ‘‰ads-sd, Tags ๐Ÿ‘‰funny,
picture: 'file:rapas/RAPAS.gif'
link: ''. find more
PN.gif Rapas
Category ๐Ÿ‘‰file, Tags ๐Ÿ‘‰,
. find more
PN.gif F77
Category ๐Ÿ‘‰ads-sd, Tags ๐Ÿ‘‰funny,
picture: 'file:vhhgggg/VHHGGGG.gif'
link: ''. find more
PN.gif Vhhgggg
Category ๐Ÿ‘‰file, Tags ๐Ÿ‘‰,
. find more
PN.gif F72
Category ๐Ÿ‘‰ads-sd, Tags ๐Ÿ‘‰funny,
picture: 'file:popukoni/POPUKONI.gif'
link: ''. find more
PN.gif Popukoni
Category ๐Ÿ‘‰file, Tags ๐Ÿ‘‰,
. find more
PN.gif F74
Category ๐Ÿ‘‰ads-sd, Tags ๐Ÿ‘‰funny,
picture: 'file:qwer/QWER.gif'
link: ''. find more
PN.gif Qwer
Category ๐Ÿ‘‰file, Tags ๐Ÿ‘‰,
. find more
PN.gif F73
Category ๐Ÿ‘‰ads-sd, Tags ๐Ÿ‘‰funny,
picture: 'file:ppppp/PPPPP.gif'
link: ''. find more
PN.gif Ppppp
Category ๐Ÿ‘‰file, Tags ๐Ÿ‘‰,
. find more
PN.gif F76
Category ๐Ÿ‘‰ads-sd, Tags ๐Ÿ‘‰funny,
picture: 'file:subiria-msosi/SUBIRIA-MSOSI.gif'
link: ''. find more
PN.gif Subiria msosi
Category ๐Ÿ‘‰file, Tags ๐Ÿ‘‰,
. find more
PN.gif F70
Category ๐Ÿ‘‰ads-sd, Tags ๐Ÿ‘‰funny,
picture: 'file:pokjnbvcxs/POKJNBVCXS.gif'
link: ''. find more
PN.gif Pokjnbvcxs
Category ๐Ÿ‘‰file, Tags ๐Ÿ‘‰,
. find more
page 1 of 41234next »

Pages pages: 3212459 in total