PN.gif Ujumbe wa kimapenzi wa kumweleza mpenzi wako kuwa anaweza asijue jinsi gan unavyompenda lakini ni kweli unampenda sana
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
Unaweza usione kamwe ni kwa kiasi gani ninavyokujali.
Unaweza usisikie ni kwa kiasi gani nilivyokushiba, unaweza
usihisi namna gani ninavyokukumbuka. Sababu ni moyo wangu
tu uliyoyaficha hayo.. find more
PN.gif SMS ya ujumbe wa kimahaba wa kifumbo kwa mpenzi wako
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
Kila mtu anataka kuwa jua linalongโ€™arisha maisha yako,
lakini ni afadhali niwe mwezi, ili nikuangazie wakati wa
giza ambapo jua limechwea na haliangazi tena.. find more
PN.gif Ujumbe wa kimapenzi kumwambia mpenzi wako kuwa umelipata penzi ambalo ndio kutoka kwake tuu
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
Penzi, maisha yangu yote nimesoma juu ya neno hili,
nimeota juu yake, nimelilia, nimelihitaji. Sasa pamoja
nawe nimelipata.. find more
PN.gif Ujumbe wa kimahaba wa kumtumia mpenzi wako kumwambia anayo sehemu yake ya kukaa kwenye moyo wako
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
Naweza kuishiwa ujumbe wa kukutumia. Naweza kuishiwa utani
pia. Naweza kuishiwa chaji lakini moyo wangu hauwezi
kukosa nafasi ya kukuweka.. find more
PN.gif SMS kali sana yenye ujumbe wa kimahaba kwa mpenzi wako
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
Natamani ningekuwa chozi jichoni mwako ambapo ningetelemka
na kuishia midomoni mwako, lakini kamwe sitamani uwe chozi
jichoni mwangu nitakupoteza kila muda niliapo.. find more
PN.gif SMS ya mapenzi ya mahaba kwa mpenzi wako aliyeko mbali
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
Kuna bahari kati yetu. Misitu na milima inatutenganisha,
mimi si โ€˜Supamaniโ€™ lakini nipe sekunde moja nitavuka nchi
nyingi kukutumia mapenzi yangu. Umeipata hiyo? Pokea mapenzi yangu japo uko mbali.. find more
PN.gif Ujumbe wa kimahaba kumwambia mpenzi wako kuwa mnafiti kuwa pamoja
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
Mvua na jua haviwezi kuwa pamoja, usiku na mchana
hazigongani, lakini mimi na wewe, hata wasemaje,
โ€˜tunafitiโ€™ kuwa pamoja.. find more
PN.gif Ujumbe mzuri wa kimapenzi wa kumwambia mpenzi mapenzi huanza na wewe na yeye
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
Maneno huanza na ABC. Namba 123. Muziki na do re mi na
mapenzi huanza na mimi na wewe.. find more
PN.gif Ujumbe wa kimahaba kumuomba mpenzi wako asichoke kuwasiliana na wewe kwa kutumia simu
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
Simu huboa wakati mwingine, kwani ni lazima ufungue meseji
na kuzisoma, kuichaji simu kila mara, lakini usichoke
kwani ndiyo inayotuwezesha tuwasiliane. find more
PN.gif Ujumbe wa kimapenzi kumwambia umpendaye kuwa hutomsahau na kumuomba asikusahau
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
Kukusahau wewe ni ngumu lakini kunisahau mimi ni juu yako.
Usinisahau kamwe, unaweza kuisahau meseji hii, lakini si
mtumaji.. find more
PN.gif SMS ya kimahaba kumwambia mpenzi wako kuwa yeye ndiye mwanamke pekee mwenye sifa za kuwa mwanamke
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
Mwanamke ni yule amfanyaye mwanamme auhisi uanaume wake,
wewe ni mwanamke mwenye sifa hizo.. find more
PN.gif Ujumbe wa kumsifia mpenzi wako kumwambia kuwa hakuna anayemfikia yeye
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
Baadhi ya watu huzaliwa na vipaji. Huweza kufanya mambo
mazuri kwa ujuzi wao, lakini hamna anayekufikia wewe,
kwani ukinisogelea tu kila kitu huwa kizuri.. find more
PN.gif SMS ya kimahaba kumwambia mpenzi wako kuwa yeye ni ndoto yako
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
Nilikuwa nikifiria kwamba ndoto haziwezi kuwa kweli,
lakini nilibadili mawazo yangu pale tu nilipokuona wewe.. find more
PN.gif SMS ya kimahaba kwa mpenzi wako kumwambia unampenda sana hutaki hata sekunde ipite bila kumpenda
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
Kama mapenzi huweza kukimbiwa kwa kufumba macho yetu tu,
basi nisingefunika macho kabisa. Sitaki sekunde ipite bila
kukupenda wewe.. find more
PN.gif Ujumbe wa kumsifia mpenzi wako
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
Unaonekana kungโ€™ara leo nilijuajeโ€ฆโ€ฆ.ni kwasababu
unaonekana hivyo kila siku. Nakupenda sana Mpenzi wangu vile ulivyo kila siku kwangu wewe ni mpya.. find more
PN.gif SMS ya kimahaba kumueleza mpenzi wako maana ya mapenzi, Mapenzi ni nini?
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
Mapenzi ni nini? Wale wasiopenda huita majukumu, wale
wanaoyachezea huita mchezo, wale wasiokuwa nayo huita
ndoto, na wale wanaoelewa huyaita mwisho wa safari, na
mimi, mwisho wangu ni wewe.. find more
PN.gif Ujumbe wa kimahaba kwa umpendaye sana
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
Kama ningeweza kubadili herufi, ningeweka yangu na yako
kuwa pamoja. find more
PN.gif SMS nzuri ya kimahaba kueleza kuhusu penzi
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
penzi linaweza kuelezewa kwa namna nyingi. Namna moja
niijuayo nikumtumia mapenzi hayo mtu asomaye meseji hii.. find more
PN.gif SMS ya kimahaba ya kumwambia mpenzi wako yeye ndiye yupo kwenye ubongo wako
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
Bongo zenye fikra kali huwa na mawazo, suluhu na sababu;
ubongo wa kisayansi huwa na kanuni, nadharia na takwimu;
wangu una wewe tu!. find more
PN.gif Ujumbe wa kimahaba kwa mpenzi kumwambia kuwa yeye ni mmoja tuu katika maisha yako
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
Kuna miezi 12 katika mwakaโ€ฆsiku 30 katika mweziโ€ฆsiku 7
katika wiki, masaa 24 katika sikuโ€ฆdakika 60 katika saaโ€ฆโ€ฆ
lakini wewe ni mmoja tu maishani mwangu.. find more
PN.gif Ujumbe wa kumtumia mpenzi wako mlioachana kumwambia hakuwa sahihi
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
maumivu ya kulipoteza penzi lako ni kubwa, lakini ni
makubwa zaidi baada ya kugundua haukuwa yule nileyedhani.
inaniuma sana. find more
PN.gif SMS ya kumuomba mpenzi wako asikuache
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
Mapenzi ni matamu napia yana raha, wewe hauni ishi hamu, siku zote wanipa raha, wewe kwangu ni mtu muhimu, unaeng'aa moyoni mwangu kama nyota ya jaha. "NAKUOMBA USINIACHE MPENZI WANGU". find more
PN.gif SMS kwa mpenzi kumwambia unampenda kwa moyo
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
unaweza ukafunga macho kwa usilolitaka kuliona lakini
hauwez kufunga moyo wako kwa Unalo Lipenda. Nakupenda
Mpenzi. find more
PN.gif Ujumbe wa mahaba wa kumwambia mpenzi wako penzi lake ni tamu sana
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
utamu wa penzi hunogeshwa na pendo la dhati pia utamu wa
penzi ni uwepo wangu na wako,ladha yake ni zaidi ya nazi
kwenye wali au royco kwenye mchuzi au pilipili kwenye
kachumbari, utamu wake ni zaidi ya asali au jam kwenye
mkate ,blueband kwenye uji.penzi tamu halina kifani. find more
PN.gif Ujumbe wa mahaba wa kumwambia mpenzi wako unamzimia
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
nalia ukiwa mbali, nachukia nisipo kuona ,najuta ninapo
kuudhi ,naumia unapo nitenga , nateseka ukiwa kimya
,nafurahi ukinikumbuka, nakupnda mpz. find more
PN.gif Ujumbe wa kumhasa mpenzi wako akupende kama unavyompenda
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
yakumbuke haya sana katika maisha yako wahurumie wenye
kukupenda hasa mwenye pendo la dhati kama langu,wapende
wanaokupenda japo kwa chembe ya upendo,thamini pendo la
akupendae kwa kila mara japo sekunde moja.. find more
PN.gif Ujumbe wa kumwambia mpenzi wako ni mrembo na kumsihi asikuache
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
mpnz wangu ninavyo jua mm huwezi kutupa mawe kwenye mti
usiokuwa na matunda mazuri maana hivyo basi tambua ww ni
mrembo xanandani ya moyo wangu usiniache pekeyangu kwani
na kupenda xana tabua hilo mpnz wangu. find more
PN.gif Ujumbe wa kumtumia rafiki yako anayeolewa
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
Nakutakia kila la kheri katika maisha yako ya ndoa,wengi
watakuambia maneno kila kukicha,lakini nakuambia wapo
ambao kwa hakika watakaokuwa wamelenga kutia doa ndoa yako
,rafiki yangu kipenzi kwani wengi waitamani ndoa lakini
hawajapata wa kuwaowa. find more
PN.gif Ujumbe wa kimahaba kumwambia mpenzi wako umelimisi penzi lake
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
Mmmh!mpz cjui n kwann nahamu ya kufaid penz lako kiac
hk,?na taman lait ungekuwa krb yang unipme gonjwa hl na
unitibu pia.kwan ww ndiye daktar wa pekee n naye mwamin.
Nmemic kila k2 toka kwako nahc nazd kuchanganyikiwa kwa
ukosef wa penz lako.nakutaman sn wangu laaziz.
Nakupenda kipenz cha moyo wangu.. find more
PN.gif Ujumbe wa kumwambia mpenzi wako kuwa yupo juu katika mapenzi
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
Imara hautikisiki,kakamavu halishikiki penzi langu kwako
ni nuru daima halizimiki.upo juu katika mapenzi.. find more
PN.gif Ujumbe mzuri wa mapenzi wa kimahaba kumwambia mpenzi wako unavyompenda
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
Mpenzi huwa unanipagawisha unaponipumulia pumzi masikioni
nasikia raha.
Niliandika upendo wangu kwako kwenye majani ng'ombe
akala,nikaandika kwenye jiwe mvua ikafuta ,nikaandika
kwenye sms likafutwa lakini nimeandika moyoni mwangu
halitafutika kamwe.. find more
PN.gif Ujumbe wa SMS kwa mpenzi wako anayetaka kukuacha
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
Hakika sikutaraji kulikosa lako penzi, wataka kuniacha
kuniacha ningali nakuhitaji, mpenzi tambua nahitaji yako
hifadhi na niko radhi kukupeleka hadi kwa wangu wazazi,
amini kwenda kwa mwingine sihitaji. Nakupenda.. find more
PN.gif Ujumbe mzuri wa mapenzi kwa mpenzi uliye mmiss
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
Nina huzuni moyoni sijui kwa kuwa siku hizi sikuoni,
naishia kukuota ndotoni,
hivi kweli nipo kwako moyoni? Nakupenda. find more
PN.gif SMS nzuri kali ya kimahaba yenye ujumbe wa kuomba pendo kwa umpendaye
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
Naomba upokee zawadi hii ya kiwembe.
Amini ndicho kilichotumika kufanyia operation kwa
kupasuliwa moyo wangu, kwa sababu nimeoza kwa ajili yako,
nimeambiwa ili
nipone maradhi haya nipate:- (1)ushirikiano wako (2)furaha yk, (3)upendo wk, (3)tabasam yk.
Je! uko tayari kuokoa maisha yangu?. find more
PN.gif Ujumbe wa kimahaba wa kumuuliza mpenzi wako anayatumiaje mapenzi
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
pendo ni silaha kali zaidi duniani hu uwa wasio na hatia
na hujeruhi bila kutarajia,wengine hujitolea muhanga nayo
,silaha hiyo itumikapo vizuri huleta marafiki na kuongeza
furaha,je we unaitumiaje silaha hiyo?. find more
PN.gif Ujumbe wa mahaba wa kumtumia umpendaye kumwambia anahisia gani kuhusu mapenzi
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
mapenzi ni hisia zilizopo moyoni mwetu,hujidhihirishe pale
unapopata umpendaye,utamu wake ni zaidi ya sukari uchungu
wake ni zaidi ya shubiri je kwako yapo je?. find more
PN.gif Ujumbe mtamu wa mahaba kwa umpendaye kumwambia maana ya upendo
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
upendo ni jibu kwamba kila mmoja anataka… .
upendo ni lugha ,
kwamba kila mmoja anaongea,
upendo hauwez kununuliwa,
na icyo kadirika na ya bure,upendo kama uchawi safi,ni
siri ya maisha matamu
nakupenda mpz. find more
PN.gif Ujumbe wa kumwambia mpenzi wako kuwa utazidi kumpenda hata kama watasema mengi juu yake na juu ya mapenzi yenu
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
Hata kama watasema mengi kiasi gani, kwako wewe
nitaendelea kuwa mpole, maana nakupenda sana…. find more
PN.gif SMS ya kumwambia mpenzi wako unampenda na hauna mpango wa kumuacha
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
Hata kama nitajidanganya kwamba sikupendi, moyo wangu
umeganda kwako na hakuna dalili za kukuacha, wewe ni wangu
peke yako dear…. find more
PN.gif SMS ya kimahaba ya kumwambia mpenzi wako kuwa penzi lako ni la daima na milele, utampenda milele
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
Penzi langu kwako ni la milele, nitakuhifadhi moyoni
mwangu siku zote za maisha yangu, uwe wangu nami niwe wako
daima, nakupenda dearโ€ฆ. find more
PN.gif SMS ya kumtumia mpenzi wako kumwambia kuwa yeye ni wa kipekee na utampenda daima
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
Weupe wa penzi lako ni kama mwezi angani.Ucheshi na mahaba
yako nifananishe na nini? Kupata mfano wako hatotokea
amini. Elewa mimiwako sikuachi asilani. find more
PN.gif Ujumbe mzuri wa mapenzi wa kimahaba wa kumtumia mpenzi wako siku ya wa pendanao au siku ya valentine
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
Wewe pekee upo moyoni mwangu, nitaendelea kukupenda siku
zote za maisha yangu! Katika siku hii ya wapendanao, wewe
ndiyo ua la moyo wangu!. find more
PN.gif Ujumbe wa kimahaba wa kumwambia mpenzi wako ajiepushe na vishawishi
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
Najua kuna vishawishi vingi sana uko ulipo, lakini nikiwa
moyoni mwako, siku hii itakuwa nzuri zaidi kwetu,
tupendane daima lahaziziโ€ฆ. find more
PN.gif SMS ya kumwambia mpenzi wako unavyompenda na hautarajii kumsaliti
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
nimeulizwa nmependa nin kwake huyo ninaye mtumia ujumbe
huu nami nikajb saf roho yake nzur tabia yake ,majvuno
hayapo kwake,
nkaulzwa je unampenda kwa dhati ?nami nikajibu ndiyo nacpo
tayar kumsaliti na lbd aanze yeye. find more
PN.gif SMS ya kimahaba ya kumtumia mpenzi wako kumwambia unavyomtamani
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
macho yang hutaman kukuona,mdomo wang hutaman
kukubusu,mikono hutaman kukutomasa,uko mbali nami ila
mwili wangu upo kwa ajili yako dear. find more
PN.gif SMS ya kimahaba ya kumtumia mpenzi wako wa kike kumsifia na kumwambia unavyompenda
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
mahakama ya upendo iliyopo mtaa wa busu imenihukumu
kufungwa kwenye gereza la moyo la mcchana huyo milele kwa
kuutesa mtima wa moyo wa mcchana mmoja ,asiye na
mashauz,mwenye wing upendo ,maneno matamu ,mahaba ya dhat
na mapenz mazito zito,. find more
PN.gif Ujumbe wa kimahaba wa kumtumia msichana umpendaye kumwambia kuwa utampenda daima
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
nashtumiwa kwa kumpenda mcchana mmoja aliyeutesa moyo
wangu
mahakama imenihukumu kifo kwa kunyongwa na kamba upendo
lkn kwa msamaha wa raisi mapenzi
nmehukumiwa kuwa mwaminif kwake nakumpenda zaidi ya hapo
daima milele.
nakupenda mpz. find more
PN.gif Ujumbe wa kimahaba wa kumtumia mkeo mtarajiwa kumsifia alivyoumbika
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
Kila nikuonapo napata weweseko, yako miondoko si ya kitoto
na zaidi wajua kuweka mikogo, umeumbika si kitoto,
nahitaji uwe wangu mama watoto!. find more
PN.gif Ujumbe wa kimapenzi wa kumuahidi kumpa mahaba mpenzi wako
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
Hakika wewe ndiye wangu mahabuba unayejua kunipa huba,
napenda unavyoniganda mithili ya ruba, nahahidi kukupa
mahaba yanayozidi shaba. Nakupenda.. find more
page 1 of 212next »

Pages pages: 3212459 in total