PN.gif Sifa za mke mwema wa kuoa anayefaa kupendwa na kuishi nae
Category ๐Ÿ‘‰wiki, Tags ๐Ÿ‘‰aina anayefaa binti bongo ke kenya kuoa mke msichana muhimu mwanamke mwema sifa tanzania tz ug uganda wakuishi,
Mithali 14:1โ€œKila mwanamke aliye na Hekima hujenga nyumba yake; Bali aliye mpumbavu hibomoa kwa mikono yake mwenyeweโ€ Kuna mithali isemayo โ€œMAJUTO MJUKUUโ€, ni kawaida kwa wanandoa kuangalia na kulaumiana juu ya matatizo yanayojitokeza, badala ya kutafakari chanzo cha matatizo. Matatizo mengi ya ndoa yanatokana na wanandoa kutokuwa na elimu ya ndoa na kutofuata ushauri wa Mungu aliyeanzisha Ndoa. Baadhi ya sifa za Mwanamke mwenye Hekima โ€“ Pia Soma Mithali 31:10-31.. find more
PN.gif List Pages Template
Category ๐Ÿ‘‰include, Tags ๐Ÿ‘‰,
{$heading}[A_{$anchor}]
[[size {$size}]]
The ListPages module does not work recursively.

[**[http://www.ackyshine.com/include:list-pages-template find more**


PN.gif List Pages
Category ๐Ÿ‘‰include, Tags ๐Ÿ‘‰,
[[include include:list-pages-template
heading={$heading} | heading=++ View a Gallery |
anchor={$anchor} | anchor={$category} |
category={$category} | category=_default |
page={$page} | page=system:list-pages |
perPage={$perPage} | perPage={$limit} |
limit={$limit} | limit=10000 |
size={$size} | size=89% |
attributes={$attributes} | attributes=order="@URL" date="@URL" |
styleA={$styleA} | styleA=padding-right:0.5em |
styleR={$styleR} | styleR=text-align:center; width:2em |
styleT={$styleT} | styleT=padding-right:0.5em |
styleE={$styleE} | styleE=text-align:right; padding-right:0.5em; width:13em |
styleC={$styleC} | styleC=text-align:right; width:13em |
urlView={$urlView} | urlView=%%title%% |
urlEdit={$urlEdit} | urlEdit=[image /include:list-pages/camera-icon14x14.png link="/%%fullname%%/noredirect/true" style="vertical-align:middle"]
]]. find more
PN.gif Wapinzani wamzomea Mugabe
Category ๐Ÿ‘‰habari, Tags ๐Ÿ‘‰,
141222173039_zimbabue_presidente_robert_mugabe_640x360_ap_nocredit.jpg. find more
PN.gif Kimbunga chaua nchini PHILIPPINES
Category ๐Ÿ‘‰habari, Tags ๐Ÿ‘‰,
5656Philippines-Typhoon-Goni-leav.jpg&width=600. find more
PN.gif Ndege zagongana angani
Category ๐Ÿ‘‰habari, Tags ๐Ÿ‘‰,
5627aircraft%20collision.jpg&width=600. find more
PN.gif Muamuzi wa Mwisho ni Mungu
Category ๐Ÿ‘‰taf, Tags ๐Ÿ‘‰,
Mungu ndiye Muamuzi;. find more
PN.gif Sababu na tiba ya Mwanamme Kukosa Hamu Ya Kufanya Tendo La Ndoa
Category ๐Ÿ‘‰wiki, Tags ๐Ÿ‘‰asilia chakula hamu homoni katika kufanya kukosa kutengeneza kuwa kwa la madawa mapenzi matatizo matumizi mfumo mkubwa msongo mwanamme na ndoa pombe sababu tatizo tendo tiba uchovu umri viagra wa ya za,
Tatizo la kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa kwa mwanamme linaweza kusababishwa na vitu vingi sana. Sababu hizo zinaweza kuwa za kimaumbile au kisaikolojia au za mchanganyiko wa vitu hivyo viwili. Hebu tuone baadhi ya vyanzo vya tatizo hili.. find more
PN.gif Ngono au tendo la ndoa baada ya kujifungua
Category ๐Ÿ‘‰wiki, Tags ๐Ÿ‘‰3 aina au baada baadhi hizi kujifungua la maji moto ndoa ngono ni nizijuazo sababu tendo utumiaji wa ya za,
Kungonoana au kungonoka na kufurahia tendo baada ya kujifungua inategemea zaidi na wewe mwenyewe (uponaji wako) na lini unadhani uko tayari vilevile ushirikiano wa kutosha kutoka kwa mume/mpenzi wako wakati unaendelea na uponaji baada ya kutoa kiumbe kipya duniani.. find more
PN.gif MAMBO YA KUZINGATIA MWANAMKE BAADA YA KUJIFUNGUA
Category ๐Ÿ‘‰wiki, Tags ๐Ÿ‘‰,
Wanawake wengi huwa katika wakati mgumu kufahamu ni line wanaweza kurudi kwenye maisha ya kuendelea na tendo la ndoa (sex) na waume zao baada ya kujifungua.
Pamoja na kuwa na imani potofu zinazozuia mwanamke kujihusisha na sex baada ya kuzaa mtoto bado hakuna uthibitisho wa kitaalamu (scientific research) kuelezea ni muda gani muafaka wa kuanza sex baada ya kujifungua au hatari za kuendelea na tendo la ndoa baada ya kujifungua.
Mke anao uhuru wa kuamua ni wakati gani anajiona yupo huru kuanza tena kushiriki katitka sex na mume wake.. find more
PN.gif Je, ni sahihi kufanya mapenzi wakati mkeo akiwa na MIMBA?
Category ๐Ÿ‘‰wiki, Tags ๐Ÿ‘‰,
Ni kawaida kwa mwanaadamu aliye mzima kupenda kuwa na mtoto, na kwa namna ya upekee katika kuumbwa kwa mwanaadamu, hakuna njia nyingine yoyote ile ambako mtoto anaweza kupatikana bila ya maingiliano ya kimwili baina ya watu wa jinsia mbili tofauti (ukiachilia mbali instances chache ambapo mambo ya test tube na artificial insemination hutumika).. find more
PN.gif KUJUA JINSIA YA MTOTO WAKATI WA UJAUZITO
Category ๐Ÿ‘‰wiki, Tags ๐Ÿ‘‰,
Ujauzito ni kipindi kinachoweza kuwa cha furaha hasa kwa wazazi watarajiwa. Katika kipindi hiki shauku kubwa huwa ni kujua mtoto atayezaliwa ni wa kike au kiume?. find more
PN.gif JINSI YA KUPATA MTOTO WA KIUME AU KIKE
Category ๐Ÿ‘‰wiki, Tags ๐Ÿ‘‰,
Watu wengi hutamani kupata mtoto wa jinsia wanayoipenda. Nini nifanye ili nipate mtoto wa kike au kiume? Je kuna dawa au vyakula vya kusaidia kupata mtoto ninayemtaka? Siku gani nikikutana na mwenzangu naweza pata mtoto wa kiume au kike? Na maswali mengine mengi huonesha shauku kubwa ya kupata mtoto wa jinsia uipendayo.. find more
PN.gif KUFANYA MAPENZI BAADA YA KUJIFUNGUA
Category ๐Ÿ‘‰wiki, Tags ๐Ÿ‘‰,
Unaweza ukawa unajiuliza ni wakati gani salama kuanza kufanya mapenzi baada ya kujifungua na kama kuna madhara kwa mtoto wako anayenyonya. Kuna dhana nyingi ambazo huzunguka suala hili ikiwemo kumbemenda na kutopata ujauzito mara baada ya kujifungua.. find more
PN.gif TIBA ZA ASILI ZA CHUNUSI
Category ๐Ÿ‘‰wiki, Tags ๐Ÿ‘‰,
Magadi soda ni mazuri sana kwa kusafishia uso na haswa ukiwa na chunusi. Changanya kiasi kidogo cha magadi soda na maji ya kutosha kuunda kidonge kidogo na kisha weka au kandika kidonge icho sehemu ilio athirika na chunusi. Kwa muda wa dakika 15-20 au mpaka ikauke, na kisha suuza kwa maji yasiwe ya moto. Unaweza kurudia rudia mara kadhaa kwa siku mpaka utakapo ona athari ya chunusi imepotea.. find more
PN.gif KIFAHAMU KITUNGUU SWAUMU
Category ๐Ÿ‘‰wiki, Tags ๐Ÿ‘‰,
Kitunguu swaumu ni jamii ya vitunguu ambayo kwa kitaalamu huitwa Allium sativum. Jamii hii ilianza kutumika katika mabara mbalimbali duniani hususani Asia, Afrika na Ulaya takribani miaka 6000 iliyopita. Matumizi makuu nyakati hizo yakiwa viungo katika mboga na tiba.. find more
PN.gif FAIDA ZA MATUMIZI YA TENDE
Category ๐Ÿ‘‰wiki, Tags ๐Ÿ‘‰,
1. Ukila tende mara kwa mara, mwili wako utapata aina mbalimbali za madini na vitamin za kutosha, ambazo zinapatikana kwenye tunda hili maarufu duniani. Katika tende kuna kiasi kidogo tu cha mafuta (fat) na haina lehemu (kolestrol).. find more
PN.gif FAIDA ZA MATUMIZI YA UKWAJU
Category ๐Ÿ‘‰wiki, Tags ๐Ÿ‘‰,
Chanzo kizuri cha viuasumu mwilini 'antioxidants' ambavyo huzuia Saratani (cancer)
Chanzo cha Vitamini B na C vile vile "carotentes"
Hushusha joto la mwili na kuondosha homa, hasa homa ya malaria na homa ya matumbo
Huulinda mwili dhidi ya mafua na kero za mafua kooni
Husaidia myeyusho na mmengenyo wa chakula na kuondosha kuvimbiwa. find more
PN.gif Machungwa, Zabibu Hupunguza Uwezekano wa Kupata Kiharusi
Category ๐Ÿ‘‰wiki, Tags ๐Ÿ‘‰,
Utafiti mpya uliofanyika nchini Marekani umesema ya kwamba kula machungwa na zabibu kunaweza kupunguza uwezekano wa kupata kiharusi (Stroke).
Utafiti huo uliangalia faida za matunda chachu (Citrus Fruit) pekee kwa mara ya kwanza tofauti na tafiti nyingi ambazo tumezizoea zinazoangalia umuhimu wa matunda na mboga za majani kwa afya kiujumla.
Utafiti huu umehusisha maelfu ya wanawake wanaoshiriki katika tafiti ya manesi Nurseโ€™s Health Study lakini wataalamu wanaamini faida hizo za machungwa na zabibu pia zinapatikana kwa wanaume.. find more
PN.gif Matumizi ya ndizi yanafaida gani? Faida na umuhimu wa kula ndizi
Category ๐Ÿ‘‰wiki, Tags ๐Ÿ‘‰,
Ndizi mbivu ni tunda ambalo linafahamika na kila mtu, lakini sina hakika kama watu wengi wanafahamu umuhimu na faida za tunda hili ambalo linapatikana kirahisi sana nchini. Bei yake ni kati ya shilingi 50 na 150 tu, kiwango cha pesa ambacho kila mtu anaweza kukimudu.. find more
PN.gif UMUHIMU WA BAADHI YA MATUNDA KWA MWILI WA BINADAMU
Category ๐Ÿ‘‰wiki, Tags ๐Ÿ‘‰,
Makala hii inaeleza umuhimu wa matunda mbalimbali.. find more
PN.gif Ukubwa wa uume si kigezo cha kumridhisha mpenzi wako
Category ๐Ÿ‘‰wiki, Tags ๐Ÿ‘‰,
Utajuaje kuwa ni kubwa au ndogo? Obviously ni kwa kujipima….lakini wanaume wengi wanapenda au hata kujisifia kuwa wao ni wakubwa, wakidhani ni moja ya sifa au hitaji la muhimu la wanawake.. find more
PN.gif Wastani wa upana na urefu wa uume wa kawaida
Category ๐Ÿ‘‰wiki, Tags ๐Ÿ‘‰,
. find more
PN.gif UKWELI KUHUSU UKUBWA WA UUME
Category ๐Ÿ‘‰wiki, Tags ๐Ÿ‘‰,
UKWELI KUHUSU UKUBWA WA UUME. find more
PN.gif Madhara ya matumizi ya dawa za kuongeza nguvu za kiume
Category ๐Ÿ‘‰wiki, Tags ๐Ÿ‘‰,
(1) Maumivu ya misuli.
(2) Kupata shida ya upumuaji.
(3) Maumivu ya kichwa.
(4) Maumivu ya macho au kulegea kwa macho.
(5) Kupiga chafya ovyo ovyo.. find more
PN.gif MADHARA YA DAWA ZA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME ZENYE KEMIKALI
Category ๐Ÿ‘‰wiki, Tags ๐Ÿ‘‰,
Tatizo la nguvu za kiume linalowaathiri mamilioni ya watu na pia kuathiri mahusiano ya kimapenzi .Katika kazi yangu katika Cliniki ya Afya ya Mapenzi asilimia 97% ya wateja wangu ni wanaume na leo nimeona nizungumzie hatari za kutumia madawa mengine yauzwayo katika maduka ya madawa mbalimbali.. find more
PN.gif Je, UKUBWA WA UUME au UDOGO WA UUME unasaidia katika kumridhisha mwanamke kimapenzi?
Category ๐Ÿ‘‰wiki, Tags ๐Ÿ‘‰,
Hii ni imani potofu ambayo imewafanya wanaume wengi kujiingiza kufanya surgery za gharama kubwa na wengine kupoteza pesa zao kwa ajili ya kutafuta dawa za kienyeji ili kuongeza maumbile kuwa marefu zaidi.. find more
PN.gif Madhara ya kuangalia picha za ngono
Category ๐Ÿ‘‰wiki, Tags ๐Ÿ‘‰,
Kuna watu wanapenda sana kuangalia sinema za ngono.. find more
PN.gif FAIDA NA MADHARA YA PUNYETO
Category ๐Ÿ‘‰wiki, Tags ๐Ÿ‘‰punyeto,
Kufanya au kupiga punyeto, ni tendo la kutomasa sehemu zako mwenyewe za siri ili kujisisimua kimapenzi.. find more
PN.gif MADHARA YA KUPIGA PUNYETO AU KUJICHUA
Category ๐Ÿ‘‰wiki, Tags ๐Ÿ‘‰punyeto,
Punyeto ni nini?
Hii ni tabia ambayo mwanamke au mwanaume anajichua sehemu za siri ili kufika kileleni, mara nyingi kitendo hiki hufanyika na muhusika akiwa peke yake chumbani au bafuni.
Wahanga wengi wa tabia hii ni wanaume kwani huanza katika umri mdogo sana kwasababu ya uoga wa kufuata wasichana na kuangalia video za ngono ambazo huwasukuma kufanya vitendo hivi..
Lakini punyeto huambatana na madhara makubwa ya kijamii na kiafya na leo tutaangalia madhara hayo kumi ya punyeto… find more
PN.gif JINSI YA KUACHA KUJICHUA AU KUPIGA PUNYETO KWA WANAWAKE NA WANAUME
Category ๐Ÿ‘‰wiki, Tags ๐Ÿ‘‰punyeto,
Hebu niambie…umeshawahi kujichua? Mara ngapi? Bado unaendelea na mchezo huo? Vipi, umewahi kusikia watu wakizungumza kuhusu suala hilo? Najua unaona aibu, hasa kama una tabia hiyo. Usiogope rafiki yangu, leo nitazungumza na wewe taratibu halafu mwisho kabisa nitakuacha na tabasamu la nguvu!. find more
PN.gif MADHARA YA KUPIGA PUNYETO
Category ๐Ÿ‘‰wiki, Tags ๐Ÿ‘‰punyeto,
Hili ni tatizo linalowakabili watu wengi sana na hili pia hutokana na watu hao kuwa na mchezo wa kupiga punyeto hapo awali au hata muda huu. Na hivyo hukosa nguvu za kiume na kuwafanya wakose heshima ndani ya ndoa.. find more
PN.gif madhara ya pombe kwa mama mjamzito
Category ๐Ÿ‘‰wiki, Tags ๐Ÿ‘‰,
Na Liberatha Ruhikula: POMBE ni kinywaji kinachotumiwa na watu wa jinsia mbalimbali huku kinywaji hicho kikizuiliwa kuuzwa na kutumiwa kwa watoto chini ya miaka 18.
Kinywaji hiki kina madhara makubwa sana endapo kitatumiwa kwa wingi au kitatumiwa na mtu asiyestahili akiwemo mama mjamazito.. find more
PN.gif Kunywa pombe Wakati wajawazito (Uhusiano wa pombe na mimba)
Category ๐Ÿ‘‰wiki, Tags ๐Ÿ‘‰,
Kuna mengi ya habari utata na kwenda kinyume na kwenda karibu kuhusu kama au si wanawake wajawazito wanaweza mara kwa mara hutumia kiasi kidogo cha pombe. Baadhi ya madaktari kuwajulisha wagonjwa wao na si kunywa pombe yoyote wakati wa ujauzito bila kujali jinsi mbali pamoja wao ni. Madaktari wengine kuwaambia wagonjwa wao kwamba ni salama kula kiasi kidogo sana cha pombe wakati wa ujauzito. Ni rahisi kuwa kuchanganyikiwa na habari hii. Ni kweli kuna kiasi salama ya matumizi ya pombe wakati wa ujauzito?. find more
PN.gif Athari za muda mrefu za pombe
Category ๐Ÿ‘‰wiki, Tags ๐Ÿ‘‰,
Athari za muda mrefu za pombe hutapakaa baina ya uwezekano wa faida za kiafya kwa watumiaji wa viwango vya chini vya pombe hadi madhara makubwa katika hali ya matumizi mabaya ya pombe kwa muda mrefu. Viwango vya juu vya matumizi ya pombe huhusiana na ongezeko la hatari ya kuendeleza ulevi, ugonjwa wa moyo, kutofyonza vyakula, ugonjwa sugu wa kongosho , ugonjwa wa ini kutokana na pombe, na kansa. Uharibifu kwa mfumo mkuu wa neva na mfumo wa neva za pembeni unaweza kusababishwa matumizi kila mara ya pombe. Matumizi ya pombe kupita kiasi kwa muda mrefu yanaweza kuharibu takribani kila kiungo na mfumo katika mwili. Ubongo unaokua wa kijana aliyebaleghe huwa hasa katika hatari kubwa ya kudhurika na sumu ya pombe.. find more
PN.gif Vijana wajiunga na al-Shabab Kenya
Category ๐Ÿ‘‰habari, Tags ๐Ÿ‘‰,
150621111717_somalia_jihadists_al-shabab_640x360_afp_nocredit.jpg
Polisi nchini Kenya wamewalaumu viongozi watatu wa kiislamu kwa kuwashawishi vijana wakiwemo wanafunzi wa vyuo vikuu kujiunga na kundi la kiislamu la al-Shabab.
Polisi wanadai kuwa viongozi hao wa kiislamu walivuka mpaka na kuingia nchini Somalia yalipo makao makuu ya al Shabab ambapo huwashawishi vijana hao kupitia kwa mitandao.. find more
PN.gif Watatu wafa kipindupindu Dar
Category ๐Ÿ‘‰habari, Tags ๐Ÿ‘‰,
Watu watatu wamekufa na wengine thelathini wamelazwa hospitalini kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu nchini Tanzania na hasa katika mji wa kibiashara wa Dar es salaam.
Wataalamu wa afya wamesema kwamba mlipuko huo unapatikana kwenye maeneo ambayo hayana usafi wa kutosha na vyoo vya kisasa hasa katika maeneo yenye msongamano wa makazi katika jiji hilo.. find more
PN.gif Ufugaji Kware
Category ๐Ÿ‘‰wiki, Tags ๐Ÿ‘‰,
Kware dume humpanda jike kwa muda kidogo, Hapo jike anakuwa tayari kutaga na hutaga mayai 290 hadi 310 kwa mwaka (hii hulingana na lishe nzuri atakayopatiwa).. find more
PN.gif Maswali na Majibu ya Dini
Category ๐Ÿ‘‰katolikihome, Tags ๐Ÿ‘‰kurasa_kuu_katoliki,
[[div style="width: 100%; border: 7px solid blue; background-color: #e8fafe; padding: 10px; vertical-align: top; -moz-border-radius: 20px 20px; -webkit-border-radius: 10px; -webkit-box-shadow: 6px 11px 37px 11px rgba(87,92,91,1);
-moz-box-shadow: 6px 11px 37px 11px rgba(87,92,91,1);
box-shadow: 6px 11px 37px 11px rgba(87,92,91,1);"]]
[[module ListPages limit="16" category="katekisimu" perPage="16" separate="false" rss="Mungu ni Pendo" order="random"]]. find more
PN.gif Website Kwa Wakatoliki | Karibu Katika Website Maalumu Kwa Wakristu Wakatoliki
Category ๐Ÿ‘‰katolikihome, Tags ๐Ÿ‘‰home-page kiswahili kurasa_kuu kurasa-kuu mafundisho main-page makala_za_kikatoliki miujiza nyimbo picha picha_za_katoliki sala swahili-categories swahili-websites tafakari watakatifu,
div.main-content-wrap{ width: 100% !important; }
nav.side-bar-wrap{ display: none !important; }
main .content .page-title{ display: none; }. find more
PN.gif Kilimo cha Mgagani
Category ๐Ÿ‘‰wiki, Tags ๐Ÿ‘‰,
Mgagani (Cleome gynandra) au Spider plant kwa kingereza, ni mmea wa asili ya Afrika unaostawi vizuri kwa kumwagiliwa hapa afrika ya mashariki wakati wa joto. Pia huchumwa mashambani ikiwa imeota yenyewe zao hili hushambiliwa na magonjwa na wadudu mara chache. Majani na Matawi machanga yana virutubisho kuliko Sukuma wiki na kabichi. Mahitaji yake yanaongezeka kwenye miji midogo na mikubwa kila siku.. find more
PN.gif UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
Category ๐Ÿ‘‰wiki, Tags ๐Ÿ‘‰,
Wanaume Wengi Hapa Duniani Huamini Kuwa, Mwanaume Hasa Ni Yule Anayeweza Kufanya Tendo Hilo Kwa Muda Mrefu Na Mara Nyingi Ndio Maana Vijana Wengi Utawasikia Wakijisifu Kuwa, Mpenzi Wake Hakulala Usiku Mzima Kutokana Na Dozi Ya Maana Aliyompa Na Ukimuuliza Mtu Wa Namna Hii Atakwambia Kuwa Alikwenda Mizunguko Sita Usiku Mzima.. find more
PN.gif Tofauti kati ya mwanamme anayetaka kukuoa na anayetaka kukuchezea na kukupotezea muda
Category ๐Ÿ‘‰wiki, Tags ๐Ÿ‘‰mahusiano wanawake,
Mwanaume Ambaye Ana Malengo Ya Kuoa Hubadilika Kitabia. Muda Mwingi Hutaka Kuonekana Mtu Mzima Mwenye Sifa Nzuri. Hatakuwa Mtu Wa Kulewa Kupita Kiasi Na Kutapanya Mali Na Wanawake Wengine. Tabia Zake Mbaya Za Zamani Ataziacha. find more
page 1 of 212next »

Pages pages: 3212451 in total