PN.gif Tofauti ya Sala na Maombi
Category ๐Ÿ‘‰dini, Tags ๐Ÿ‘‰,
Sala na Maombi vinatofautiana kama ifuatavyo;. find more
PN.gif Sadaka ya Msalaba ni nini?
Category ๐Ÿ‘‰katekisimu, Tags ๐Ÿ‘‰misa,
Sadaka ya Msalaba ni tendo la mateso na kifo cha Bwana wetu Yesu Kristojuu ya Msalaba pale Kalvari. find more
PN.gif Misa ni nini?
Category ๐Ÿ‘‰katekisimu, Tags ๐Ÿ‘‰misa,
Misa ni sadaka safi ya Wakristo kwa Mungu, ndiyo sadaka ya Agano Jipya ambayo
Kristo kwa njia ya Padri anamtolea Mungu Baba mwili na damu yake katika umbo la mkate na divai kama alivyojitolea mwenyewe juu ya msalaba.. find more
PN.gif Je, Divai iliyotumiwa na Yesu ilikua na Kilevi (pombe)?
Category ๐Ÿ‘‰katekisimu, Tags ๐Ÿ‘‰ekaristi madhehebu,
Ndiyo, Divai aliyoitumia Yesu kuigeuza kuwa damu yake ilikua na kilevi kwa sababu kwa kawaida kipindi cha Pasaka sio msimu wa kuvuna zabibu na hakukuwa na njia yoyote ya kufanya juisi yake isiwe kilevi. Kwa hiyo hakukuwa na uwezekano wa kupata juisi ya zabibu isipokua mvinyo wa zabibu wenye kilevi. Vile vile Wayahudi walikua na desturi ya kutumia Mvinyo wa zabibu kama kinywaji cha sikukuu ya pasaka.
Hakuna sehemu kwenye Bilia tunaambiwa kwamba ulifanyika Muujiza wa Kufanya Divai isiwe kilevi. Biblia inatuambia kuwa Mitume kila walipokutana Walishiriki Meza ya Bwana. Haikutuambia walishiriki meza ya Bwana tuu Kipindi cha kukamua Zabibu.
Biblia inatuthibitishia kuwa Divai aliyotumia Yesu na Mitume ilikua na kilevi kwa kusema kuwa wengine walikuwa wakilewa katika Meza ya Bwana (Wakorinto 11:22).. find more
PN.gif Ni lini Yesu Kristo aliwapa Maaskofu na Mapadri Uwezo wa kugeuza mkate na divai kuwa Mwili na Damu yake?
Category ๐Ÿ‘‰katekisimu, Tags ๐Ÿ‘‰ekaristi misa,
Yesu Kristo aliwapa Maaskofu na Mapadri Uwezo wa kugeuza mkate na divai kuwa Mwili na Damu yake alipowafanya Mitume kuwa Mapadri katika karamu ya mwisho aliposema "FANYENI HIVI KWA UKUMBUSHO WANGU" (Lk 22:14-20). find more
PN.gif Baada ya Mitume kufa ni nani wanafanya Sakramenti ya Ekaristi
Category ๐Ÿ‘‰katekisimu, Tags ๐Ÿ‘‰ekaristi misa,
Badaa ya Mitume kufa Maaskofu na Mapadri wanaendelea kuadhimisha Sakramenti ya Ekaristi Takatifu. find more
PN.gif Ni wakati gani katika Misa Mkate na Divai vinageuka Mwili na Damu yake Kristo?
Category ๐Ÿ‘‰katekisimu, Tags ๐Ÿ‘‰ekaristi madhehebu misa,
Ni katikati ya Misa padri asemapo maneno Matakatifu aliyosema Yesu mwenyewe: "HUU NDIO MWILI WANGU; HII NDIO DAMU YANGU". find more
PN.gif Ni kwa nini ni Kweli Yesu Kristo yuko chini ya maumbo ya Mkate na Divai?
Category ๐Ÿ‘‰katekisimu, Tags ๐Ÿ‘‰ekaristi,
Nikweli Yesu Kristo yuko chini ya maumbo ya Mkate na Divai kwa sababu. find more
PN.gif Yesu Kristo alianzishaje Ekaristi Takatifu?
Category ๐Ÿ‘‰katekisimu, Tags ๐Ÿ‘‰ekaristi,
Yesu alitwaa mkate mikononi mwake, akashukuru, akaumega, akawapa mitume wake akisema: "TWAENI MLE WOTE: HUU NDIO MWILI WANGU UTAKAOTOLEWA KWA AJILI YENU". find more
PN.gif Yesu Kristo alianzisha lini Sakramenti ya Ekaristi?
Category ๐Ÿ‘‰katekisimu, Tags ๐Ÿ‘‰ekaristi,
Yesu Kristo alianzisha Sakramenti ya Ekaristi Takatifu jioni ya Alhamisi kuu yaani usiku ule kabla ya kukutwaliwa kwenye mateso na msalaba.. find more
PN.gif Sakramenti ya Ekaristi ni nini?
Category ๐Ÿ‘‰katekisimu, Tags ๐Ÿ‘‰ekaristi maana misa sakramenti,
Sakramenti ya Ekaristi ni Sakramenti ya Mwili na Damu ya Yesu Kristo, aliye kweli katika Maumbo ya Mkate na Divai. (Yoh 6:1-17, Mt 26:26-28). find more
PN.gif Dhamiri inatakiwa kufuata daima masharti gani?
Category ๐Ÿ‘‰katekisimu, Tags ๐Ÿ‘‰dhamira,
Dhamira inatakiwa kufuata daima masharti yafuatayo. find more
PN.gif Dhamiri adilifu inatengenezwa na kusaidiwa na nini?
Category ๐Ÿ‘‰katekisimu, Tags ๐Ÿ‘‰dhamira,
Dhamiri adilifu inatengenezwa na vipaji vya Roho Mtakatifu na kusaidiwa na mashauri ya watu wenye busara.. find more
PN.gif Dhamiri adilifu inaundwa namna gani iwe nyofu na ya kweli?
Category ๐Ÿ‘‰katekisimu, Tags ๐Ÿ‘‰dhamira,
Dhamiri nyofu inayosema kweli inaundwa kwa;. find more
PN.gif Hadhi ya nafsi ya mtu inadai nini kuhusu dhamiri adilifu?
Category ๐Ÿ‘‰katekisimu, Tags ๐Ÿ‘‰dhamira,
Hadhi ya nafsi ya mtu inadai unyofu wa dhamiri adilifu, yaani upande wa akili na sheria ya Mungu. find more
PN.gif Yesu alihalalisha ulaji wa vyakula vyote, Hakuna chakula kinachoweza kumtia mtu unajisi
Category ๐Ÿ‘‰dini, Tags ๐Ÿ‘‰,
Marko 7:14-23
14 Yesu aliuita tena ule umati wa watu, akawaambia, "Nisikilizeni nyote, mkaelewe. 15 Hakuna kitu kinachoingia ndani ya mtu toka nje ambacho chaweza kumtia mtu najisi. Lakini kinachotoka ndani ya mtu ndicho kinachomtia mtu najisi." 16 Mwenye masikio na asikie!. find more
PN.gif Kisa cha mzaramo na mchaga
Category ๐Ÿ‘‰vichekesho, Tags ๐Ÿ‘‰,
MZARAMO V/S MCHAGA.
Mzaramo alitangaza anatibu magonjwa yooooooote
kwa tsh. 100,000/=
Na kama akishindwa kukutibu anakurudishia laki
yako nakukuongeza laki nyingine.
MCHAGA akaona hii fursa yakujipatia hela aiwezi mpita akaenda kutibiwa.
MZARAMO: "unaumwa nini?"
MCHAGA: "Sisikii ladha ya aina yoyote mdomoni kabisaaaa.."
MZARAMO: "sawa, toa laki kabisa.."
Mchaga akatoa.
MZARAMO akamuagiza msaidizi wake; "Naomba kikopo no.27 mpe anywe huyu.."
MCHAGA akanywa akatema faster; "Puh puu puu, Aisee huu si mkojo huu..?"
MZARAMO: "Umepona karibu tena.."
Mchaga aka-mind sana Kesho yake akarudi tena hakuamini ameliwa pesa yake.
MCHAGA: aisee nina tatizo la kumbukumbu nasahau
sanaaaaa.."
MZARAMO akamwambia "hakuna tabu, toa laki tukupe tiba..'
MCHAGA akatoa pesa akijua leo lazima afanikiwe..'
MZARAMO: "nesi naomba kikopo no.27.."
MCHAGA: "ASA CHALII ANGU HICHO SI CHA JANA CHA MKOJO HICHO AISEE..?"
MZARAMO: "UMEPONA KUMBUKUMBU UNAYO.. find more
PN.gif This is the sad story
Category ๐Ÿ‘‰mix, Tags ๐Ÿ‘‰economic relationship,
A sick person in a hospital bed was visited by relatives.
The patient was on an oxygen MACHINE and therefore couldn't speak.. find more
PN.gif Huyu mke ni shida! Angalia anachokisema sasa
Category ๐Ÿ‘‰vichekesho, Tags ๐Ÿ‘‰,
Jamaa kwa kuchoshwa na tabia ya mkewe iliyobadilika ghafla akaamua kumpleka kwa Padre ili amuelezee nini tatizo mambo yakawa hivi:. find more
PN.gif Normal body conditions
Category ๐Ÿ‘‰mix, Tags ๐Ÿ‘‰health technology,
*BLOOD PRESSURE*

120/80 — Normal
130/85 —Normal (Control)
140/90 — High
150/95 — V.High. find more
PN.gif An infant rejoice in the presence of the Lord
Category ๐Ÿ‘‰mix, Tags ๐Ÿ‘‰christianity,
โ€œMost blessed are you among women, and blessed is the fruit of your womb. And how does this happen to me, that the mother of my Lord should come to me? For at the moment the sound of your greeting reached my ears, the infant in my womb leaped for joy. Blessed are you who believed that what was spoken to you by the Lord would be fulfilled.โ€ Luke 1:42b-45. find more
PN.gif Una thamani gani?
Category ๐Ÿ‘‰uchumi, Tags ๐Ÿ‘‰,
Kazi au shughuli unayoifanya ina thamani gani kwa wengine?unawasaidia au unawaumiza??
Biashara unayoifanya ina thamani gani kwa wengine?ni lazima uwaumize ndipo ufaidike au uwasaidie ili nawe upate faida?. find more
PN.gif Just think about this
Category ๐Ÿ‘‰mix, Tags ๐Ÿ‘‰christianity,
*No matter how many times the teeth bite the tongue, they still stay together in one mouth. That's the spirit of FORGIVENESS. Even though the eyes don't see each other, they see things together, blink simultaneously and cry together. That's UNITY." May the Lord grant us all the spirit of forgiveness and togetherness*.. find more
PN.gif Jaribu kufikiria haya
Category ๐Ÿ‘‰uchumi, Tags ๐Ÿ‘‰,
1. Uelekeo ni muhimu kuliko kasi. Ni heri kwenda taratibu katika Uelekeo sahihi, kuliko kwenda kwa kasi katika Uelekeo usio sahihi.. find more
PN.gif Angalia utofauti wa mawazo ya maskini na tajiri
Category ๐Ÿ‘‰uchumi, Tags ๐Ÿ‘‰,
MASKINI NA TAJIRI WANA MAWAZO TOFAUTI.
Maskini hudhani utajiri ni chanzo cha matatizo.
Tajiri hudhani umaskini ni chanzo cha matatizo.. find more
PN.gif Mbinu ya kilimo bora cha mboga
Category ๐Ÿ‘‰file, Tags ๐Ÿ‘‰,
. find more
PN.gif Slingo Pokee
Category ๐Ÿ‘‰games, Tags ๐Ÿ‘‰,
[[html]]

<object width="100%" height="450"><param name="movie" value="http://www.knugo.com/files/file/Slingo-Pokee.swf"><param name="quality" value="high"><embed src="http://www.knugo.com/files/file/Slingo-Pokee.swf" quality="high" width="500" height="450" type="application/x-shockwave-flash" pluginspage= "http://www.macromedia.com/go/getflashplayer"></embed></object>
Slingo Pokee

[**[http://www.ackyshine.com/games:slingo-pokee find more**
PN.gif Table Tennis
Category ๐Ÿ‘‰games, Tags ๐Ÿ‘‰,
[[html]]. find more
PN.gif Pool Table
Category ๐Ÿ‘‰games, Tags ๐Ÿ‘‰,
[[html]]. find more
PN.gif Zombie
Category ๐Ÿ‘‰games, Tags ๐Ÿ‘‰,
[[html]]

<object width="640" height="480"><param name="movie" value="http://www.embeddablegames.net/embedgames/zombie-racer.swf"><param name="quality" value="high"><embed src="http://www.embeddablegames.net/embedgames/zombie-racer.swf" quality="high" width="100%" height="400" type="application/x-shockwave-flash" pluginspage= "http://www.macromedia.com/go/getflashplayer"></embed></object>
knugo.com

[**[http://www.ackyshine.com/games:zombie find more**
PN.gif Jarida la kilimo bora cha matikiti
Category ๐Ÿ‘‰library, Tags ๐Ÿ‘‰kilimo matikiti uchumi,
pdf: 'file:jarida-la-kilimo-bora-cha-matikiti/Jarida-la-kilimo-bora-cha-matikiti.pdf'
maelezo: ''. find more
PN.gif Jarida la kilimo bora cha matikiti
Category ๐Ÿ‘‰file, Tags ๐Ÿ‘‰,
. find more
PN.gif Jarida la kilimo bora cha HOHO
Category ๐Ÿ‘‰library, Tags ๐Ÿ‘‰hoho kilimo uchumi,
pdf: 'file:jarida-la-kilimo-bora-cha-hoho/Jarida-la-kilimo-bora-cha-HOHO.pdf'
maelezo: ''. find more
PN.gif Jarida la kilimo bora cha hoho
Category ๐Ÿ‘‰file, Tags ๐Ÿ‘‰,
. find more
PN.gif Jarida la kilimo bora cha vitunguu maji na swaumu
Category ๐Ÿ‘‰library, Tags ๐Ÿ‘‰kilimo swaumu twaumu uchumi vitunguu,
pdf: 'file:jarida-la-kilimo-bora-cha-vitunguu-maji-na-swaumu/Jarida-la-kilimo-bora-cha-vitunguu-maji-na-swaumu.pdf'
maelezo: ''. find more
PN.gif Jarida la kilimo bora cha kabichi
Category ๐Ÿ‘‰library, Tags ๐Ÿ‘‰kabichi kilimo uchumi,
pdf: 'file:jarida-la-kilimo-bora-cha-kabichi-4/Jarida-la-kilimo-bora-cha-kabichi.pdf'
maelezo: ''. find more
PN.gif Jarida la kilimo bora cha kabichi 4
Category ๐Ÿ‘‰file, Tags ๐Ÿ‘‰,
. find more
PN.gif Jarida la kilimo bora cha bamia
Category ๐Ÿ‘‰library, Tags ๐Ÿ‘‰bamia kilimo ujasiriamali,
pdf: 'file:jarida-la-kilimo-bora-cha-bamia/Jarida-la-kilimo-bora-cha-bamia.pdf'
maelezo: ''. find more
PN.gif Jarida la kilimo bora cha bamia
Category ๐Ÿ‘‰file, Tags ๐Ÿ‘‰,
. find more
PN.gif Picha Kali Za Kuchekesha
Category ๐Ÿ‘‰library, Tags ๐Ÿ‘‰picha vichekesho,
pdf: 'file:picha-kali-2/Picha-kali.pdf'
maelezo: ''. find more
PN.gif Picha kali 2
Category ๐Ÿ‘‰file, Tags ๐Ÿ‘‰,
. find more
PN.gif AckySHINE PDF๐Ÿ“š Library
Category ๐Ÿ‘‰_default, Tags ๐Ÿ‘‰huduma kurasa_kuu machapisho main_services majarida pdf vitabu,
[[html]]
<!— Go to www.addthis.com/dashboard to customize your tools —>

[**[http://www.ackyshine.com/library find more**
PN.gif Twajenga na kutunza dhamira zetu namna gani?
Category ๐Ÿ‘‰katekisimu, Tags ๐Ÿ‘‰dhamira,
Twajenga na kutunza dhamira zetu kwa;-. find more
PN.gif Swala la Mapadri kutooa limeandikwa wapi katika Biblia?
Category ๐Ÿ‘‰katoliki, Tags ๐Ÿ‘‰,
Pengine umewahi kuulizwa swali hili wakati fulani.Na jibu lake ni kama ifuayavyo:. find more
PN.gif Sala wakati wa Kujibariki na Maji ya Baraka
Category ๐Ÿ‘‰sala, Tags ๐Ÿ‘‰ibada,
SALA WAKATI WA KUJIBARIKI NA MAJI YA BARAKA.
Kwa njia ya Maji haya ya Baraka, na kwa njia ya Damu yako azizi, na kwa maombezi ya Moyo Safi wa Maria, unioshe na uovu wangu wote na uwasaidie roho zinazoteseka toharani. Amina.. find more
PN.gif Cheki nilichomfanyia huyu dereva tax
Category ๐Ÿ‘‰vichekesho, Tags ๐Ÿ‘‰,
. find more
page 1 of 41234next »

Pages pages: 3212451 in total