PN.gif SMS ya kumkumbusha mpenzi wako kuwa unampenda
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
Ucku ulalapo jua kuna m2 akupendaye,mchana uwajibikapo
tambua yupo anayekuwaza ,jioni uwapo mazoezini jua yupo
anayekuonea wivu,hata uwapo kwenye kumbi za burudani
tambua mwenzio nakulilia,usitoe penzi kangu akilini hata
km upo mbali nami!moyoni mwangu hutafutika milele!. find more
PN.gif Featured
Category ๐Ÿ‘‰_default, Tags ๐Ÿ‘‰featured featured_side,
[[=]]. find more
PN.gif Meseji ya kumtumia mpenzi wako aliyeko mbali na wewe
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
sura yako haifutiki usoni mwangu kirahic,ingawa upo mbali
nami lkn penzi lako bado nalikumbuka,hakuna anayeweza
kukata kiu yangu zaidi yako,nakupenda mpenzi.. find more
PN.gif Meseji ya kumwambia mpenzi wako kuwa ulimpenda tangu siku ya kwanza na utazidi kumpenda
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
nilivyokutana nawe siku ya kwanza nilikupenda kwa
dhati,nikakueleza ukweli ukanikaribisha moyoni
mwako,siwezi kuchezea nafasi hiyo laaziz,nitakushika
daima.. find more
PN.gif Meseji ya kumuomba mpenzi wako akupende maishsni
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
kama ni usafiri wewe ni gari salama,kama ni kiwanda wewe
ni namba moja ,kama ni maji kwako kuna chemchem,kama ni
mapenzi kwako nimefika,niahidi utakuwa nami siku zote
maishani mwangu.. find more
PN.gif Meseji ya kumsisitiza mpenzi wako muendelee kupendana
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
wengi walisema penzi letu lisingedumu,lakini leo twawaacha
midomo wazi kwa misengenyo yao isiyo na maana ,tuendelee
kupendana,wanafiki roho ziwaume!. find more
PN.gif Meseji ya kumsifia mpenzi wako kuwa ni mzuri
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
Swt ulivyoumbika wengi wanateseka juu yako ,najua
wanakusumbua ni vema usiwakubalie, ukweli umebarikiwa
uzuri umeshushiwa na dhati ya penzi umetunukiwa nakupenda. find more
PN.gif SMS nzuri ya kumtumia mpenzi wako aliyekuacha kumuomba akurudie
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
ni bora mnara ukitikisika kuliko kupata pengo lisilozibika
moyoni umeniachia jeraha lisilotibika na ufa
usiozibika.rudi mpenzi unautesa mtima wa moyo wangu.. find more
PN.gif Ujumbe kwa mpenzi kumwambia mlitunze pendo lenu
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
Utakuwa wangu wa maisha daima na penzi le2 litakuwa km
mfuko wa hazina,2talitunza km zaidi ya mboni la jicho.. find more
PN.gif Meseji ya kumtumia mpenzi wako wakati unaenda kwake
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
nipe niridhike,nionjeshe usinilambishe,nikigonga
nikaribishe na penzi le2 2listawishe.. find more
PN.gif Meseji ya kumbembeleza mpenzi wako aje kwako
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
mpenzi usiende mbali nami,njoo ufaidi utamu usioisha
hamu,nitakupa mwili wangu ukeshe nao,nitakulisha
unachokitaka,sitakubania naogopa wengine wataniibia. .
.njo leo uniambie unataka nini?. find more
PN.gif SMS ya kumwambia mpenzi wako kuwa penzi lako kwake ni la kipekee
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
Anayekupenda ni mimi,watakaokutamani ni wengi,tafuta dunia
nzima penzi langu la kweli huwezi kulipata,penzi langu
kwako ni nuru daima halizimiki.. find more
PN.gif Ujumbe wa kimahaba wa kumtumia mpenzi wako
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
Ikiwa penzi langu kwako litakufa halitazikwa,ikiwa moyo
wangu ni mwandiko hautafutika na kama dhati yangu ni
machozi daima hayatokauka na wewe kwangu ni damu ngozini
haitochuruzika ila mishipani… .. find more
PN.gif SMS nzuri ya kumuuliza mpenzi wako kama anakupenda kweli kwa moyo wake wote
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
Mapenzi mazuri yanasifa zifuatazo, kuridhishana, kupeana
bila kubaniana, kubusiana, kuheshimiana, kujaliana, kusubiriana, kusikilizana. je utaweza kunifanyia yote hayo? nijibu mpenzi.. find more
PN.gif SMS nzuri ya kumtumia mpenzi wako ya kumuomba aje kwako
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
Mpenzi usiende mbali nami,njoo ufaidi utamu usioisha
hamu,nitakupa mwili wangu ucheze nao hadi
asubuhi,nitakulisha unachokitaka,sitakubania kwani naogopa
wengine wanaweza kukupa… .njoo leo uniambie unataka
nini?. find more
PN.gif SMS ya kumtumia mpenzi wako kunapokuwa na wanafiki wanaoingilia penzi lenu
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
Wanafiki tusiwaombee kifo daima na milele washuhudie penzi
letu linavyozidi kukua,na tunavyopambana na mapito.. find more
PN.gif Meseji ya kumtumia mpenzi wako anapoonyesha kukupenda
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
Nakupenda kwa kuwa umegundua thamani ya penzi langu
nakuahidi utafaidi utamu wa mapenzi yangu. find more
PN.gif Meseji ya pongezi kwa mpenzi wako
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
pongezi kwako mpenzi kuwa wangu mtetezi kwenye jahazi la
mapenzi,ufundi na ujuzi unao hasa tuwapo wawili
chumbani.penzi lako halichakai daima huzaliwa upya.. find more
PN.gif Meseji ya kumahidi mpenzi wako kumpenda daima
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
Mapenzi ni upepo,mimi sivumi na kupotea,mapenzi ni mahaba
sili nikamaliza,nikimaliza nitakula nini kesho?nakuahidi
kukupenda leo hata kesho ukiwepo na hata usipokuwepo.. find more
PN.gif SMS nzuri ya kumtumia umpendaye kumwambia unavyompenda na kumridhia
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
Siku zote kwangu ni sherehe ni wewe unishereheshaye,ukweli
usio na kejeli mapenzi yako yanatii kiu yangu,moyoni
mwangu nimeridhia… .nakupenda daima mpenzi!. find more
PN.gif SMS tamu ya kimahaba ya kumuomba mpenzi wako asiende mbali na wewe
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
Mapigo yangu ya moyo huongezeka pindi nisipokuona japo kwa
dakika plz mpenzi kaa karibu yangu utulize mapigo. find more
PN.gif Ujumbe wa kumwambia mpenzi wako ni wa thamani kwako kwa hiyo akikuacha atakuumiza
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
Nakupรฉndรค mpรจnzi wรจwรจ รนnรฅumuhimu mkubwa kwenye maisha
yangu kwani ukiniacha mpenzi utanisababishia kovu ambalo
halitapona .nakupenda sana. find more
PN.gif Meseji ya kumuaminisha mpenzi wako kuwa unampenda
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
upendo wa moyoni ndiyo dhati niliyoamini amini kwa haya
nisemayo nakupenda wewe ndiyo kaburi nitakalozikwa nalo.. find more
PN.gif Ujumbe mzuri kwa mpenzi wako kumuonyesha upendo
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
yapitayo mdomoni yametokea moyoni ,uyaonayo hadharani
nimeagizwa na manani yakuridhishayo nafsini ni utamu wa
yakini.. find more
PN.gif SMS nzuri kwa mpenzi wako
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
mapenzi ni utoto,deka ulie nitakubembeleza,mapenz ni
zawadi,tabasamu,nibusu niambie kiasi gani
unanipenda,naweza kusema asilimia kubwa jina lako
limezunguka ukuta wa moyo wangu,na kamwe jina lako
haliwezi futika.
NAKUPENDA. find more
PN.gif SMS nzuri kwa ajili ya kumtumia mpenzi wako kumwambia sababu ya kumpenda
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
mapenzi ni safari,mapenzi ni ahadi,mapenzi ni
ujasiri,mapenzi ni zawadi,mapenzi mitihani,mapenzi
ramani,mapenzi ajali na ndiyo maana nakupenda wewe bila kujali.. find more
PN.gif Ujumbe wa kumwambia umpendaye kuwa ni pengo lisilozibika milele kwa hiyo asikuache
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
nikipoteza kitu cha thamani nitauzunika nitasahau ila
nikikupoteza wewe ni pengo lisilozibika kamwe.. find more
PN.gif Ujumbe mzuri kwa umpendaye
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
kiangazi aumasika
kukupenda nitawajibika kwenye chupa au birika chai yako
ya uhakika ,iwe ndoo au pipa ujazo wa penzi kimiminika.. find more
PN.gif SMS ya kumwambia mpenzi wako hutomuacha na kumuonyesha umuhimu wake
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
Kama safari tumeianza,kama chakula sinto kusanza,kama
nyumba wewe kibaraza na kama ukingo wewe kiambaza.. find more
PN.gif Meseji ya kumwambia mpenzi unampenda peke yake
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
mapenzi ni upepo,mimi sivumi na kupotea,mapenzi ni mahaba
sili nikamaliza,mapenzi ni raha kamwe cwez
kuipeza,nakupenda wewe pekee. find more
PN.gif Ujumbe kwa mpendwa kumwambia unampenda na kumuomba akupende
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
kamwe cwez kuacha kukupenda,utaendelea kujificha moyo
mwangu cku zote za maisha yang,maana wewe ndiye mhimili wa
maisha yangu,tafadhal naomba unipende milele!. find more
PN.gif SMS ya kumtumia mpenzi wako aliyeko mbali
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
sura yako haifutiki usoni mwangu kirahic,ingawa upo mbal
nami lkn penzi lako bado nalikumbuka,hakuna anayeweza
kukata kiu yangu zaidi yako,nakupenda mpenzi wangu!. find more
PN.gif Meseji ya kimahaba ya kumuuliza mpenzi wako kama anakupenda
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
Je unakubali au unakataa kwa mujibu wa sheria ya mahakama
ya mapenzi kifungu cha mahaba unahukumiwa kuwa na mimi
milele,unaweza kukata rufaa kama hujatendewa haki.sawa?. find more
PN.gif SMS ya kumtumia mpenzi wako usiku
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
Nenda sms taratibu kwa yule ma BEST nimpendaye,ukimkuta
amelala ucmuamshe mpige busu kisha mnong'oneze mwambie
nampenda sanaaaa
Nilivyokutana nawe cku ya kwanza nilikupenda kwa dhati
,nikakueleza ukweli ukanikaribisha moyoni mwako,cwezi
kuchezea nafac hyo laaziz nitakushika daima.. find more
PN.gif Meseji ya kumuomba mpenzi wako akwepe fitina kwani unampenda sana
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
Moyo wangu unajua kupenda katu haujui kutenda
mpz,nakupenda tukwepe fitina mpz.. find more
PN.gif SMS ya kumwambia mpenzi wako asijute kukupenda kwani unampenda
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
Kipepeo kipeperushe kunipenda maamuz yako kamwe usijute
nakupenda mpz moyoni mwako unitulize.
Nakupenda mpz. find more
PN.gif Ujumbe wa kumwambia mtu unayempenda unatamani akupende
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
Raha ya ucngz ni ucngz . . . .''tamu''ya penzi ni ndoto .
Na furaha ya ndoto ni yule umpendaye kwa dhati,nitafurahi
nikiwa mimi,. find more
PN.gif Wachaga Na Tofauti Zao
Category ๐Ÿ‘‰wiki, Tags ๐Ÿ‘‰vichekesho wachaga,
Warombo wajanja sana kibiashara/wezi pia.wameajiri wamarangu mjini ni walevi sana hupeleka wake zao vijijini wakileta kiburi mjini.. find more
PN.gif SMS ya kimahaba ya kumtumia mpenzi wako unayempenda
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
Nimezunguka pande zote za Tanzania macho
nikiyaangaza
kumsaka mrembo
wakumkabidhi wangu moyo wenye upendo
ndani yake na kulila
TUNDA lake
kwa nafasi huku nikimpa mahaba ya dhati na sikuwahi kuhisi
kama wewe ndiye
ulie uteka moyo wangu.
nakupenda laaziz. find more
PN.gif SMS ya kumtumia mpenzi wako aliyesahau kuwasiliana na wewe kumkumbusha awasiliane na wewe
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
Ni yangu mazoea kila cku cm yako
kuipokea kama si meseji
kunitumia
leo naumia kila napo fikiria nini
kimetokea hadi
mawasiliano yetu
yameanza kupotea,sawa tu.naamini hali
ya kawida itarejea
na
majonzi moyoni yatanipotea
nakupenda mpz. find more
PN.gif SMS ya kumtumia mmeo au mpenzi wako unapokuwa kwenye siku zako
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
Nina habari nzuri nataka kukuambia kuna mgeni leo kaja
kunitembelea,nguo nyekundu amevalia yaani!utamu wako kwa
sasa siwezi kukupatia
kwa maana mgeni kashakuharibia
nakupenda dear. find more
PN.gif SMS nzuri ya kumtumia mume wako
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
hakika kama ni mume MUNGU kanipatia,kuwa nawe najiona
kama malkia ,nakupenda mpz na daima nitaenzi penzi
lako.. find more
PN.gif Ujumbe mzuri wa kumwambia mpenzi wako jinsi unavyompenda
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
sioni zawadi ya kukupatia kwa mapenzi
unayonipatia,
moyoni nimekuridhia wewe pekee penzi langu daima
kukupatia nakupenda. find more
PN.gif SMS ya mshale wa mapenzi kwa umpendaye
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,

»-——»>

Mshale huu unamtafuta mtu muhimu sana ktk
maisha yangu na kama umekutana nao
usiukwepe uache
uchome Moyo wako gharama
za matibabu juu yangu.. find more


PN.gif SMS ya kumtumia mpenzi wako kujivunia kuwa na yeye
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
Furaha yangu ni kuwa nawe kwani u zaid ya mboni
yangu,najisifu kuwa nawe maishani mwangu naamini itatokea
kutokuwa mbali nawe mpz wangu,unisahaulishe machungu na
karaha za huu ulimwengu .nakupenda dia. find more
PN.gif Ujumbe wa mapenzi kwa mpenzi wako kumwambia unampenada na unamkumbuka
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
kila niamkapo mawazo yangu huwa kwako na upepo uvumapo
huhitaji uwepo wako na hasa nikukumbukapo kumbato
lako,nakupenda mpenzi. find more
PN.gif SMS ya kumshukuru mpenzi wako na kumwambia kuwa unampenda
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
nakupenda sana mpenzi wangu ,we ndo wa pekee mwenye kujua
furaha ya moyo wangu nikiwa na majonzi huwa upo karibu
nami,nikiwa na furaha huja kushea nami,ahsante wangu
tabibu ,we ndo wangu wa manani.. find more
PN.gif Ujumbe kwa mpenzi wa kimahaba
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
yapitayo mdomon yametokea moyon,uyaonayo hadharani
nimeagizwa na manani yakuridhishayo nafsini ni utamu wa
yakini.. find more
PN.gif SMS nzuri ya kumtumia mpenzi wako mnapogombana na kukorofishana
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
teke la kuku halimuumzi mwanaye sawa na dhati ya mapenzi
haiumzi moyo wa ampendaye,tugombane sasa hivi tupatane
badaye,najua hakuna wasiogombana ,kama wapo siku
wakigombana wataachana.. find more
PN.gif SMS ya kumdekeza mpenzi wako na kumwambia unavyompenda
Category ๐Ÿ‘‰sms, Tags ๐Ÿ‘‰,
mapenzi ni utoto,deka ulie nitakubembeleza,mapenzi ni
zawadi tabasamu nibusu niambie kiasi gani unanpenda,naweza
kusema asilimia kubwa jina lako limezunguka kuta wa moyo
wangu.kamwe jina lako haliwezi kufutika.nakupenda sana. find more
page 1 of 6123456next »

Pages pages: 3212459 in total