PN.gif Matendo ya mtu
Category ๐Ÿ‘‰top-cotent, Tags ๐Ÿ‘‰,
Matendo ya mtu ni tafsiri kuu ya mawazo yake.. find more
PN.gif Maneno na matendo
Category ๐Ÿ‘‰top-cotent, Tags ๐Ÿ‘‰,
Uwe mzuri kwenye kufanya kama ulivyo kwenye kufikiri. Matendo yako yafanane na maneno na maneno na matendo.. find more
PN.gif Vitu haviwezi kujisogeza
Category ๐Ÿ‘‰top-cotent, Tags ๐Ÿ‘‰,
Kwenye dunia hii vitu haviwezi kusimama kama havijasimamishwa.. find more
PN.gif Mkono wa Mungu
Category ๐Ÿ‘‰katoliki-cotent, Tags ๐Ÿ‘‰,
Kila jambo lina Mkono wa Mungu juu yake hata kama limefanyika bila kupangwa au kukusudiwa. Mbele ya Mungu hakuna kitu kinachofanyika kwa Ajali au bahati mbaya.. find more
PN.gif Kuacha jambo au kitu chochote
Category ๐Ÿ‘‰top-cotent, Tags ๐Ÿ‘‰,
Kuacha kitu chochote kabisa moja kwa moja ni rahisi sana kuliko kufanya kitu hicho kidogokidogo kwa wastani. Usijidanganye utafanya kidogo au utaacha kidogo. Acha Kabisa na usifanye tena.. find more
PN.gif Kinga ya magonjwa na madhara yote
Category ๐Ÿ‘‰top-cotent, Tags ๐Ÿ‘‰,
Katika maisha, kinga kuu ya magonjwa na majanga yote ni kujikatalia au kujinyima.. find more
PN.gif Kutokuwa na kitu
Category ๐Ÿ‘‰top-cotent, Tags ๐Ÿ‘‰,
Kukosa mtu, kitu au jambo fulani kunasababila Moyo kujenga upendo kwenye mtu, kitu au jambo ulilolikosa.. find more
PN.gif Umbali na upendo
Category ๐Ÿ‘‰top-cotent, Tags ๐Ÿ‘‰,
Unapokosa kitu ukipendacho kwa muda mfupi kinapungua thamani, ukikikosa kwa muda mrefu thamani yake yote hupotea.. find more
PN.gif Kujithamanisha
Category ๐Ÿ‘‰top-cotent, Tags ๐Ÿ‘‰,
Tunatakiwa tujithaminishe wenyewe kwa yale tunayoona tunauwezo wa kuyafanya japokuwa watu wengine wanatuthamanisha kwa yale wanayoyaona tumeshayafanya.. find more
PN.gif Hakuna uwezo Bila fursa.
Category ๐Ÿ‘‰top-cotent, Tags ๐Ÿ‘‰,
Hakuna uwezo bila fursa. Huwezi kusema unauwezo wa kitu kama hauna fursa ya kukifanya.. find more
PN.gif Uwezo wa Kutumia ulichonacho
Category ๐Ÿ‘‰top-cotent, Tags ๐Ÿ‘‰,
Ukiweza kutumia vizuri kipaji au uwezo mdogo ulionao itakufanya uwe bora na mwenye sifa nzuri kuliko yule mwenye uwezo mkubwa.. find more
PN.gif Biashara ya maisha
Category ๐Ÿ‘‰top-cotent, Tags ๐Ÿ‘‰,
Biashara ya maisha ni kusonga mbele tuu. Maisha hayarudi nyuma wala hayafai kurudisha nyuma. Maisha yanasonga mbele.. find more
PN.gif Amini unashinda
Category ๐Ÿ‘‰top-cotent, Tags ๐Ÿ‘‰,
Amini kuwa unashinda na wewe utashinda. Hata vita wanashinda wale wanaoamini katika ushindi. Kutokujiamini ni sawa na kushindwa tayari.. find more
PN.gif Maendeleo kwa mfano wa Kobe
Category ๐Ÿ‘‰top-cotent, Tags ๐Ÿ‘‰,
Huwezi kupata maendeleo kwa kusitasita na kuogopaogopa. Hata kobe anayesonga mbele ni yule anayetoa kichwa chake kwenye gamba/nyumba yake.. find more
PN.gif Changamoto na ugumu
Category ๐Ÿ‘‰top-cotent, Tags ๐Ÿ‘‰,
Changamoto na ugumu wa jambo upo kwa wale wanaolifanya. Huwezi kukaa na kutazama jambo bila kulifanya na kisha kujua changamoto zake.. find more
PN.gif Jaribu Mambo Kadiri uwezavyo
Category ๐Ÿ‘‰top-cotent, Tags ๐Ÿ‘‰,
Jarbu Mambo mengi kadiri uwezavyo kwani kwa kujaribu ndivyo tunajua tunaweza au hatuwezi. Kamwe usiseme huwezi jambo kabla ya kujaribu.. find more
PN.gif Tuwe wenye Hodari na wenye uwezo
Category ๐Ÿ‘‰top-cotent, Tags ๐Ÿ‘‰,
Tunatakiwa tujenge uhodari na uwezo utakaotusaidia kutumia fursa zilizo wazi mbele yetu.. find more
PN.gif Jifunze ujasiriamali
Category ๐Ÿ‘‰deleted, Tags ๐Ÿ‘‰,
Jifunze ujasiriamali kwa kusoma kuhusu ujasiriamali Kwenye blog hii. Tembelea blog hii kila siku kujua zaidi.. find more
PN.gif Kwenye Maisha
Category ๐Ÿ‘‰deleted, Tags ๐Ÿ‘‰,
Kwenye Maisha yako kila siku unashauriwa kujifunza jambo jipya. Kwenye blog hii unaweza kujifunza kitu kipya kila unapotembelea.. find more
PN.gif Maisha ni kujifunza
Category ๐Ÿ‘‰deleted, Tags ๐Ÿ‘‰,
Maisha ya Binadamu ni ya kujifunza na kujielewesha mambo mapya kila wakati. Katika blog hii unaweza kusoma na kujifunza mambo mapya kila wakati.. find more
PN.gif Je wajua
Category ๐Ÿ‘‰deleted, Tags ๐Ÿ‘‰,
Je wajua maelfu ya watu hutembelea blog hii kila mwezi.๐Ÿ˜ƒ Kuwa miongoni mwao na wewe kwa kutembelea blog hii kila siku.. find more
PN.gif Usikose Picha Bomba
Category ๐Ÿ‘‰deleted, Tags ๐Ÿ‘‰,
Usikubali kupitwa na Picha Bomba Kali za kila siku. Kuona picha Bomba BOFYA HAPA. find more
PN.gif Video za kila siku
Category ๐Ÿ‘‰deleted, Tags ๐Ÿ‘‰,
Unakumbushwa kuangalia Videos kali kwa kubofya HAPA. Usipitwe na video mpya za kila siku.. find more
PN.gif Usikose hizi
Category ๐Ÿ‘‰deleted, Tags ๐Ÿ‘‰,
Usikose kuperuzi Blog hii kila mara unapopata muda. Nakuhakikishia kupata kitu kipya kizuri cha kusoma kila siku unapotembelea Blog hii.. find more
PN.gif Vichekesho vipya
Category ๐Ÿ‘‰deleted, Tags ๐Ÿ‘‰,
Nakukumbusha kuwa Ukibofya <<HAPA>> unaweza kusoma Vichekesho vipya kila wakati unapitembelea. Usipitwe na Vichekesho vipya vya kila siku.. find more
PN.gif Karibu katika blog Maarufu
Category ๐Ÿ‘‰deleted, Tags ๐Ÿ‘‰,
Karibu katika blog Maarufu kwa post nzuri za kuvutia kusoma na zisizichosha. Ni wewe tuu kutembelea. find more
PN.gif Njia ya Kumrudia Mungu
Category ๐Ÿ‘‰katoliki-cotent, Tags ๐Ÿ‘‰toba,
Njia pekee ya Kumrudia Mungu tunapoanguka dhambini ni Njia ya Toba ya kweli ikiambatana na kukiri makosa na kusamehewa. Mara nyingi tunapotubu tunasahau dhambi za mawazo na kukumbuka za matendo tuu. Dhambi ya Mawazo pia ni dhambi yapaswa toba na maondoleo.. find more
PN.gif Njia ya sala
Category ๐Ÿ‘‰katoliki-cotent, Tags ๐Ÿ‘‰sala,
Kwa njia ya sala Binadamu anampa Mungu Utukufu, Mungu anampa Binadamu Wokovu na Neema.. find more
PN.gif Sifa za Sala yeyote
Category ๐Ÿ‘‰katoliki-cotent, Tags ๐Ÿ‘‰sala,
Sala yoyote ili iwe SALA lazima itolewe kwa Imani, Upendo, Unyenyekevu na kwa Matumaini. Sala kama hii ndiyo ipendezayo mbele ya Mungu.. find more
PN.gif Sala inayojibiwa
Category ๐Ÿ‘‰katoliki-cotent, Tags ๐Ÿ‘‰sala,
Hakuna sala yeyote itolewayo kwa unyenyekevu wa kweli katika imani, matumaini na mapendo inayopita bure mbele ya Mungu. Mungu hamtupi mwenye unyoofu wa moyo.. find more
PN.gif Sala ni ufunguo
Category ๐Ÿ‘‰katoliki-cotent, Tags ๐Ÿ‘‰sala,
Sala ni ufunguo wa kufungulia mema na kufungia Mabaya. Tusali ili tufungue mema katika maisha yetu na tufunge mabaya katika maisha yetu.. find more
PN.gif Sala ni Upendo
Category ๐Ÿ‘‰katoliki-cotent, Tags ๐Ÿ‘‰sala,
Sala sio maneno mengi au maneno ya kurudiarudia. Sala ni maneno au hata neno moja la kimapendo litamkwalo kwa imani na kwa nia thabiti.. find more
PN.gif Sala sio maneno tuu
Category ๐Ÿ‘‰katoliki-cotent, Tags ๐Ÿ‘‰sala,
Sala siyo maneno mazuri, bali sala ni NIA ya Upendo iliyobebwa na maneno mazuri. Tusali kwa kunuia kutoka moyoni na sio kwa kunena maneno tuu mdomoni.. find more
PN.gif Mambo muhimu katika sala
Category ๐Ÿ‘‰katoliki-cotent, Tags ๐Ÿ‘‰sala,
Sala pasipo Imani thabiti, ya nia ya kweli, upendo wa kweli, unyenyekevu wa ndani na tumaini la kweli katika Amani ya rohoni; Haijakamilika na haifai kitu.. find more
PN.gif Sala ni chimbuko la Fadhila
Category ๐Ÿ‘‰katoliki-cotent, Tags ๐Ÿ‘‰sala,
Sala ndiyo chimbuko la fadhila. Kwa njia ya sala tunapata fadhila za Kimungu na Neema za Mungu. Asaliye daima hujazwa neema na fadhila.. find more
PN.gif Sala ni chakula cha roho
Category ๐Ÿ‘‰katoliki-cotent, Tags ๐Ÿ‘‰sala,
Sala ni kama chakula cha Roho, Bila sala roho inakufa. Tusali daima ili roho zetu ziwe hai siku zote.. find more
PN.gif Sala za kila siku
Category ๐Ÿ‘‰katoliki-cotent, Tags ๐Ÿ‘‰sala,
Sala za kila siku katika maisha ndiyo hazina kubwa na msaada hasa wakati wa kufa. Adumuye katika sala Mungu hatomwacha saa ya mwisho. Tusali, tusali, tusali daima…. find more
PN.gif Sali daima
Category ๐Ÿ‘‰katoliki-cotent, Tags ๐Ÿ‘‰sala,
Kama mtu anasali kila siku katika maisha yake hakuna kitu kitakachokuwa kigumu. Sala ni njia ya kujipatia neema za kuendesha maisha yetu. Usiache kusali kila siku hata kama upo katika hali gani.. find more
PN.gif Mungu anasubiri sala zako
Category ๐Ÿ‘‰katoliki-cotent, Tags ๐Ÿ‘‰sala,
Mungu anasubiri sala zako kila siku. Anasubiri sala zako akujibu ili uone utukufu wake. Anasubiri sala zako ili akuze mahusiano yake na wewe. Sali daima kwani Mungu yupo milele kukusikiliza na kukuhudumia.. find more
PN.gif Maisha ya Kikristo ni sala
Category ๐Ÿ‘‰katoliki-cotent, Tags ๐Ÿ‘‰sala,
Hakuna Maisha ya Kikristo bila Kusali. Kama kuna Mkristo anaishi bila kusali huyo siyo Mkristo bali Mkristo mfu. Sala ndiyo uhai wa Mkristo. Hakuna Njia nyingine yoyote ya kumfikia Mungu isipokua sala.. find more
PN.gif Njia ya Kumtafuta Mungu
Category ๐Ÿ‘‰katoliki-cotent, Tags ๐Ÿ‘‰mungu,
Mungu ni rahisi sana kupatikana. Ugumu ni njia ya Kumtafuta Mungu na namna ya kumuishi Mungu. Hapa ndipo watu wengi wanashindwa.. find more
PN.gif Jambo la muhimu zaidi Duniani
Category ๐Ÿ‘‰katoliki-cotent, Tags ๐Ÿ‘‰,
Hakuna kitu cha Muhimu zaidi Duniani kama kumjua Mungu na kumuishi Mungu. Kila binadamu ameumbwa kwa ajili hii. Na Mungu anachotaka ndicho hichi, kumjua na kumuishi. Mengine yote ni maziada. Ukimuishi Mungu atakufanikisha katika yote.. find more
PN.gif Sala ni Hazina
Category ๐Ÿ‘‰katoliki-cotent, Tags ๐Ÿ‘‰sala,
Sala ni Hazina. Kusali ni muhimu sana. Sala unayosali leo inaweza kukusaidia hata miaka kumi ijayo au ikasaidia watoto wa watoto wako. Mungu ni mwenye fadhila na anakumbuka yote. Mwombe Mungu akulinde ukiwa mzima ili uwapo hatarini akukumbuke hata kabla hujamwomba.. find more
PN.gif Upendo wa Mungu hauna mwisho
Category ๐Ÿ‘‰katoliki-cotent, Tags ๐Ÿ‘‰,
Upendo wa Mungu hauna mwisho. Mtu anaweza akaacha kukupenda na kukusahau kabisa lakini kamwe Mungu haachi kumpenda Mtu wala hamsahau Mtu.. find more
PN.gif Mungu ni mwenye haki
Category ๐Ÿ‘‰katoliki-cotent, Tags ๐Ÿ‘‰,
Mungu ni mwenye haki, mpenda haki na mtenda haki. Unapoenenda kwa haki na yeye ataipigania haki yako.. find more
PN.gif Marium amezaa Mtoto Mfalme
Category ๐Ÿ‘‰katoliki-music, Tags ๐Ÿ‘‰bikira_maria,
audio: 'file:03-mariam-amezaa-mtoto-mfalme/03-MARIAM-AMEZAA-MTOTO-MFALME.mp3'
maelezo: ''. find more
PN.gif 03 mariam amezaa mtoto mfalme
Category ๐Ÿ‘‰file, Tags ๐Ÿ‘‰,
. find more
PN.gif VICHEKESHO-TOSHA
Category ๐Ÿ‘‰vichekesho-bomba, Tags ๐Ÿ‘‰,
. find more
PN.gif VICHEKESHO-KABAMBE
Category ๐Ÿ‘‰vichekesho-bomba, Tags ๐Ÿ‘‰,
. find more
PN.gif Ackyshine Blog
Category ๐Ÿ‘‰deleted, Tags ๐Ÿ‘‰,
Blog hii ni miongoni mwa Blog nzuri ya Kiswahili. Kupitia Blog hii utaweza kujifunza mambo mengi mapya mazuri. Ni wewe tuu kutembelea Blog hii mara kwa mara.. find more
page 1 of 41234next »

Pages pages: 3212451 in total